Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Worldwide, there are nearly one million Palestinian Christians in these territories as well as in the Palestinian diaspora, comprising around 6–7% of the world's total Palestinian population(wikipedia)

Around 62% of the world's Muslims live in the Asia-Pacific region (from Turkey to Indonesia), with over one billion adherents. The largest Muslim population in a country is in Indonesia, a country home to 12.7% of the world's Muslims, followed by Pakistan (11.1%), India (10.9%) and Bangladesh (9.2%).

KITU UNACHOTAKIWA KUJUA NI KWAMBA KUWA MUARABU SIYO KUWA MUISLAM,NAJUA UKO BRAINWASHED KUHUSU HILI LAKINI SOMA NA TAFITI VITU WEWE MWENYEWE UJIONDOE KWENYE HUO UTUMWA WA FIKRA
 
Wavaa kobazi wameishupalia hii ishu...Basi mko nusu Kwa nusu na wayahudi
Wavaa kobazi wameishupalia hii ishu...Basi mko nusu Kwa nusu na wayahudi
Mulifikiri ni vita ya kidini mkawananga waislam, myahudi ni adui mkubwa na ametajwa hadi katika vitabu, Wamarekani wenyewe wanaisapot Israel lakini hawako tayari kumpa visa myahudi akaishi marekani
 
NANI AKULAZIMISHE UWE MUISLAM,UISLAM UNA SHIDA GANI NA KAFIRI??WEWE UNA DINI YAKO NA UISLAM NI DINI YAKE INAJITEGEMEA,HATUNA HAJA NA WALA HAUNA HAJA YA KUKUFANYA WEWE UAMINI IMANI HII,ILA KAMA UTAKUJA ETI KWAMBA UISHAMBULIE NA KUTAKA KUDHURU UMMA WETU LAZIMA TUJILINDE NA KUSIMAMIA KILE TUNACHOKIAMINI
 
MKUU KUMBE HATA HUUJUI UKRSTO??
TANGU LINI UKRSTO UKAWA NA MAKAO MAKUU.??
KUMBE WEWE SHABIKI TU HUJUI CHOCHOTE
NB: TOFAUTISHA MAKAO MAKUU YA DHEHEBU NA MAKAO MAKUU YA UKRSTO.

KWANI HAYO NASEMA MIMI AU WANASEMA JAMAA ZAKO,SI UINGIE HATA KWENYE SITES UULIZE MAKAO MAKUU YA CATHOLIC NI WAPI??
 
Teh teh teh

UNAJUA NYINYI KUMBE WENYEWE MNAPENDA KUONGOPEWA NA MNATAKA KUONGOPEWA,WHO TOLD YOU THAT JUDAISM AND CHRISTIANITY NI SAWA??
KWANINI UNAPENDA KUJIPENDEKEZA KWAO NA WAO HAWAKUTAKI??HUYO MUNGU WENU MWENYEWE ALIPEWA KICHAPO ILA BADO TUH HAMKOMI
 
Those palestian Christian are not Arabs.
Au wewe hujui??
NB: NILIKUPA ANGALIZO LA KISOMI NA KIHISTORIA USIWACHANGANYE NA WAARABU KWAKUA WANAZUNGUMZA KIARABU NA WANA MAJINA YA KIARABU.
 
MKUU HATA USEME NINI HUWEZI KYWATENGANISHA WATU WANAOMUABUDU MUNGU WA KIYAHUDI AITWAE YEHOVAH NA MWANAE EMANUELH.
MSINGI WA UKRISTO NA UYAHUDI UPO NDANI YA TORATI YA YEHOVA.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANA MUNGU WAO WA KIARABU AITWAE ALLAH NI TOFAUTI KABISA NA MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO(YEHOVA)
 
Wakristo na Waislamu wakiafrika ni watu walipotea kiakili na kiimani.
 
KWANI HAYO NASEMA MIMI AU WANASEMA JAMAA ZAKO,SI UINGIE HATA KWENYE SITES UULIZE MAKAO MAKUU YA CATHOLIC NI WAPI??
MKUU KATOLIKI NI DHEHEBU LA KIKRSTO NA SIO MWAKIKISHI MKUU WA WAKRSTO DUNIANI.
NB: NI DHEHEBU KAMA YALIVYO SHIA AU HAMADYA AU SUNNI AU WAHABIYA AU MAZER KATIKA UISLAMU.
AU WAMAKABAYO KATIKA UYAHUDI.
 
Mulifikiri ni vita ya kidini mkawananga waislam, myahudi ni adui mkubwa na ametajwa hadi katika vitabu, Wamarekani wenyewe wanaisapot Israel lakini hawako tayari kumpa visa myahudi akaishi marekani
MYAHUDI NI ADUI WA WAARABU NA WAISLAMU NA MUNGU WAO WA KIARABU AITWAE ALLAH.
BALI KWA WAKRSTO NI TAIFA TEULE LA MUNGU WA KIYAHUDI WA WAKRSTO NA WAYAHUDI AITWAE YEHOVA.
NB: VITABU VYA ALLAH NI TOFAUTI KABISA NA VITABU VYA YEHOVA USICHANGANYE
 
SASA BASI WAISLAMU WASILAZIMISHE WAKRSTO WAWACHUKIE WAYAHUDI.
KILA MMOJA AAMINI ANACHOAMINI.
NB: HATA WAARABU WAISLAMU WALIPOTAKA KUSHAMBULIA UMMA WA WAYAHUDI BASI WAYAHUDI WANA HAKI YA KUSIMAMA NA KUJILINDA NA KUSIMAMIA KILE WANACHOAMINI.
 
