Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya vilipuzi (mabomu).
Jeshi la Ukraine linasikitika kwa kuondokewa na wabobezi hao kwani pengo lao halitazibika daima..."Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jana la Bwana lihimidiwe!"
Salamu za rambirambi ziwafikie MK254, Yoda, Nyamizi n.k.
Habari inaripotiwa na Israel, Taifa teulee!
====