Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mturuki alikubali kwasababu Sweden alikubaliana na matakwa yake kuwapatia hao wa kurd waliojificha sweden., ila jamaa ameshaona wanamzunguka na akawakumbusha wasipotimiza waliyokubaliana yeye pia ana uwezo mkubwa wakuwakatalia maombi yao, pia Mmarekani anawazungusha kuwapatia ndege za kivita walizokua wanataka na kawaambia kama hawaeleweki atachukua za mrusiUturuki hachomoi any request from USA, kumbuka issue ya Sweden na Finland. Uturuki aligoma USA negotiated on behalf.
Pili wewe wa kwa mtogole huna akili yeyote kuliko Reuters, soma tena between the lines
Ile ni vita ya kiuchumi.Russia hawapigani bila mipango . Wananchi wa magharibi askari wao wakifa wengi tayari wanaanza riot. Wao wanataka wafe wengine na vita IWE mbali. Fuatilia ishu za Iraq , Somalia , Afghanistan , nk. West wanajipenda sana. Manyani TUPO kuwatukuza
Binafsi sioni Putin alipo wazidi akili kwa kwa tukio hilo la ijumaa. Hayo maeneo ameyakalia hata kabla ya kutangaza rasmi. Vita inaendelea akiwazidi nguvu atayakalia na pengine kuongeza akizidiwa anatimuliwa!Source: Reuters unategemea watasema nini baada ya kuona Putin kesha wazidi akili, wanasema chochote kinacho wajia kichwani - lengo la usanii huu ni kujaribu kuitisha Urusi kwamba kama atatwaa majimbo ya kusini mashariki basi na Ukraine itajiunga na NATO ili iwe rahisi ku-revoke sijui article gani ya NATO kwamba member wa NATO akishambuliwa basi members wote watskiunga pamoja kushambulia muhusika.
Reuters na wajinga wengine wanacho sahau ni kwamba uwezi kuwa member wa NATO iwapo permanent member/s ataweka pingamizi - taifa la Uturuki ambalo ndilo kubwa kieneo na kijeshi katika alliance ya NATO aliwezi kuunga mkono Ukraine kuwa member wa NATO kutokana na ukaribu wa Putin/Urusi na Rais wa Uturuki, Putin alimsaidia sana Rais wa Uturuki hasipinduliwe na CIA, kumbukeni Uturuki haiwezi kulisahau hilo.
Angetimuliwa huko crimeaBinafsi sioni Putin alipo wazidi akili kwa kwa tukio hilo la ijumaa. Hayo maeneo ameyakalia hata kabla ya kutangaza rasmi. Vita inaendelea akiwazidi nguvu atayakalia na pengine kuongeza akizidiwa anatimuliwa!
Mkuu NATO hawajaingia sasa jamaa kapeleka JKT laki tatu, miezi 7 tu NATO ikiingia wenyewe unafkiri si ni kazi ya siku 1 tuLabda urusi ya chato na sio urusi hii inayoogopwa na mataifa 30 yaliyo jiunga na kutengeneza nato.
Uzoefu wa Russia uko wapi mkuua jeshi hana, miezi 7 tu dunia imeshuhudia anaandikisha vijana wa JKT kuwapeleka vitani ata bulet prof hakuwapa zaidi ya bunduki mkononi, NATO kwa Russia ni chini ya lisaa limoja kazi ishaishaWangekua historia muda sana, marekani kwa mrusi ni kataifa ka juzi tu , mrusi ana experience ya vita kubwa zaidi na zote kachomoa, mmarekani hapo vietnam tu na somalia alitolewa kamasi
Hayo macho yako yanaona papa tu na matako maneneBinafsi sioni Putin alipo wazidi akili kwa kwa tukio hilo la ijumaa. Hayo maeneo ameyakalia hata kabla ya kutangaza rasmi. Vita inaendelea akiwazidi nguvu atayakalia na pengine kuongeza akizidiwa anatimuliwa!
Onesha alipo wazidi akili....Hayo macho yako yanaona papa tu na matako manene
Russia is not smart periodIle ni vita ya kiuchumi.
