Ukraine yasema ikipatiwa makombora ya MLRS atakomboa bandari zake zote mwenyewe

Ukraine yasema ikipatiwa makombora ya MLRS atakomboa bandari zake zote mwenyewe

Mtu Hana air defence system yaani ni sawa yupo uchi tu hata wakimletea yatabomolewa na Iskander na hypersonic zaidi anazidi kumpa hasira mzee Putin na alisema zele akipewa silaha ya kufika ktk ardhi ya Russia yeye atacheza na aliyetoa silaha hizo Sasa Nani haipendi nchi yake igeuzwe magofu
Yaan mnamuona Putin Kama ndo untachable duniani pole, Russia aki battle na UK, hachomoi
 

Ofisi ya raisi Zelensky mjini Kiyv imesema inasubiri makombora hayo aina ya MLRS haraka kutoka Marekani ili kazi ianze.

Office of the President: Ukraine itself will unblock the Black Sea if it receives MLRS systems



View attachment 2235539
Hiyo haiwezi kutokea kamwe. Multiple Lunch Rocket System(MLRS) Ni Silaha ya kisasa kabisa ya Marekani. Haiwezi kwenda Nchini Ukraine kwasababu,Ni Vigumu Wanajeshi wa Ukraine kuitumia kwasababu watahitaji mafunzo ya mda Mrefu. Badala yake,Marekani imewapelekea Mifumo 7 ya Howtzer Rocket Luncher Systems (HRLS) ambazo Ni Rahisi ku Operate na Wanajeshi wa Ukraine.
 
hii vita itaamuliwa na technology - nani ziadi kati ya nchi za magharibi na hawa warusi. Laser weapon ya mrusi so far haijafanya wonder sana, hivyo bado mambo ni magumu kwa pande zote mbili.

Uwe na Akili Kidogo Basi. Mpaka Sasa sijaona Silaha Kubwa ambazo Ukraine amepewa na nchi za Magharibi Wala Makombola ya masafa Marefu. Kwahiyo hii Ni Vita Kati ya Ukraine na Urusi.

Unafikili Putin Ni Mjinga kuiita Special Military Operation badala ya Total War?. Anajua,Endapo atatangaza Vita kamili Basi Ukraine itaanza Kupewa Makombola ya Masafa Marefu ambayo yanaweza kupiga ndani ya Urusi. Hii inaweza kusababisha Urusi ku-Opt kutumia Silaha za Nyuklia Kitu ambacho Kitasababisha Vita kubwa vya Dunia. Ndio maana hata Marekani kila Mara inasema haitaki kujiingiza moja kwa moja kwenye mgogoro. Hivi Vita vya Ukraine Ni Kuchoshana TU,Kuna upande ambao hautaki Vita viishe kwasababu unafaidika na Vita hivi. Siku huo upande ukiamua Vita viishe Nakwambia ndani ya wiki moja tu Vita vya Ukraine vitaisha.
 
Embu iangalie Russia, alafu itafute Ukraine.

Hivi kweli bado kuna watu wanadhani Ukraine inaweza kuishinda Russia kweli...Hizi propaganda za mzungu zina wadanganya sana.

Hata wapewe silaha kiasi gani, gap ni kubwa mno. Hawa wezi kutoboa.
world-map.gif
 
anapasuliwa au wanapasuana...au unajitia hujui kama kuna mtu mzima anapigwa na mtoto?
Nchi za Ulaya na USA sio kabisaaa, Siona kama wana nia ya kuondoa huu mgogoro zaidi ya kuchochea mtu azidi kupasuliwa
 
Embu iangalie Russia, alafu itafute Ukraine.

Hivi kweli bado kuna watu wanadhani Ukraine inaweza kuishinda Russia kweli...Hizi propaganda za mzungu zina wadanganya sana.

Hata wapewe silaha kiasi gani, gap ni kubwa mno. Hawa wezi kutoboa. View attachment 2236152
Hahahaaaaa inafikirisha saaaana,ni Daudi verses Goliath,kiburi tu ndio mtaji wa Ukraine na so far kinamtokea puani.
 
Back
Top Bottom