Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Wewe hujaona ushahidi nilioweka hapo na tarehe nmekuwekea kabisa.
Mwanzilishi wa Ukristo Ni constantini aliyekuwa kuhani mkuu wa ibaada za jua
Kama umetaka iwe hivyo unavyofikiri huoni wewe ndiye mwenye shida kuliko huo Ukristo unaohangaika nao? Jina Mkristo linatokana na Kristo - yaani mfuasi wa Kristo anaitwa Mkristo. Kwamba Constantine ndiye kaanzisha Ukristo ni fallacy iliyopitliza. Kwa nini kama yeye ndiye mwanzilishi wafuasi wake wasiitwe angalau 'Constantines'. Hata wafuasi wa falsafa ya Aristotle wanaitwa Aristotelians au wa Machiavelli wanaitwa Machiavellians. Ni unbelievable kusema Aristolians ni wafuasi wa Kant au Thomists ni wafuasi/wanafunzi wa René Descartes.
Nini tafsiri au maana ya dini?
 
Mkristo hawezi ujua zaidi uislamu kuliko Muislamu na pia Muislamu hawezi ujua zaidi Ukristo kuliko Mkristo. Zaidi ya hapo ni changamsha mada tu.
Sure! Ni kama ulambe sukari halafu atokee njemba aseme anajua jinsi unavyojisikia kuliko wewe mwenyewe uliyeonja. Hawa watu wanaohangaika na dini za wenzao sijui huwa hawana kazi ya kufanya?
 
Njaa mbaya sana. Unatafuta waumini kwenye jukwaa la wajuvi wa mambo?? RC, KKKT NK wanaabudu siku ya jumapili kwa Imani Yao kwamba wanaadhimisha siku ya UFUFUKO WA BWANA YESU KRISTO MBEBA UZIMA. OVER
 
Hata Masihi Yehoshuwa mwenyewe mpaka anatundikwa mtini hakuwahi sikia hilo jina la Yesu wala kristo. Wala wafuasi wake kipindi yuko hai hawakuitwa wakristo.

Sasa inakuaje wafuasi wake leo mnaojiita wakristo mseme kuwa mnamfuata mtu ambaye hata jina lake tu hamlijui??
Na iweje mumpakazie uongo masihi kuwa aliangikwa msalabani wakati yeye alitundikwa mtini??
 
Unafahamu jina Takatifu la Yesu limetokana na lugha Gani?
Kwanza anaitwa Yahushua(Wokovu watoka Kwa YHWH) Ha'Mashiach(Mpakwa Mafuta/ The Anointed One), ambalo lilitafsiriwa kwa lugha ya Kigiriki kama Iesous Christos maana kipindi kile lugha maarufu zilikuwa Kigiriki na Kilatini kipindi Cha Mitume.
Iesous ikitafsiriwa kwa kiingereza linakuja jina la Jesus .
Mbn Qur'an zilizotafsiriwa zinamuita Jesus son of Mary?
 
Hadithi nzuri Sana kwa kuwafundishia vijana madrasa,ungeongeza nyama kidogo kwamba, WAKRISTO hawataki kufuga majini,na kumkubali marehemu Mo,pia ungesema marehemu Mo aka mudy alioa mtoto wa miaka sita,miaka 9,`akaanza kubandua, Lakini pia alikua hajui kusoma na kuandika x
 
Ungejikita kwenye kupangua hoja zake ingependeza zaidi kama wanavyojaribu wenzako walio wastaarabu.
 
Kupokea ROHO MTAKATIFU na akafanya kazi ndani yako yote yatakuwa ni UELEWA MTUPU.

" Tuliwaona watu , wakitoa pepo , tukawakataza ,,,,,,,,,,"

Haya ndo mambo yaliyowajaa watu wasio na ROHO MTAKATIFU.

leo hii alama ya UPINDE WA MVUA ukiulizwa inamaanisha nn? Kwa kuwa akili yenye mgando isiyo na ROHO MTAKATIFU , itakupa jibu la AJABU.

ROHO ambazo bado ziko GIZANI , kwao kufurahi na kusherehekea PASAKA na CHRISTMAS ni machukizo!! Ukiwauliza kivipi?

Ooooh, haikusherehekewa hivyooo, ooooh hiyo tarehe siyo!! Acha kukariri , ruhusu ROHO MTAKATIFU AKUTAWALE utaona mambo yote ni mepesi na ni katika UTUKUFU WA BWANA kwa njia mbalimbali.

Kwahiyo tunapouona UPINDE WA MVUA angani ni ushoga umepandisha utambulisho wao ANGANI?
 
Kwani maana ya Masihi ni nini? Kwenye Kigriki neno Christos, ambalo kwa Kiebrania lina maana ya meshiah (messiah) maana yake ni mpakwa mafuta. Kwa Kiingereza "the anointed one" - yaani Kristos (Christ/Kristo) alikuwa mwana mpakwa mafuta kutoka ukoo wa Mfalme Daudi na ambaye alitajiwa kuwakomboa "waana wa Israeli". Jina Yesu (Kiswahili) na Jesus (Kiingereza) linatoka kwa Kiebrania (Yeshua), ambalo kwa Kigriki ni Iesous, kwa Kilatini IESVS na kwa Kiingereza Jesus na Kiswahili Yesu na lina maana ya mkombozi. Yesu hakutundikwa mtini (kama unajua maana ya kutundikwa mtini) - kwenye mti (kama kichakani). Kutundikwa msalabani ina maana zilikuwa aina ya mbao au papi nene zilizotengenezwa kama alama ya kujumlisha (masala) kwa ajili ya kuweka sehemu ya mikono (kwenye ubao/papi iliyolala katikati) na kichwa, kiwiliwili na miguu kwenye ubap/papi iliyosimama. Sasa hiyo ya kutundikwa mtini ndiyo naisikia kutoka kwako. Au ni wewe uliyemtundika mtini?
 
Wenyewe wanakuja,watakupinga.
 
Nimesoma vizuri ila nimegundua Kuna vitu upo sahihi na kunavitu haupo sahihi 100%
 
Nyani haoni kundule; Uislam wenyewe hae inherited many things kutoka Ukristo na Uyuda plus kuna many pagan rituals in Islam pia km Hajj uko Mecca and stoning the Devil. Ile pia ni pagan rituals pia ungesoma historia ya Satanic verses na controversy yake ungeelewa kwamba Mohammed Km mwanasiasa alicompromise kwa waarabu at that time who were idol worshippers kwamba wataabudu miungu yao maarufu na wapendao zaidi LAT, UZZA AND MANAT. So ukifuatilia kila dini tu Km nchi unakuta mambo kibao; wenye dini wanaamua tu what to ignore 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…