Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Nakurebisha kidogo, Jimbo la Zaporizia Urusi bado hawajariteka, wapo kusini yake wanaangaika na mariapol. Pia Jimbo la Kersoni wamefika mji wa kersoni wanapigana hapo lakini jimbo lote zima hawariteka. Bado wana safari ndefu maana Ukreini ndio Taifa kubwa kwa ardhi barani Ulaya.NB Urusi kisiasa uondolewa Kuwa Ulaya.
 
Kumbe walikuwa wanashikana miji yote hiyo. Warusi watu wabad aloo
 
Wamekomboa? So walisema urusi imeshindwa kuiteka kiev? Sasa wamekomboa kwa nani?
Wenzako wanafia vitani kulinda hadhi na heshima ya nchi yao, Sisi kwetu hata njaa tu imetushinda kupambana nayo. Ukraine ni vidume kwelikweli kufia vitani kuliko kukubali kuwa mbwa anaefugwa na tegemezi. Putin alitaka kuingusha Ukraine , yaani kuvunja uongozi wote lakini wa ukraine wamemgomea kwa vitendo tujifunze spirit mapambano dhidi ya uonevu wa wenye nguvu
 
Oneni hili jinga wazee. Ndo linaongea nini sasa? Kuua raia wasio na hatia ndo unaita vidume. Nimekudharau ptuuu mate usoni
Eti ptuu.......we kama sio delicious basi ni wale wale kwa msaada wa watu wa marekani........siitaji hata hio heshim yako mja laaana weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…