jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Duh!kumnyenyekea nani kwa mfano?Yesu hakuwa "mnyenyekevu"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!kumnyenyekea nani kwa mfano?Yesu hakuwa "mnyenyekevu"?
Kilberali kwa maana ya “liberal”?Ukristo wa huko Marekani umechukua mkondo wa siasa za Kiliberali.
Haishangazi hata kuona namna hao Engavelicals wanavyosapoti Vita vya Israel huko Gaza kwa kisingizio cha kiimani bila kutambua hata Wapalestina Wakristo wanateseka sana na hiyo Vita.
Hayo ni matokeo ya mapokeo ya kidini ya kibinadamu , ila ' Ukristo ' kwa mujibu wa Biblia haupo hivyo.
zitto junior Mathanzua
DR Mambo Jambo
Sidhani kama ni kweli unachosema. Hao blacks labda either walikosea njia ama ni wageni hapo marekani.hata arabic counries racism ipo,japo kwa US hali ni mbaya zaidi, kiasi cha baadhi ya churches kuzuia blacks kukanyaga hata kizingiti cha madhabahu.
Mila gani kwa mfano ambazo tumeziacha?Kwa sisi waafrika tulisha shituka ,wisilamu ni janga na ukiristu ni matatizo.
Tuziludie Mila zetu
Kwa heshima ya Kiranga nitaondoa nukta. Life is a matter of subjectivity. 10% of it people come into common terms, such as the sun rises from east and sets on west. The rest is mere arguments, whereas conclusion depends on the wise ones.Kwa nini unajibu jibu la mtazamo tu, kwa swali ambalo limeuliza kupita mtazamo tu?
Kwa heshima ya Kiranga nitaondoa nukta. Life is a matter of subjectivity. 10% of it people come into common terms, such as the sun rises from east and sets on west. The rest is mere arguments, whereas conclusion depends on the wise ones.
Hivyo kujibu ishu iliyopo mezani ni kwamba, whether you believe in God, gods, matter, or you dont believe, brother, 90% of our lives we grope and fumble on nothingness unto oblivian. If the arguments are part of your daily bread, then it''s well and good.
Belief is idealism. Fact is materalism. Iam supple. You are rigid and stiff, prone to break. As long as these two ends don't meet, we will never reach conclusionWhere do you get that 10%? That is a very specific number.
Kwa nini belief iwe issue?
Mimi sitaki belief, nataka kuondoka kwenye belief kwenda kwenye fact.
Sasa, kwa nini wewe unarudi kwenye belief?
Namshukuru Mungu nimeshakaa huko amerika. Ukweli ni kwamba, sio kweli kwamba Ukristo Marekani umekosa mwelekeo. Never. ila Ukristo Afrika ndio umekosa mwelekeo kabisa. Marekani huwezi kukuta kina mwamposa wanauza maji na mafuta au wanasema watu waje wakanyage mafuta, huwezi kuona sarakasi hizi za kuseta watu walete nywele za utosi au kucha kidole kidogo au kidole gumba, haya ni kwa waafrika tu.Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa.
Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake zianendeshwa kama zile za Kiluteri nilikotokea. Isipokuwa niliacha tena kwenda kanisani kwani kila mara sehemu kubwa ya mahubiri yao ni kuhimiza watu kuchagua republican tu.
Baada ya kuhudhuria kwa muda mrefu kanisa hilo, niliggundua kuwa hata mapadri walikuwa na ubaguzi fulani dhidi ya watu weusi. Sasa ukienda kwenye hao Evangelicals, ndiko utakuta wanalofahamu ni kuwa Marekani ni nchi ya weupe tu, wengine wote ni haramu.
Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa.
![]()
God Bless The USA Bible
Welcome to the official home of the God Bless The USA Bible, the only Bible endorsed by President Donald J. Trump and Lee Greenwood.godblesstheusabible.com
You still haven't even answered where did you get that 10%.Belief is idealism. Fact is materalism. Iam supple. You are rigid and stiff, prone to break. As long as these two ends don't meet, we will never reach conclusion
Ukipata pa kushikia unakomaa hatari 😄. Ok, roughly 10%. Idealism and materialsm still applyYou still haven't even answered where did you get that 10%.
It seems like you are just making shit up.
That is neither idealism nor materialism.
It is just lying.
Taka mwaka maana hata Roman empire walikiwa na akili kama zako mwishowe Roman ndio ikawa nguzo ya ulinzi wa Ukristo.. and mnatakiwa kufahamu kuwa Kanisa ni watu hata wakiwa wawili wakitaja jina la Mungu Yesu anakuwepo.. so Kanisa ni just a jengo tu.. na kibaya zaidi yamekuwa maeneo ya kukusanya fedha tuTUNAKOELEKEA MAKANISA YATAKUWA MAGOFU
Hata hiyo roughly 10% unaipata wapi?Ukipata pa kushikia unakomaa hatari 😄. Ok, roughly 10%. Idealism and materialsm still apply
Haya hongera na kuwa na siku njema.Mkuu dini ya kiislam ilikuwepo tokea mtu wa kwanza kuja ulimwenguni baba yetu Nabii Adam A.S., Mtume Muhammad S.A.W alikuja kuukamilisha tu na kuwa ndio Mtume wa mwisho.,
Uislamu ulikuwepo hata kabla ya huo ukiristo mana ukiristo ilibidi nabii Yesu azaliwe hadi awe mkubwa ndipo kina Paulo wakaja kukupeni dini ya Ukiristo, ata Nabii Yesu mwenyewe Ukiristo haujui, Paulo aliandika biblia baada ya Nabii yesu ata yeye Paulo hakumshuhudiapo nabii yesu. Yesu alitokea Middle East Pauli aliwatungia ukiristo Antiokia huko akakuleteeni nyinyi ata biblia yenu hamuisomi mukaielewa
Dini ni ishu ya utamaduni.
Ukristo na waafrika wapi na wapi?
Uislamu na uafrika wapi na wapi?
Ninyi waafrika ndio mnajua sana kujipendekeza kwenye mambo yasiyowahusu.
Ukristo ni Uzungu
Uyahudi ni kwa waisraeli
Uislamu ni kwaarabu
Uhindu ni kwa Wahindi
Ubudha ni kwa wachina.
Ninyi mnakiherehere
Umekuwa msemaji wa tyson na Tate ??Kwamba kuna ukristo unaenea kwa kukashifu uislam😄😄.
Nyie watu mkishiba futari mnakuwa na ufala sana.huko marekani mnagejua kuna waislam wa aina gani,mngewakataa,mtu kama tate ama tyson ni aina ya waislam wa kimarekani,wanaamini uislam ni kama harakati fulani.
KANISA ni mtu.
HEKALU ni mwili wako.
MADHABAHU ni moyo wako na utayari wako kumwabudu Mungu.
Kwa tafsiri hiyo, sahau kuhusu kufutika Kwa Imani katika kristo Yesu.
Amen
Wewe ni mhalifu, siwezi kukupa ushahidi.Wapi umesoma hayo uliyaandika , tuwekee ushahidi please
shukraanHaya hongera na kuwa na siku njema.