Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

HUJIULIZI ,KAMA YESU NDIE ALILETA UKRISTO NA WAROMA NDIYO WALIMUUA YESU KAMA UNAVYOSEMA,IWEJE SASA HAO AMBAO WALIMUUA YESU WAWE VINARA WA DINI HIYO HADI KUFIKIA HATUA YA KUWEKA MAKAO MAKUU YA IMANI HIYO HUKO VATICAN??HUTUMII AKILI TUH NA KUJUA HIYO NI FIX??
Sababu ni kuwa Zamani Warumi ndio.walikuwa wakitawala asilimia kubwa ya Dunia ikiwemo Ulaya ,Israel nk

Sasa serikali ya kaisari wa kirumi ilianza kuangushwa sehemu mbalimbali ikaanza kupoteza nguvu na umaarufu wake duniani wakati inaendelea kupoteza umaarufu na nguvu Ukiristo ulikuwa ukikua kwa spidi kubwa mno Kaisari wa Rumi akaamua kuwa Mkristo wakati huo warumi wengi walikuwa wapagani tu kaisari akaamua kuwa Mkristo na kujipa ukuu wa dini na ukuu wa dola pia huku kutumia dini kama chombo chake kipya cha kupata nguvu na ummarufu duniani wakaamua kuanzisha kanisa la Roman Catholic yaani kanisa la Kirumi.la dola ya kirumi chini ya kaisari wa kirumi

Dola ya kirumi pamoja na kufa lakini bado ipo kupitia kanisa la kirumi lenye makao mskuu.Roma kwa Warumi.Badala ya kuita dola ya kirumi dunia nzima wakabadili tu jina kijanja na kuita kanisa la kirumi Roman Catholic church yaani kanisa la kirumi.la dunia nzima

Alichofanya yule kaisari ni kukabidhi madaraka ya kutawala dunia kwa kanisa la Rumi ambalo makao makuu yako kule kwake Kaesari.Na kanisa la Kirumi.lina nguvu kubwa duniani tena kushinda hata kaisari mwenyewe aliyekuwepo sababu lenyewe lina nguvu kuanzia kitaifa , mijini na vijijini hata hapa Tanzania kitu ambacho hata mtawala wa Rumi Kaisari hakufikia huko.na ubabe wake wote

Dola ya kirumi ipo hai hadi Leo inawala kwa mgongo wa kanisa la Kirumi yaani Roman Catholic

Ndio maana nchi zote mrumi.aliwahi tawala zikiwemo.za kiislamu siasa kali wana balozi zao Vatican
 
sasa kwa wale wakristo wa tanzania wanaosema israel ni taifa teule la mungu hii itakuwa tabu mno kumeza.
 
Taja source ambayo unaweza iamini tujifunze, yani news ikitoka katika source gani unahisi ni neutral
HUWEZI KUWASEMEA WAKRSTO NA TORATI YAO NA INJILI YAO NA KUWAPANGIA MAPOKEO KATI YAO WANATORATI WENZAO WAYAHUDI.
KWA CHUKI ZA KITOTO NA KIDINI NA KIKABILA..
 
Hahaha mimi tena nimepanic angalia wenzako wanavyoandika magazeti mimi najibu mistari miwili harafu tu hoja inajionyesha hapo juu siyo maneno yangu hoja ni marufuku kutanganza Ukirsto Israel unaenda jela hiyo ndiyo hojq.
Sawa. Haya maneno yataisaidia watu waungane na wewe kuisupport Palestine?
Nakulipia nauli ukaishi Sudan uone kama huyo Mwaarabu mwenzako ktk Iman atakuacha hai
 
UNACHOULIZA NA NILICHOMJIBU HUYO MGALATIA ASIE NA AKILI NI VITU VIWILI TOFAUTI,YEYE ANASEMA WAISLAM WANATAFUTA HURUMA KWA WAKRISTO KATIKA MGOGORO HUO WA MIDDLE EAST,THATS WHY NIMEMJIBU KUWA OCCUPATION IMEANZA TOKA MWAKA 1948,NA HAMAS IMEANZA OPERATIONS ZAKE 1987 HADI LEO HALI SI SHWARI HUKO,LINI SASA AMESKIA WAISLAM AU HAMAS WAMELIA KUTAKA HURUMA YA WAKRISTO??
YUPO SAHII WAISLAMU WANATAFUTA SAPOTI YA WAKRISTO KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI.
KWA KUWAAMBIA WAKRSTO OOOH MAYAHUDI HAWAWAPENDI.
WANASAHAU KINACHOWAUNGANISHA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MUNGU WAO WA KIYAHUDI YEHOVA NA TORATI.
NB: CHRISTIAN THEY CANT BELIEVE WORSHPER OF ARABIAN GOD ALLAH
 
