Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Mahaba yanalazimishwa kwa watu wasiowataka?MKUU UMEWEKA HOJA UJIBIWE USIPANIKI.
MBONA NIMESIKILIZA ILA HAMNA CHA KUWABADILI HAO WAKRSTO NA MAHABA YAO KWA WAYAHUDI
LABDA WAISLAMU MJE NA MBINU NYINGINE ILA SIO HII
Wakristo wengi huwa wanadhani Israel ni wakristu wenzao ndiyo maana utakuta mkiristo akimshabikia Myahudi hali ya kuwa Myahudi hamtaki kabisa mkristo.
Pale Israel baada ya dini ya Kiyahudi dini ya pili kwa ukubwa ni Uislamu then only 1 percent ndiyo wakristo lakini waislamu hawana shobo na mayahudi.
Sent using Jamii Forums mobile app