Ukraine yatuma maombi kujiunga na NATO haraka iwezekanavyo

Ukraine yatuma maombi kujiunga na NATO haraka iwezekanavyo

Kushambulia ile miji ya iliyopiga kura za mchongo ni kushambulia Urusi lakini kushambulia Ukrean ni kuishambulia NATO, mana ombi ndio liko mezani NATO wanataka kulifanyia kazi., Natazamia taifa la Russia kubaki history tu kwenye ulimwengu huu
Labda urusi ya chato na sio urusi hii inayoogopwa na mataifa 30 yaliyo jiunga na kutengeneza nato.
 
Kama hujui Ndugu hiyo mobilization haikuwa kwa ajili ya Ukraine Bali ni Vita inayokuja dhidi ya NATO...na mobilization siyo 300,000 Bali ni zaidi ya milioni moja...
Watapukutishwa vibaya mnoo, mashuka yatapepea mithili ya yale ya Ayatollah kule Iran.
 
Sheria namba moja ya NATO ili uweze kuwa mwanachama wao ni lazima mwanachama anayeomba asiwe vitani na kingine member wa NATO waliopo EU awawezi kukubali ilo suhala litokee abadani makovu waliyopata kwenye vita ya pili ya dunia ni makubwa awataki kurudi uko kumkubalia ukraine kuingia NSTO ni kupigana vita na Russia direct nchi gani apo ulaya itakayokubali miji yao iwe war field[emoji3][emoji3]
Vita itapiganwa Moscow mbona Biden ameshasema.
 
Ila Erdogan siyo wa kumuwekea shilingi....mara nyingi namuona kama msukumwa upepo!

Hata mimi mwanzo nilikuwa simuamini sana Erdogan - kusema kweli wakati mwingine ni highly unpredictable, lakini kwa vyovyote vile hawezi kumsaliti Putin - my opinion.
 
Ila Erdogan siyo wa kumuwekea shilingi....mara nyingi namuona kama msukumwa upepo!
Erdogan inategemea upepo wake na Mgiriki utaenda vipi, hawa ni mahasimu wa mda mrefu, wamagharibi wakimpa sapoti sana ugiriki itabidi jamaa aende upande wa urusi na wenzie, na kwa jinsi mambo yalivyo sasa Uturuki ana dalili za kua upande wa urusi japo haweki wazi sana ana ng'ata na kupuliza pande zote
 
ULAYA HAWATAKI VITA NA URUSI HILO NDIO MLIJUE . ULAYA WANAPENDA RAHA HAWAPENDI HATA MTU WAO MMOJA AVUNJIKE MGUU. SIO RAHISI KIIVYO . USA NAE HAINGII BILA ULAYA. UKRAINE HAPEWI UANACHAMA ABADAN.. Mobilization imefanya KAZI mliobeza Mobilization na referendum mujifunze
Unaelewa unachokiongea lakin,unafahamu vita vyote vya dunia vimeanzia ulaya?ulaya ukileta mchezo nao kwao kuingia front siyo swala la kuuliza,leo puttin akiachiwa afanye huo uaramia,dunia itakua hovyo sana maana china ataitaka taiwan,Rwanda ataitaka kigoma,alafu mwakani Russia ataitaka ukraine yote.mwishowe ulaya nzima
 
Walioanza kumchokoza mrusi ni hao wamagharibi, wangetulia na mambo yao na kufata makubaliano yao tokea mwanzo mambo yasingefika huku, shida walizoea kuleta siasa zao za kichovu kwa mataifa dhaifu wamezoea hadi wakajisahau wakaenda kuchezea sharubu za mrusi,.....mrusi wababe wote walioisumbua ulaya kawatuliza, wengi walikua wanaanzia kwenye vinchi vya huko magharibi wakifika kwa mrusi wanakaa sio wakina Napoleon wala Hitler
 
Unaelewa unachokiongea lakin,unafahamu vita vyote vya dunia vimeanzia ulaya?ulaya ukileta mchezo nao kwao kuingia front siyo swala la kuuliza,leo puttin akiachiwa afanye huo uaramia,dunia itakua hovyo sana maana china ataitaka taiwan,Rwanda ataitaka kigoma,alafu mwakani Russia ataitaka ukraine yote.mwishowe ulaya nzima
Ulaya gani unayozungumzia?Hii ambayo wananchi wanaziondoa serikali zao baada ya kuona hawaangalii maslahi Yao na badala yake wanaungana na EU& US kwenye sanctions ambazo zinawaumiza wao zaidi Kwa vita ambayo haiwahusu?
 
Huyu kichaa kweli Rais wa Ukraine nchi yako nusu imeishaliwa na Mrusi afu wananchi wake wanamnyamazia bado. Eti anaomba ajiunge na NATO hajui Europe nzima inamuogopa Mrusi tena kachiwa nusu nchi akijidai kujiunga NATO basi Ukraine nzima itamezwa na Mrusi shauri yake.
 
Unaishi sehemu ambayo mtandao ni wa shida nn,
 
Back
Top Bottom