Source: Reuters unategemea watasema nini baada ya kuona Putin kesha wazidi akili, wanasema chochote kinacho wajia kichwani - lengo la usanii huu ni kujaribu kuitisha Urusi kwamba kama atatwaa majimbo ya kusini mashariki basi na Ukraine itajiunga na NATO ili iwe rahisi ku-revoke sijui article gani ya NATO kwamba member wa NATO akishambuliwa basi members wote watskiunga pamoja kushambulia muhusika.
Reuters na wajinga wengine wanacho sahau ni kwamba uwezi kuwa member wa NATO iwapo permanent member/s ataweka pingamizi - taifa la Uturuki ambalo ndilo kubwa kieneo na kijeshi katika alliance ya NATO aliwezi kuunga mkono Ukraine kuwa member wa NATO kutokana na ukaribu wa Putin/Urusi na Rais wa Uturuki, Putin alimsaidia sana Rais wa Uturuki hasipinduliwe na CIA, kumbukeni Uturuki haiwezi kulisahau hilo.