Ukraine yatangaza hali ya hatari

Ukraine yatangaza hali ya hatari

Daah sijui ndo vita ya III ya dunia inaanza
Uwezekano ni mkubwa coz hata WWI na WWII sababu zilikua hivi hivi. Ngoja tuone UNSC watakuja na maazimio gani leo coz wanakutana leo kizarura.
 
Uwezekano ni mkubwa coz hata WWI na WWII sababu zilikua hivi hivi. Ngoja tuone UNSC watakuja na maazimio gani leo coz wanakutana leo kizarura.
Dalili za mwisho wa dunia moja wapo ni hio vita ya tatu
 
Yule ndio best President wa Ukraine tangu 2014 walivyobadilika hovyo. Hata ukiitisha uchaguzi leo anashinda mchana kweupe bila hata kampeni. Kuwa mchekeshaji haimaanishi hana akili, mbona Reagan alikuwa muigizaji na akawa Rais wa Marekani. Mbona Anold Schwarzenegger alikuwa Gavana wa California miaka zaidi ya kumi
Jamaa yuko cool sana hapanic wala nini yaani.Wa Ukraine inaonyesha wamuamini sana Zelensky
 
Back
Top Bottom