THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Worldwide, there are nearly one million Palestinian Christians in these territories as well as in the Palestinian diaspora, comprising around 6–7% of the world's total Palestinian population(wikipedia)MKUU HAO WAARABU WAKRSTO UNAOSEMA NI WENGI SANA.
NI ASILIMIA NGAPI YA WAARABU WOTE MASHARIKI YA KATI??
NB: NA KAMA UPEO WAKO MKUBWA BASI USIWACHANGANYE MAZALIA YA WAGIRIKI WA KALE PALE MISRI AMBAO NI (WACOPTIC) UKAWAITA WAARABU SABABU WANAZUNGUMZA KIARABU
USIWACHANGANYE WABYZANTINE WA ISRAEL NA PALESTINA NA JORDAN NA SYRIA NA LEBANON NA IRAQ UKAWAITA WAARABU SABABU WANAZUNGUMZA KIARABU UKADHANI WAO WAARABU.
Around 62% of the world's Muslims live in the Asia-Pacific region (from Turkey to Indonesia), with over one billion adherents. The largest Muslim population in a country is in Indonesia, a country home to 12.7% of the world's Muslims, followed by Pakistan (11.1%), India (10.9%) and Bangladesh (9.2%).
KITU UNACHOTAKIWA KUJUA NI KWAMBA KUWA MUARABU SIYO KUWA MUISLAM,NAJUA UKO BRAINWASHED KUHUSU HILI LAKINI SOMA NA TAFITI VITU WEWE MWENYEWE UJIONDOE KWENYE HUO UTUMWA WA FIKRA