1. Kuzuia biashara Kati ya German na Russia Ili america ifanye hiyo biashara ndio kisa cha nordstream.
1. Kuuza silaha kwa kufanya promo mf Himmar s
2. Kutoa mikopo kwa kutumia mahela yao wanayoprint
3. Ilitafutwa tu ishu itakayomkera Russia aingie vitani na Zelensky kwa uhuni wake anatumika na USA
Uturuki hachomoi any request from USA, kumbuka issue ya Sweden na Finland. Uturuki aligoma USA negotiated on behalf.
Pili wewe wa kwa mtogole huna akili yeyote kuliko Reuters, soma tena between the lines
Sisi nyanza zone ndo tunataka mapema sana. Turudishe rais mithili ya mwamba JPMHata hapa Tanzania inatakiwa kanda ya kaskazini ijitenge na watangananyika…ni vile tu Putin wetu bado hajazaliwa…
Unajidanganya mwenyeweUrusi haina jeuri tena, ukichangia na wanajeshi wao wanavyokufa huko vitani; sasa NATO wataingia rasmi kumsaidia mwanachama wao kama sera zao zinavyoelekeza.
Lakini chanzo cha hii vita ni wao; kwa sababu sera zinatungwa na watu, na watu hao hao ndio wanaweza kuzibadilisha pia.NATO hawapokei nchi iliyo kwenye vita.
Saa limoja wakati hadi mrusi anamega nchi wao wapo tu mbona hawazuii............Jeshi hana kwani yeye alikwambia anaenda vitani au ni operesheni maalum, na huko asilimia kubwa alikua anatumia wafungwa waliokua wanatumikishwa na wagner group.....hao aliowaita kwa sasa ni wa kulinda mipaka yake na hayo maeneo mapya aliyoyachukua, mrusi akiwa hana wanajeshi basi mmarekani ndo atakua na hali mbaya kabisa, mrusi yupo ukraine na bado Syria anaendelea...Uzoefu wa Russia uko wapi mkuua jeshi hana, miezi 7 tu dunia imeshuhudia anaandikisha vijana wa JKT kuwapeleka vitani ata bulet prof hakuwapa zaidi ya bunduki mkononi, NATO kwa Russia ni chini ya lisaa limoja kazi ishaisha
Watu wanajikata huko, nani anataka shida na mrusI Zelensky atatumika kama toilet paper na kutupwaUrusi haina jeuri tena, ukichangia na wanajeshi wao wanavyokufa huko vitani; sasa NATO wataingia rasmi kumsaidia mwanachama wao kama sera zao zinavyoelekeza.
Mkuu usituletee habari za Vietnamu, muda huu naandika haya watu wako kazini huko huko mulikopiga refrendam wanachukua mji wa Lyman ambao Russia waliuteka, tuongee kwa yanayotokea sasaSaa limoja wakati hadi mrusi anamega nchi wao wapo tu mbona hawazuii............Jeshi hana kwani yeye alikwambia anaenda vitani au ni operesheni maalum, na huko asilimia kubwa alikua anatumia wafungwa waliokua wanatumikishwa na wagner group.....hao aliowaita kwa sasa ni wa kulinda mipaka yake na hayo maeneo mapya aliyoyachukua, mrusi akiwa hana wanajeshi basi mmarekani ndo atakua na hali mbaya kabisa, mrusi yupo ukraine na bado Syria anaendelea...View attachment 2373861View attachment 2373862View attachment 2373863View attachment 2373864
Ujerumani ilikuwa zamani; nyakati hizi haina nguvuWatu wanajikata huko, nani anataka shida na mrusI Zelensky atatumika kama toilet paper na kutupwaView attachment 2373873
Hao ndo wale wale watolewa kafara wa wagner, acha watu wamalizie sherehe kwanza......................acha wapunguze idadi ya wafungwaMkuu usituletee habari za Vietnamu, muda huu naandika haya watu wako kazini huko huko mulikopiga refrendam wanachukua mji wa Lyman ambao Russia waliuteka, tuongee kwa yanayotokea sasa
Hii ndio Breaking News kinachoendelea kutokea
View attachment 2373875
View attachment 2373874
View attachment 2373876
Hao ndo wale wale watolewa kafara wa wagner, acha watu wamalizie sherehe kwanza......................acha wapunguze idadi ya wafungwaView attachment 2373886View attachment 2373887