Wewe siyo wa kwanza kuleta uzi wa aina hiyo kwamba Israel haimuamini Yesu na sasa hivi wakristo wengi sana wanajua hilo kwamba waisrael siyo wenzao katika imani hivyo tushachoka na hizi ngonjera zenu, shida ni ninyi waislam kuona kwamba kila mkristo anayeiunga mkono Israeli basi anafanya hivyo sababu ya dini yote hiyo ili mradi tu dunia nzima iiunge mkono Palestina ili uislam uonekane una nguvu na unapendwa, msitumie nguvu kubwa sana kuieneza dini yenu narudia hakuna dini ya haki zote ni umafia tu hivyo msipangie watu kipi cha kuunga mkono na kipi siyo acheni kila mtu afanye maamuzi yake