Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zelenksky atakuja shtuka yamebaki magofu.. wapambe wake sidhani kama wana nia njemazelensky twende kazi, omba msaada Tanzania tunayo makombora mengi sana hadi ya kwenda km 500, USA hawana kitu hao.
Jf majeshi mnasemaje sasa
Kuwa na ant- sio guarantee ya kwamba huguswi. Vita ni techniques na ndio maana Moscova japo ilikuwa na mifumu tofautitofauti ya kujilinda lakini haikutosha ilizamishwaHayo mrusi ana anti zake mbona
Javelin hana haja nayo tena.kwani hizo bandari zilichukuliwa lini harafu kwani hao mabasha wake wa US & EU wanao uwezo wa kumpatia hayo makombora maana toka vita ianze wao wanachoweza kutoa ni drones na yale makombora ya javelin plus helmet kutoka ujerumani
Urusi haijatoa tamko la kuzamishwa kwake mbali na kwamba kulikuwa na mripuko wa silaha.Hata kama ilizama bado Urusi ilikuwa mtulivu sana.Akifa kamanda mmoja bendera hushikwa na kamanda mwengine.Kuwa na ant- sio guarantee ya kwamba huguswi. Vita ni techniques na ndio maana Moscova japo ilikuwa na mifumu tofautitofauti ya kujilinda lakini haikutosha ilizamishwa
Aaah thubutuuuHayo mrusi ana anti zake mbona
Kizazi cha kupenda kukiri kushindwa na kuweka mikono chini watu kama nyie mngekuwepo enzi za mkoloni mngekomboa nchi kweli??..Zelensky akubali tu kuwa maji yamezidi unga! Hata akizipata hizo silaha zitaangamizwa kabla hata ya kuzitumia!
Wonder gani tena waitaka wewe ya Laser za mrusi. Hajaingiza mguu donbas na majengo yote ya ghorofa yako chini.Zelensky alipopatiwa picha akasema Loo sasa imekuwa jahanamu.hii vita itaamuliwa na technology - nani ziadi kati ya nchi za magharibi na hawa warusi. Laser weapon ya mrusi so far haijafanya wonder sana, hivyo bado mambo ni magumu kwa pande zote mbili.
Moscova ilimuuma Sana putinKuwa na ant- sio guarantee ya kwamba huguswi. Vita ni techniques na ndio maana Moscova japo ilikuwa na mifumu tofautitofauti ya kujilinda lakini haikutosha ilizamishwa