Mkuu Laiti kama ungewasikia wayahudi wanachosema usingeandika hii comment
 
UNACHOULIZA NA NILICHOMJIBU HUYO MGALATIA ASIE NA AKILI NI VITU VIWILI TOFAUTI,YEYE ANASEMA WAISLAM WANATAFUTA HURUMA KWA WAKRISTO KATIKA MGOGORO HUO WA MIDDLE EAST,THATS WHY NIMEMJIBU KUWA OCCUPATION IMEANZA TOKA MWAKA 1948,NA HAMAS IMEANZA OPERATIONS ZAKE 1987 HADI LEO HALI SI SHWARI HUKO,LINI SASA AMESKIA WAISLAM AU HAMAS WAMELIA KUTAKA HURUMA YA WAKRISTO??
HAMAS WAMELIA SANA KUOMBA CEASE FIRE KWA KAULI KAMA.
"""OOH IDF WANAUA WAKRSTO WENZENU NA KULIPUA MAKANISA GAZA"""
WAKATI GAZA HATA MAKANISA HAYAFIKI MATANO NA WAKRSTO WANABAGULIWA NA HAMAS"""
 
Bora ata huko kuna 1.8% ya wakristo Je Saudi Arabia wapo % ngapi? ya wakristo ambao ni raia wa nchi hiyo maana hiyo ndiyo maana halisi ya nyani halioni ku...le.
Nasema magaidi wa hamas waendelee kupokea kipigo cha mbwa koko

Sisi wakristo tunao elewa haya mambo tupo pamoja na Israel kwenye haki yao ya kujilinda na kuchukua ardhi yao toka kwa wavamizi wa kiarabu

Nb; quran tukutu inawaamrisha waislamu kuwaua wayahudi na wote wanaowaunga mkono.
 
sasa kwa wale wakristo wa tanzania wanaosema israel ni taifa teule la mungu hii itakuwa tabu mno kumeza.
NDIO TORATI INAVYOSEMA KUA WAYAHUDI NI TAIFA TEULE.
WEWE ITAKUKWAZA SABABU UNAAMINI QURAN.
HUWEZI KUWABADILI,,,NI SAWA NA KUMPA MUISLAMU NGURUWE
 
Hesabu 35:

33 Hivi hamtaitia unajisi nchi ambayo mwakaa; kwa kuwa damu huitia nchi unajisi; wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya damu iliyomwagwa ndani yake, isipokuwa ni damu ya huyo aliyeimwaga.

34 Kwa hiyo msiitie unajisi nchi muiketiyo, ambayo naketi nami kati yake; kwa kuwa mimi BWANA nakaa kati ya wana wa Israeli.
 
Fact
 
Bora ata huko kuna 1.8% ya wakristo Je Saudi Arabia wapo % ngapi? ya wakristo ambao ni raia wa nchi hiyo maana hiyo ndiyo maana halisi ya nyani halioni ku...le.
Nasema magaidi wa hamas waendelee kupokea kipigo cha mbwa koko

Sisi wakristo tunao elewa haya mambo tupo pamoja na Israel kwenye haki yao ya kujilinda na kuchukua ardhi yao toka kwa wavamizi wa kiarabu

Nb; quran tukutu inawaamrisha waislamu kuwaua wayahudi na wote wanaowaunga mkono.
NA SASA WANAOMBA MSAADA WA WAKRSTO KATIKA KUWAUA WAYAHUDI.
LAKINI WANASAHAU WAKRSTO MUNGU WAO NI YEHOVA NA SIO ALLAH
 
TATIZO MKUU WEWE SIO MFUASI WA IMANI YA KIEBRANIA UNATOA MAONI YA KUHUDHIRIA MIKUTANO WAKATI MIMI MPAKA LEO NASALI NDANI YA SINAGOGI KAMA MUUMINI NA AMBAE NIMEISHI NDANI YA UEBRANIA NA KUISHI NDANI YA TORATI NA INJILI KAMA MUUMINI.
UKRSTO KATIKA UYAHUDI UNA SEHEMU YAKE NA UNABII WAKE NA MAPOKEO YAKE.
NB: TAFUTA GOMBO LA NABII ISAYAH NA NABII NEHEMIAH NA UUSOME UKRSTO NDANI YA UEBRANIA(JEWS)
Mkuu ukisema kuwa mimi sio mfuasi wa imani ya kiebrania unaijua imani yangu?
Huwezi ukasali kwenye synagogue na ukashika injili unless Unasema kanisa kwa lugha isiyosahihi..
Kwa sababu hata ibada inavyofanywa na Wayahudi ni tofauti na ibada ya wakristo..

Ngoja niandae uzi jinsi Ukristo ulivyodepart from judaism nitakutag mkuu kufikia saa sita au tano utakuwa tayari...
Niliwahi kuwa mkristo Mkuu nikasoma mpaka theology na pia nilifanikiaa kukaa huko (Kama nilivyoelezea awali nikasoma Halakha ,nikasoma Aggadah nikafundishwa Tanakh kwa mafundisho ya marabbi mbalimbali ,Nikasoma Rabbinic Narrative zote mfano mishnah na talmud...
Kwahyo ukiona nasema kitu kuhus wayahdi nawajua vizuri sana..

Na ndo maana nimekupa challenge kuwa ukinipa even a single rabbi kutoka Judaism ambaye anakubaliana na christian theology Niko radhi kuwaambia modss wanifute JF kabisa mazima (Zingatia Rabbi wa judaism)
 
Wanaukumbi.

Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.

Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo

Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Kwanza Ile kesi waliyoshtakiw Kwa kumuua Yesu ilifikia wapi?
 
Back
Top Bottom