Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Hivi si alisema yeyote atakayemsaidia Yukrein atakiona cha mtema kuni!
Mbona Wamagharibi kila siku wanaisaidia Yukrein na hakuna kitu amewafanya?
Huu ni muendelezo wa maneno matupu tu, hakuna kitu anaweza kuwafanya kwa sasa, na vita inaendelea kukua.
Hakusema atakaye msaidia Ukraine,Putin alisema taifa lolote litakalo jiingiza kijeshi kuisaidia/pigana na Urusi ndani ya Ukraine atawachukulia hatua kali maana wataonekana wazi wazi na wao ni wahusika wakuu katika mgogoro huu - hicho ndicho alicho kisema Putin msitake kugeuza maneno, msikilizeni former Waziri mkuu wa Ujerumani Bi Angela Merkel kasema nini leo kuhusu Putin na jeshi la Urusi - mambo haya msiyachukulie kimzaa mzaa hata kidogo.