Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Yaan mnamuona Putin Kama ndo untachable duniani pole, Russia aki battle na UK, hachomoiMtu Hana air defence system yaani ni sawa yupo uchi tu hata wakimletea yatabomolewa na Iskander na hypersonic zaidi anazidi kumpa hasira mzee Putin na alisema zele akipewa silaha ya kufika ktk ardhi ya Russia yeye atacheza na aliyetoa silaha hizo Sasa Nani haipendi nchi yake igeuzwe magofu
Hiyo haiwezi kutokea kamwe. Multiple Lunch Rocket System(MLRS) Ni Silaha ya kisasa kabisa ya Marekani. Haiwezi kwenda Nchini Ukraine kwasababu,Ni Vigumu Wanajeshi wa Ukraine kuitumia kwasababu watahitaji mafunzo ya mda Mrefu. Badala yake,Marekani imewapelekea Mifumo 7 ya Howtzer Rocket Luncher Systems (HRLS) ambazo Ni Rahisi ku Operate na Wanajeshi wa Ukraine.Ofisi ya raisi Zelensky mjini Kiyv imesema inasubiri makombora hayo aina ya MLRS haraka kutoka Marekani ili kazi ianze.
Office of the President: Ukraine itself will unblock the Black Sea if it receives MLRS systems
View attachment 2235539
Uwe na Akili Kidogo Basi. Mpaka Sasa sijaona Silaha Kubwa ambazo Ukraine amepewa na nchi za Magharibi Wala Makombola ya masafa Marefu. Kwahiyo hii Ni Vita Kati ya Ukraine na Urusi.hii vita itaamuliwa na technology - nani ziadi kati ya nchi za magharibi na hawa warusi. Laser weapon ya mrusi so far haijafanya wonder sana, hivyo bado mambo ni magumu kwa pande zote mbili.
Nchi za Ulaya na USA sio kabisaaa, Siona kama wana nia ya kuondoa huu mgogoro zaidi ya kuchochea mtu azidi kupasuliwa
Hahahaaaaa inafikirisha saaaana,ni Daudi verses Goliath,kiburi tu ndio mtaji wa Ukraine na so far kinamtokea puani.Embu iangalie Russia, alafu itafute Ukraine.
Hivi kweli bado kuna watu wanadhani Ukraine inaweza kuishinda Russia kweli...Hizi propaganda za mzungu zina wadanganya sana.
Hata wapewe silaha kiasi gani, gap ni kubwa mno. Hawa wezi kutoboa. View attachment 2236152