MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI.Wanaukumbi.
Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.
Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo
Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Kaongee hayo maneno yako Israel kama ujaenda jela.MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAARABU.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANASAHAU KUA MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MMOJA YEHOVAH KUPITIA TORATI YA KIYAHUDI
MKUU UNAJARIBU KUTAFUTA HURUMA YA WAKRSTO KWA NGUVU NA HAITOWEZEKANA.Kaongee hayo maneno yako Israel kama ujaenda jela.
Mkuu achana na mimi sikiliza hiyo video cilip hapo juu tafadhali.MKUU UNAJARIBU KUTAFUTA HURUMA YA WAKRSTO KWA NGUVU NA HAITOWEZEKANA.
WAKRSTO KWAO WAYAHUDI NI TAIFA TAKATIFU LA MUNGU WAO YEHOVA NA WAISLAMU NA WAARABU NI WAPAGANI WAABUDU MIUNGU YA KIARABU
Hamna anayekulazimisha sikiliza hiyo video ukifika Israel uwe makini kumtaja Yesu usije kwenda jela.Hivi kwanini mnalazimisha kila mtu aiunge mkono Palestina kwa kisingizio cha kwamba hii vita ni ya kidini, ninyi mnajuaje kama wote wanaoiunga mkono Israeli wanafanya hivyo sababu ya dini, hamna watu wajinga kama wanaolazimisha kwamba hii vita ni ya kidini na kulazimisha kwamba eti dini fulani ndio ya haki
Hakuna dini ya haki zote ni umafia tu ni vile tu kuna dini moja haijapata nafasi ya kuitawala dunia ndio maana inaonekana ni ya haki, ila siku ikitokea hiyo dini imeshika hatamu ndio dunia itajua makucha yake halisi, tena bora hata hii inayotawala sasa hivi ina uvumilivu na dini nyingine na kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachotaka
Lakini hiyo dini nyingine hapa tu haina nguvu ya kutawala dunia lakini kuna watu wanateseka kwa kulazimishwa kuwa wa dini yao sasa imagine siku ikishika hatamu, watu husema bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua, dini ambayo haina uvumilivu wa dini nyingine haitakiwi kuachwa ipate nguvu hata kidogo
MKUU UMEWEKA HOJA UJIBIWE USIPANIKI.Mkuu achana na mimi sikiliza hiyo video cilip hapo juu tafadhali.
UMEPANIKI??Mkuu achana na mimi sikiliza hiyo video cilip hapo juu tafadhali.
Wewe siyo wa kwanza kuleta uzi wa aina hiyo kwamba Israel haimuamini Yesu na sasa hivi wakristo wengi sana wanajua hilo kwamba waisrael siyo wenzao katika imani hivyo tushachoka na hizi ngonjera zenu, shida ni ninyi waislam kuona kwamba kila mkristo anayeiunga mkono Israeli basi anafanya hivyo sababu ya dini yote hiyo ili mradi tu dunia nzima iiunge mkono Palestina ili uislam uonekane una nguvu na unapendwa, msitumie nguvu kubwa sana kuieneza dini yenu narudia hakuna dini ya haki zote ni umafia tu hivyo msipangie watu kipi cha kuunga mkono na kipi siyo acheni kila mtu afanye maamuzi yakeHamna anayekulazimisha sikiliza hiyo video ukifika Israel uwe makini kumtaja Yesu usije kwenda jela.
Hakuna aliyekulazimisha!!Hivi kwanini mnalazimisha kila mtu aiunge mkono Palestina kwa kisingizio cha kwamba hii vita ni ya kidini, ninyi mnajuaje kama wote wanaoiunga mkono Israeli wanafanya hivyo sababu ya dini, hamna watu wajinga kama wanaolazimisha kwamba hii vita ni ya kidini na kulazimisha kwamba eti dini fulani ndio ya haki
Hakuna dini ya haki zote ni umafia tu ni vile tu kuna dini moja haijapata nafasi ya kuitawala dunia ndio maana inaonekana ni ya haki, ila siku ikitokea hiyo dini imeshika hatamu ndio dunia itajua makucha yake halisi, tena bora hata hii inayotawala sasa hivi ina uvumilivu na dini nyingine na kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachotaka
Lakini hiyo dini nyingine hapa tu haina nguvu ya kutawala dunia lakini kuna watu wanateseka kwa kulazimishwa kuwa wa dini yao sasa imagine siku ikishika hatamu, watu husema bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua, dini ambayo haina uvumilivu na dini nyingine haitakiwi kuachwa ipate nguvu hata mara moja
MKUU UNAJARIBU KUTAFUTA HURUMA YA WAKRSTO KWA NGUVU NA HAITOWEZEKANA.
WAKRSTO KWAO WAYAHUDI NI TAIFA TAKATIFU LA MUNGU WAO YEHOVA NA WAISLAMU NA WAARABU NI WAPAGANI WAABUDU MIUNGU YA KIARABU
Hahaha mimi tena nimepanic angalia wenzako wanavyoandika magazeti mimi najibu mistari miwili harafu tu hoja inajionyesha hapo juu siyo maneno yangu hoja ni marufuku kutanganza Ukirsto Israel unaenda jela hiyo ndiyo hojq.MKUU UMEWEKA HOJA UJIBIWE USIPANIKI.
MBONA NIMESIKILIZA ILA HAMNA CHA KUWABADILI HAO WAKRSTO NA MAHABA YAO KWA WAYAHUDI
LABDA WAISLAMU MJE NA MBINU NYINGINE ILA SIO HII
Unakataa nini wakati watu wengi tu washatekwa na vikundi vya kigaidi na kulazimishwa kubadili dini na kuwa waislam, mbona hatusikii vikundi vya kigaidi vikiteka watu na kuwalazimisha kubadili dini na kuwa wakristo, na kama mnaona hayo makundi hayahusiani na uislam kwanini nchi za kiislam na waislam wengine wote huwa hamkemei hayoHakuna aliyekulazimisha!!