Ukraine yatangaza hali ya hatari

Kuna fix zinapigwa na wachambuzi humu acha kabisa [emoji23]
Jeshi la Russia limetangaza rasimi kwamba lime haribu ukuranian airforce base military base na vifa vingi vya kijeshi kwenye miji ya Kiev kharkiv oddese, jeshi la Ukuraini tayari lime kua crippled kupambana, na hapo jeshi la Ukurain limedai kutungua ndege moja ya kijeshi ya Urusi uko Ukurain mashariki
 
Vita huwa haianzi kwa uvamizi mmoja. Hitler alikuwa na jeshi kubwa mno akavamia Poland akaona mserereko, Japan ilivamia Asia nzima ikaona mserereko. Hata Russia imeanza na Ukraine, ukizidisha hapa Russia inapigwa na allies, hakuna ujanja wa superpower mmoja kupigana na superpowers
 
Jamaa kasema hakuna namna mkikiwasha wote watabaki majivu[emoji732][emoji732]
 
Tatizo USA anaogopa kwa sababu Tanzania ipo upande wa Russia
Hahahaha
 
Maneno tuuu
 
Tatizo USA anaogopa kwa sababu Tanzania ipo upande wa Russia
Hahahaha
Tz? ADF tu hatuwawezi. Ingekuwa game ni Man City na Bayern sisi Simba na Yanga sio level zetu bali tuna play part kama mchezaji wa 12 tu
 
Yani wawe attacked halafu wasijibu mahsmbulizi?akili za wapi hizi?
Huku Ukraine wameseme wamedungua fighter jet moja ya Russia mashariki mwa Ukraine..
 
Russia sio wa mchezo ,kakiwasha wanabaki wana bwela mbwela tu ni muda wa kumuita puttin friendly au kumfuata kwenda kumsihi vinginevyo ,Russia unification imeshafika na anaenda kutimiza na kuweka alama katika taifa lake
Unaushibiki flani hivi wa kishamba sana sijui tatizo lako ni nini, dunia ya leo haitaji vita zaidi investments kustawisha maisha ya watu, Hitler aliharibu maisha ya watu zaidi ya warusi million 25 walikufa leo unaongea kama jinga hivi. Unafikili marekani niwajinga kuitaji kuita diplomasia ifanye kazi yake, vita ni mbaya sana
 
Jamaa kasema hakuna namna mkikiwasha wote watabaki majivu[emoji732][emoji732]
Joseph Goebbels alikuwa Waziri wa Propaganda wa Ujerumani kipindi cha WW2 na alikuwa anajimwambafai sana hata wakipigwa uko Eastern front yeye anabadili maneno redio zote na magazeti yanaandika wako wanamshinda adui. Yani hata Field Marshalls wa Ujerumani walikuwa hawajui ukweli wa status ya vita mpaka wabahatishe kuona mtu anayetoka frontline upande mwingine. Waliokuwa wanapigania Russia wanapigwa walikuwa wanaaminishwa wanaopigana Ufaransa wanashinda, Wajerumani waliokuwa wanashindwa Ufaransa wanaaminishwa waliomo Urusi wanashinda.

Reality zinaonekana kwenye battleground. Kwani nani alijua Uturuki ikipeleka Bayraktar TB2 pale Libya ingeweza kuzuia advancement ya Khalifa Haftar na silaha zake za Urusi? Nani alijua kama Turkey supplied Azerbaijan itashinda Russian supplied Armenia?
Ni mpaka silaha za maadui zikutane ndio utajua kumbe sometimes huwa tunaaminishwa vitu sio
 
Mkuu hivi hii vita kama itatokea mbona naona ipo karibu zaidi na urusi maadui zake hawawezi kutake advantage kuishambulia Urusi?
 
Russia sio wa mchezo ,kakiwasha wanabaki wana bwela mbwela tu ni muda wa kumuita puttin friendly au kumfuata kwenda kumsihi vinginevyo ,Russia unification imeshafika na anaenda kutimiza na kuweka alama katika taifa lake
Jamaa aliumia sana kugawanyika Urusi ya zaman na Katika mataifa yalijitenga Ukraine ndiyo walikuwa wajeuri haswa naona kaamua kuwahi
 
Mkuu hivi hii vita kama itatokea mbona naona ipo karibu zaidi na urusi maadui zake hawawezi kutake advantage kuishambulia Urusi?
Hakuna mtu kwa sasa ana mpango wa kuushambulia Urusi. Ukraine yenyewe haina mpango wa kuwa offensive, inataka kuwe defensive tu wala sio kuingia mpakani ndani ya Urusi. Its very unlikely nchi yoyote itake kuivamia Urusi. Urusi kadri ninavyozidi kufatilia mienendo yao kwenye mgogoro huu ndio nazidi kuwaona wana jeshi la kawaida tofauti na nilivyowadhania. Jeshi la Urusi lilikutana na majeshi korofi yenye discipline na yenye chuki ya kihistoria dhidi ya Urusi kama Poland ilivyo I can bet Urusi wanafeli mapema kabisa kwenye conventional war.

Yani Urusi wamefanya mobilization ya wanajeshi wakawasogeza not more than 100km kutoka kwenye main battle station ila wanashindwa logistical support, maji safi na chakula ni pungufu wakati wanajeshi hawajakaa hata wiki na hakuna mapigano. Naweza amini intention ya maofisa ni kwamba wanajeshi watapambana wenyewe, that means looting. Huna logistics, utapiganaje na majeshi kama Uingereza ikitokea mkakutana
 
Watangaze donge nono watu tuingie front.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…