Ukileta hoja hiyo basi hata Wapalestina siyo Waarabu. Maana Mwarabu Halisi ni Msaudia!
Mkuu sasa wewe hujui historia ya binadamu ulimwenguni,,,,,,ina maana wafunga ngamia wa jwanga la arabia walikua hawahami makazi toka miaka 60000 iliyopita??
Binadamu wana mitindo wa kujongea na ndio sifa ya viumbe hai.
NB:NASIMAMIA HOJA YANGU MKUU KWA USHAHIDI WA KIHISTORIA MIAKA 4000 ILIYOPITA
 
Sasa wewe nani usipewe Challenge kwanza hata kwa kufatilia Tu mdahalo wenu Inaonyesha weww Elimu yako ndogo
HAPA MKUU HAKUNA CHALLENGE BALI UNATOA HOJA ZA KISOMI KWA WELEDI NA VIELELEZO.MAMBO YA CHALLENGE WANAFANYA MASHABIKI WA KIDINI KWENYE MIHADHARA NA SIO SISI WASOMI NA WAANDISHI WA HABARI
UTAMPAJE MTU CHALLENGE KWA ANACHOAMINI NA KUISHI.
NI SAWA NA MUISLAMU AU MYAHUDI UMPE CHALLENGE YA KULA NGURUWE.
NB: NASHUKURU KWA KUONA ELIMU YANGU NDOGO SABABU NDIPO UPEO WAKO ULIPOISHIA MKUU.
 
We bwana hujui chochote kuhusu Quran kaa kimya Mbuzi Wahed
TATIZO LA WAISLAMU NA WAARABU NDIO HILO.
WAO WANAJIFANYA WANAJUA SANA DINI NA IMANI ZA WENZAO.
ILA WAKIAMBIWA KUHUSU IMANI YAO WANAPANIKI NA KUPATA JAZIBA NA KUTUKANA NA KUSHIKA MAJAMBIA.
NB: UKIKAA NYUMBA YA VIOO USIMRUSHIE MWENZIO MAWE
 
HUWEZI KUWATENGANISHA WAKRSTO NA WAYAHUDI NA MUNGU WAO YEHOVA.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANAUMIA SANA KUONA KUA WAKRSTO WANATUMIA TORATI NA KUMUABUDU MUNGU WA KIYAHUDI AITWAE YEHOVA AU EL SHADAI
 
MKUU TATIZO WAISLAMU NA WAARABU HAMPENDI KUAMBIWA UKWELI.
NA HAYO NDIO MADHAIFU MAKUU YA WAARABU NA WAISLAMU...WAKIKOSOLEWA WANACHUKULIA TOO EMOTIONAL NA KUANZA KUTOA MATUSI YA NGUONI AU UGOMVI BADALA YA HOJA.
HII INA MAAANA MISINGI YA DINI YAO IMEJENGWA NA HALI YA KUOGOPA KUKOSOLEWA.
NB: MIMI KAMA MWANDISHI HURU WA KIBANTU NA NILIYEBOBEA KWENYE FANI YANGU NASIMAMIA UKWELI WA HABARI YOYOTE ILE.
IWE YA KIDINI AU KIHISTORIA AU KISIASA AU KIMICHEZO.
 
Those palestian Christian are not Arabs.
Au wewe hujui??
NB: NILIKUPA ANGALIZO LA KISOMI NA KIHISTORIA USIWACHANGANYE NA WAARABU KWAKUA WANAZUNGUMZA KIARABU NA WANA MAJINA YA KIARABU.

Ndo ujue kuwa upeo wako ni mdogo sana na hutaki kujifunza,hilo la kusema palestians christians are not arabs ni sehemu ya mjadala wangu hapa??

Uarabu siyo kuzungumza kiarabu,uarabu ni RACE KAMA ULIVYO MUAFRIKA,KIARABU NI LUGHA TUH INAYOTOKANA NA UARABU,THATS WHY UNAKUTA WAPO WAZUNGU WENGI PIA AMBAO NI WAISLAM NA WENGI PIA WANAZUNGUMZA KIARABU,NA WAPO WAZUNGU WAKRISTO NA WANAZUNGUMZA PIA KIARABU,ITS JUST A LANGUAGE,NINI USICHOKIELEWA??
 
ALLAH MUNGU WA KIARABU DINI ILIYOKUJA MIAKA 700 BAADA YA UKRSTO HANA UWEZO WA KUWAHUKUMU WAKRSTO NA WAYAHUDI WANAOMUABUDU MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA.
NB: KWA WAYAHUDI NA WAKRSTO HAWANA UHUSIANO WOWOTE NA MUNGU WA KIARABU WA WAARABU NA WAISLAMU ALLAH.
WAO WANA MUNGU WAO YEHOVA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…