Ukraine yasema ikipatiwa makombora ya MLRS atakomboa bandari zake zote mwenyewe

Hayo mrusi ana anti zake mbona
Kuwa na ant- sio guarantee ya kwamba huguswi. Vita ni techniques na ndio maana Moscova japo ilikuwa na mifumu tofautitofauti ya kujilinda lakini haikutosha ilizamishwa
 
kwani hizo bandari zilichukuliwa lini harafu kwani hao mabasha wake wa US & EU wanao uwezo wa kumpatia hayo makombora maana toka vita ianze wao wanachoweza kutoa ni drones na yale makombora ya javelin plus helmet kutoka ujerumani
Javelin hana haja nayo tena.
 
Kuwa na ant- sio guarantee ya kwamba huguswi. Vita ni techniques na ndio maana Moscova japo ilikuwa na mifumu tofautitofauti ya kujilinda lakini haikutosha ilizamishwa
Urusi haijatoa tamko la kuzamishwa kwake mbali na kwamba kulikuwa na mripuko wa silaha.Hata kama ilizama bado Urusi ilikuwa mtulivu sana.Akifa kamanda mmoja bendera hushikwa na kamanda mwengine.
 
Nilimskia pro-ukraine mmoja aitwae YEHODAYA kwamba urusi kuzitwaa bandari hizo, haina tija yoyote Sasa iweje 'Zele' analilia makombora ili akomboe hizo bandari, si angeacha tu Kama siyo significant?!!! YEHODAYA ukuje usikie kilio cha 'Kingwendu' wako kuhusu bandari uliyesema hazina significance.
 
hii vita itaamuliwa na technology - nani ziadi kati ya nchi za magharibi na hawa warusi. Laser weapon ya mrusi so far haijafanya wonder sana, hivyo bado mambo ni magumu kwa pande zote mbili.

 
Zelensky akubali tu kuwa maji yamezidi unga! Hata akizipata hizo silaha zitaangamizwa kabla hata ya kuzitumia!
Kizazi cha kupenda kukiri kushindwa na kuweka mikono chini watu kama nyie mngekuwepo enzi za mkoloni mngekomboa nchi kweli??..

Muache mwanaume apambane mpaka damu yake ya mwisho ndo maana halisi ya uanaume, wewe iko siku utavamiwa na majambazi kwako watakutombea mkeo na wewe mwenyewe utaliwa kisa uoga wa kishamba.
 
Mtu Hana air defence system yaani ni sawa yupo uchi tu hata wakimletea yatabomolewa na Iskander na hypersonic zaidi anazidi kumpa hasira mzee Putin na alisema zele akipewa silaha ya kufika ktk ardhi ya Russia yeye atacheza na aliyetoa silaha hizo Sasa Nani haipendi nchi yake igeuzwe magofu
 
hii vita itaamuliwa na technology - nani ziadi kati ya nchi za magharibi na hawa warusi. Laser weapon ya mrusi so far haijafanya wonder sana, hivyo bado mambo ni magumu kwa pande zote mbili.

Wonder gani tena waitaka wewe ya Laser za mrusi. Hajaingiza mguu donbas na majengo yote ya ghorofa yako chini.Zelensky alipopatiwa picha akasema Loo sasa imekuwa jahanamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…