Yule ndio best President wa Ukraine tangu 2014 walivyobadilika hovyo. Hata ukiitisha uchaguzi leo anashinda mchana kweupe bila hata kampeni. Kuwa mchekeshaji haimaanishi hana akili, mbona Reagan alikuwa muigizaji na akawa Rais wa Marekani. Mbona Anold Schwarzenegger alikuwa Gavana wa California miaka zaidi ya kumi