Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mizigo iliyojazia neema za muumbaAfadhali masharti yalegezwe Aisee! Hali ni mbaya sana,wenzetu wanakula raha tuu karne ya ngapi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mizigo iliyojazia neema za muumbaAfadhali masharti yalegezwe Aisee! Hali ni mbaya sana,wenzetu wanakula raha tuu karne ya ngapi hii.
Kwanza mm tofauti na kuwa bachela lakn bado nafikiria kufanyiwa huduma/operation inaitwa RISUG ili nisizalishe mwanamke yyte mpaka hapo nitakapoamua. Japo hii huduma bado haijafika bongo.Naomba niulize swali wana jamvi!
Huwa kuna ugumu gani wa kubaki bachelor na kulala mtu yoyote wakati wowote unaojiskia?
Lengo linakuwa ni nini kujiingiza kwenye ndoa,wakati unajua hata ukipewa wake na masuria wote aliyokuwa na suleiman bado utatamani tu kila ambae hujalala nae?
Sababu leo hii utaona wanaoruhusiwa kuoa wake wanne wanafaidi,kesho utaingia kwenye mfumo huo na bado utakuwa tu na hoja mpya,ya kutoridhika.
Ndoa ni kitu cha hiari,kwanini ulazimike kuoa?wakati unajua kabisa nataka kuchovya chovya huku na kule?
Naomba Tusaidiane mawazo ili tuelewe shida iko wapi hasa.
Especially wale wanawake magoli kipa,yani hapo umepatia kabisa.....Ni wakali kwasababu wanajua tayari ukiwaoa huna ujanja hapo wa kuongeza mke.
Mwanamke anapojua kwamba mwanaume bado anaweza kuongeza mke, hapo anashika adabu yake.
Mfano yeye anaweza kujipangia mzae watoto wawili tu akijua huwezi ongeza mke, ila akijua unaweza kuongeza mke atakuzalia tu ili usiongeze mke.
Kama umeamua usioe ili uchovye chovye kila mahali,nafikiri ni bora tu kuwa honest with yourself na jamii/family yako.wasianze kukulazimisha uoe ili sjui mila blabla.Kwanza mm tofauti na kuwa bachela lakn bado nafikiria kufanyiwa huduma/operation inaitwa RISUG ili nisizalishe mwanamke yyte mpaka hapo nitakapoamua. Japo hii huduma bado haijafika bongo.
Yaan hawa wanawake wa kizaz hk ni chanzo cha matatzo mengi sana kwa wanaume.
Kwa kweli huwa nashangaa nikiskia kijana mwenye umri wa 20's anaona. Huwa najiuliza unaoa ili iwaje? Mm sio mtu wa kufungua zpu ila cjawahi kufeel ndoa. Yaan sinaga uhun uhuni ila cjawah kuielewa taasisi ya ndoaKama umeamua usioe ili uchovye chovye kila mahali,nafikiri ni bora tu kuwa honest with yourself na jamii/family yako.wasianze kukulazimisha uoe ili sjui mila blabla.
Utapata more support kuliko haya mambo ya kujijua kabisa zipu iko wazi 24/7 then unaanza kuwapa watu false hopes,mwishowe ving'ang'anizi wakuloge uanze kusota na waganga.
Kuna watu wanaamini marriage,education is a scam like any other,sjui kuna uhakika kiasi gani ila tukihama kwenye ndoa nadhani socialization inaathiri.Kwa kweli huwa nashangaa nikiskia kijana mwenye umri wa 20's anaona. Huwa najiuliza unaoa ili iwaje? Mm sio mtu wa kufungua zpu ila cjawahi kufeel ndoa. Yaan sinaga uhun uhuni ila cjawah kuielewa taasisi ya ndoa
👆Kwa kweli huwa nashangaa nikiskia kijana mwenye umri wa 20's anaona. Huwa najiuliza unaoa ili iwaje? Mm sio mtu wa kufungua zpu ila cjawahi kufeel ndoa. Yaan sinaga uhun uhuni ila cjawah kuielewa taasisi ya ndoa
Kweli mkuu nakubaliana na uliyoyaandika.Madhehebu yote ni miradi ya watu , Ila biblia inabaki inastand firmly...Daudi , suleman , Yakobo , na mshujaa wengi walioa wake wengi lakini Kwa Gharama kubwa ya kuyumba kiimani , waliosimama imara kabisa ni wale ambao hawakuoa Eg Eliya mtishbi , Musa ( yeye alimtelekeza mkewe jangwani) , Daniel , Yeremia , Isaya , Yohana mbatizaji ...
Note: wanawake ni uchochoro mzuri wa shetani
Hakuna dhehebu la kweli , yote ni miradi ya upigaji , amini biblia peke yake mzee
Mkuu, umewahi kukutana na maneno haya ya Yesu na kuyatafakari?Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.
Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha!
Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.
1 Wakorintho 6:16
Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "Nao wawili watakuwa mwili mmoja.
pia ni dhana ya wingi wa kilicho chini kujikusanya kwa chenye ukuu kuwa kimoja, hata kiroho watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu wako wengi ila wanatengeneza kwa vile wapo chini ya Bwana wanatengeneza roho moja tu,
1 Wakorintho 6:16
Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.
basi hivi ndivyo ilivyo kwa mwanaume mwenye wake wengi, licha ya kuwa na wanawake wengi bado itakuwa ni mwili moja.
..............................
Matokeo ya kuafiki maandiko haya
-kuna kesi kibao za wanawake kuwanyima unyumba wanaume zao (njia pekee ni mwanaume kuchepuka)
-Mwanamke anampangia mwanaume wawe na watoto wangapi (anaweza kuzaa mtoto moja shughuli imeisha)
-Mwanaume anaweza asiwe na watoto kama mwanamke ni tasa.
Sawa,kupanga ni kuchagua,uoe wake wengi wakuchanganye akili au ubaki na mmoja utengeneze maisha.WALEI ( RELIGIOUS LAYMEN) ndo hupangiwa na Clergymen wafanye nini.
Mababu zetu wa Imani wote kuanzia na Ibrahim ambaye Mungu alimwita Rafiki yake, walikua na Wake Wengi!
Polygamy is the Rule hapa
Karibu tu kutafakari HAYA ; Mwanzo 1:18, na Mwanzo 1:24.
Tupeleke muswada bungeni wa marekebisho ya sheria ya ndoa ya mwaka 1970,kipengele cha mdoa ya mke moja ifutwe.Hakuna andiko lililopinga kuoa zaidi ya mke moja kulingana na maelekezo ya Mwenyezi Mungu
Nadhani tungeanza na wapi imeandikwa kiongozi wa dini kutokuowa na sister kutokuolewa? Mtoa mada kaleta hoja nzuri na ijibiwe kwa facts sio kujuu juu. Inatokea labda Mke anaumwa hawezi tena kufanya tendo sasa mwanamme afanye nini? hata waislamu kweli unaruhusiwa wake 4 lakini ziko sababu nyingi zinafanya mtu afikie maamuzi hayo. Ila wako sababu tu wana uwezo wanatafuta wake 4 lakini hata wamasai sijui hata ni dini gani lakini anaweza kuwa hata na 10 huko wana sababu zao pia.Ni wapi ukristo ule wa maandiko umembana mwanaume kuoa mke moja ukiachana naule ukristo wa kufata maelekezo ya viongozi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise kuna watu ni wapumbavu kupindukia. Sasa hapo ndo ibada inafanyika ama vipi?
True kiongozi!Nadhani tungeanza na wapi imeandikwa kiongozi wa dini kutokuowa na sister kutokuolewa? Mtoa mada kaleta hoja nzuri na ijibiwe kwa facts sio kujuu juu. Inatokea labda Mke anaumwa hawezi tena kufanya tendo sasa mwanamme afanye nini? hata waislamu kweli unaruhusiwa wake 4 lakini ziko sababu nyingi zinafanya mtu afikie maamuzi hayo. Ila wako sababu tu wana uwezo wanatafuta wake 4 lakini hata wamasai sijui hata ni dini gani lakini anaweza kuwa hata na 10 huko wana sababu zao pia.
[emoji23][emoji23][emoji23] mnaelewa vibaya sana biblia. Yaani mke unashuhudia kila mara anakung'utwa huko nje, kwahiyo unalazimishwa kuendelea naye kisa tu kilichounganishwa sijui na Mungu mwanadamu asikitenganishe?Mkuu, umewahi kukutana na maneno haya ya Yesu na kuyatafakari?
Mathayo 19:4-6
4 Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
5 akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
6 Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
Vv
[emoji23][emoji23][emoji23] tuiamini biblia pekee kwa misingi ipi? Kwamba yenyewe haikuandikwa na wanadamu kama vilivyo vitabu vingine? Hiyo ni miradi ya watu mkuu amka usingizini.Madhehebu yote ni miradi ya watu , Ila biblia inabaki inastand firmly...Daudi , suleman , Yakobo , na mshujaa wengi walioa wake wengi lakini Kwa Gharama kubwa ya kuyumba kiimani , waliosimama imara kabisa ni wale ambao hawakuoa Eg Eliya mtishbi , Musa ( yeye alimtelekeza mkewe jangwani) , Daniel , Yeremia , Isaya , Yohana mbatizaji ...
Note: wanawake ni uchochoro mzuri wa shetani
Hakuna dhehebu la kweli , yote ni miradi ya upigaji , amini biblia peke yake mzee