Ukraine yatuma maombi kujiunga na NATO haraka iwezekanavyo


Hakusema atakaye msaidia Ukraine,Putin alisema taifa lolote litakalo jiingiza kijeshi kuisaidia/pigana na Urusi ndani ya Ukraine atawachukulia hatua kali maana wataonekana wazi wazi na wao ni wahusika wakuu katika mgogoro huu - hicho ndicho alicho kisema Putin msitake kugeuza maneno, msikilizeni former Waziri mkuu wa Ujerumani Bi Angela Merkel kasema nini leo kuhusu Putin na jeshi la Urusi - mambo haya msiyachukulie kimzaa mzaa hata kidogo.
 
wataingia kupambania kupata Gas, Mafuta, vyakula na mbolea za bei nafuu kutoka Ukraine na Russia ya bila ya Putin
Urusi haina jeuri tena, ukichangia na wanajeshi wao wanavyokufa huko vitani; sasa NATO wataingia rasmi kumsaidia mwanachama wao kama sera zao zinavyoelekeza.
 
Msaada wao umesaidia nn ikiwa majimbo yameshakwenda
 
wataingia kupambania kupata Gas, Mafuta, vyakula na mbolea za bei nafuu kutoka Ukraine na Russia ya bila ya Putin
Hii vita itamuondoa Putin kwenye madaraka, mpaka sasa kuna viashiria vya kuchokwa na wananchi wake, ila ni nani wa kumvisha paka kengele
 
Kumbe Russia wanapigana na wamagharibi na wameshindwa kumzuia Putin kuchukua maeneo. Putin balaa
 

Ukiwa katika Vita huwezi kujiunga na NATO.
 
Sheria namba moja ya NATO ili uweze kuwa mwanachama wao ni lazima mwanachama anayeomba asiwe vitani na kingine member wa NATO waliopo EU awawezi kukubali ilo suhala litokee abadani makovu waliyopata kwenye vita ya pili ya dunia ni makubwa awataki kurudi uko kumkubalia ukraine kuingia NSTO ni kupigana vita na Russia direct nchi gani apo ulaya itakayokubali miji yao iwe war field[emoji3][emoji3]
 
Maneno matupu. Wamagharibi wanamsaidia Yukrein kwa kila kitu na hakuna kitu amewafanya. Huu ni mwendelezo wa maneno matupu huku anapelekewa kichapo.
 
Now we cannot accept Ukraine into NATO - Stoltenberg

UZI UFUNGWE SASA. JAMBO HALIWEZEKANI
 
NATO wamekataa Ukraine kujiunga saa hizi ..wajuaji wanasema zelensky wakati anatoa speech haku discuss na viongozi wa NATO ndo mana imekuwa hivi ..mana NATO wamekanusha
 
Urusi haina jeuri tena, ukichangia na wanajeshi wao wanavyokufa huko vitani; sasa NATO wataingia rasmi kumsaidia mwanachama wao kama sera zao zinavyoelekeza.

Lakin kipengele kimoja wapo ni kwamba mwanachama mpya asiwe kwenye active mzozo ajiunge akiwa hana nzozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…