Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Nani aliyepiga kelele za msulubisheee msulubishee na damu yake iwe juu yetu na vizazi vyetu!
Tufungulie barabaaa

Watu wamejiapiza kwa damu ya Yesu kwamba laana iwe nao na watoto wao halafu unawakumbatia watu wa namna hii. Hujielewi wewe!

Acha kabisa aisee!
MKUU UNAJITAHIDI KUTAFUTA KAMPANI YA WAKRSTO ILI WAWASAPOTI WAARABU NA WAISLAM NA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI 🤣🤣🤣
 
Babu yao wayahudi anashindwaje kuwa myahudi

Tofautisha myahudi na mwisrael watoto wa Yakobo

Babu yao wayahudi anashindwaje kuwa myahudi

Tofautisha myahudi na mwisrael watoto wa Yakobo
Uyahudi umeanza Karne ya Tano/sita kabla ya yesu, Ibrahim kishaondoka zamani,uyahudi inahusiana zaidi na amri za musa,inakuaje Ibrahim awe myahudi!?..uwe unasoma
 
Walipiga kelele tu lakini aliyemhukumu kufa ni jaji mrumi Ponsio Pilato ma Askari wa.kirumi ndio waliomuua kwa.kumtandika mijeredi yenye misumari na kumpiga sana na kumsulubisha msalabani na kumchoma mkuki kwenye moyo.akiwa msalabani

Wayahudi walipiga miyowe tu

Mayowe ya kuunga mkono jambo na kushawishi jambo litokee ni kushiriki kulifanya jambo hilo liwe!
 
Nani aliyepiga kelele za msulubisheee msulubishee na damu yake iwe juu yetu na vizazi vyetu!
Tufungulie barabaaa

Watu wamejiapiza kwa damu ya Yesu kwamba laana iwe nao na watoto wao halafu unawakumbatia watu wa namna hii. Hujielewi wewe!

Acha kabisa aisee!
Myahudi yupi alimuua yesu??
Mtaje??
 
Ile bill ya kupinga kutangaza ukiristo iliyopelekwa bunge la Israel,ulisikia habari zake!?..Yale ni mapenzi au chuki!?..acha kujipendekeza kijinga
MKUU WAKRSTO HAWAWEZI KUACHA KUWAPENDA WAEBRANIA AFU ETI WAWAPENDE WAARABU NA WAISLAMU.
UNAPOTEZA MDA
 
Palestine wakiachana na kikundi cha majangili sijui hama nini watakuwa salama.
Kila goti litapigwa - tuelewane hapa
 
Ni kweli YESU KRISTO, ndie anaeokoa na ndie njia ya kwenda mbinguni, sababu MUNGU, alimleta duniani kwa mfano wa mwili ulio wa dhambi na kwa sababu ya dhambi. Alihukumu dhambi katika mwili ili tupate kuokolewa.

Ambae anatokea uzao wa waisraeli asilia (pure) kabisa, hivyo sishangai hawa wayahudi feki wa kizungu kumkataa sababu, wamewekwa hapo na reptilian family ili kutimiza ajenda za kishetani.
 
Wewe siyo wa kwanza kuleta uzi wa aina hiyo kwamba Israel haimuamini Yesu na sasa hivi wakristo wengi sana wanajua hilo kwamba waisrael siyo wenzao katika imani hivyo tushachoka na hizi ngonjera zenu, shida ni ninyi waislam kuona kwamba kila mkristo anayeiunga mkono Israeli basi anafanya hivyo sababu ya dini yote hiyo ili mradi tu dunia nzima iiunge mkono Palestina ili uislam uonekane una nguvu na unapendwa, msitumie nguvu kubwa sana kuieneza dini yenu narudia hakuna dini ya haki zote ni umafia tu hivyo msipangie watu kipi cha kuunga mkono na kipi siyo acheni kila mtu afanye maamuzi yake
hao wayahudi ndiyo walimtundika yesu (katoto ka nje ka mungu wa kikristo) msalabani,wakampiga misumari na mikuki ya makalio
 
Wayahudii hawachukii Ukristo.wala dini hawana wivu na wala hawahitaji waumini kujiunga nao

Myahudi huwa dini ya kiyahudi kwa kuzaliwa hawahangaiki kama waislamu wawinda wasio wsislamu wajiunge na uislamu hata kwa upanga.Wao hawahitaji.waumini nje ya wazaliwa wao wachukie dini ingine kama ya Kikristo au ya kiislamu ili iweje wakati hata wakitaka kujiunga na dini ya kiyahudi.hawawahitaji

Dini ya kiyahudi haina ugomvi na dini yeyote duniani

TEH TEH TEH,YAANI MPAKA USEMEEE

UNASEMA DINI YA KIYAHUDI HAINA SHIDA NA DINI YYTE DUNIANI KUMBE UNAKUBALI KUWA UYAHUDI HAINA MFANANO WOWOTE NA UKRISTO,ENHE SASA WEWE NGUVU YA KUWASHANGILIA MAYAHUDI NA KUWAITA KUWA NI TAIFA LA MUNGU UNAITOA WAPI??

NA KAMA HAO MAYAHUDI NDIYO WALIMUUA MUNGU WAKO YESU HAPO MSALABANI WEWE UNAWATUKUZA KWA LIPI??
 
Nikichoelewa hapo.
Israel haitaki kufanya kile dunia ya kiislam inafanya.

"Labda" Israel haitaki wakristo waingilie hii issue yao hii iliyo moto kama islam mnavyotaka kulazimisha kila mtu kuunga mkono Palestine.
 
hao wayahudi ndiyo walimtundika yesu (katoto ka nje ka mungu wa kikristo) msalabani,wakampiga misumari na mikuki ya makalio

TEH TEH TEH.

SASA HAWA JAMAA WANAPATA WAPI NGUVU YA KUISHABIKIA ISRAEL ILI HALI NDIYO ILIMUUWA MUNGU WAO??

MAYAHUDI KBOKO SANA,KWAHIYO HADI MUNGU WAO WAKAMPA KICHAPO??
 
Hakuna kitu kama hicho! Hizo ni propaganda za Waislmu kutuingiza Wakristo kwenye mtego wa kuilaani Israeli.
Nchi zote za kikristo ziko pamoja na Israeli,na kihistoria ni Mazayuni wa Kikristo waliosaidia kuundwa kwa Taifa la Israel 1948!
 
MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAARABU.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANASAHAU KUA MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MMOJA YEHOVAH KUPITIA TORATI YA KIYAHUDI
Sikiliza Wewe muabudu MIDOLI...Mnajipendekeza saaana kwa wayahudi lakini wao mayahudi hawakupendeni mpaka wanafikia hatua ya kukuueni.

Wakristo wa Tanzania pumbavu sana wenzao Duniani wanaandamana kumpinga Myahudi wao wanafurahia.
 
allah ni mmoja wa miungu tulioonywa tusiiabudu. Yuko MUNGU mmoja wa pekee, Yehova, Mungu wa Israeli, yaani yule anayeabudiwa katika Kristo Yesu Bwana.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Back
Top Bottom