Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Mimi navyofahamu Uislamu ni wanaabudu shetani moja kwa moja hakuna kupindisha maneno.

Ndio maana hata huko kila mtu na jini lake la kumlinda.
Ni kweli kabisa umeongea ukweli na Kwa maana wanaamini basi wao ndio watajibu siku ya mwisho
 
Kufufuka KWA Yesu Kristo wa Nazareth ndio mwanzo mpya wa imani ya Ukristo.
Wakristo wanasherekea ushindi wa dhambi pamoja na Yesu Kristo
 
Yesu Kristo ndie Bwana wa saba, Yesu ni MKUU kuliko sabato. So Mkristo hafungwi na siku bali kwa msalaba wa Kristo pekee.
Shetani ajawi kuumba hata sisimizi yeye ubadili vilivyoumbwa na Mungu mfano alama, namba, nk kwa nia ya upotoshi.
 
Asalam aleykum...twende kwenye mada

Kusali jumapili
Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato.
Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili inayokataza mtu kuabudu sanamu. Ambayo bila shaka Wakatoliki wengi hufanya.

Wakati wa Masihi Yehowshuwa, (jina la kweli la Masihi) siku ya kuabudu ilikuwa siku ya 7. Mwanzoni wafuasi wa kweli wa Yehova na mwanawe Yehoshuwa, walikuwa wakishika Sabato ya siku ya 7.

Lakini walipouawa na kufa, na muda ukapita, 'siku ya kupumzika' ilibadilishwa kuwa Jumapili. Siku ambayo Wapagani wa Kirumi walikuwa wakiabudu Jua. 'Sol Invictus,' (jua lisiloweza kushindwa.)

Konstantino (mtawala wa dola ya Rumi aliyekuwa wa kwanza kuingiza ukristo kwenye dola ya rumi) alisemekana kuwa kuhani mkuu wa Sol Invictus, ambayo ilibebwa kutoka Babeli, ambayo ilibebwa kutoka Misri.

Mnamo 321 BK Constantine, alitunga sheria ya Jumapili, ikisisitiza kwamba 'Siku ya Jua'/Sunday inapaswa kuwa siku ya mapumziko. Hii iliwaleta waabudu jua wote Kanisani, pamoja na pesa zao. Na Kanisa Katoliki liliendelea na maadhimisho haya. Kanisa Katoliki ni mama wa Makanisa yote ya Kikristo. Hii ndiyo sababu makanisa mengi ya Kiprotestanti pia hutunza Jumapili. Kwa sababu wanatoka 'kanisa mama'

Utatu mtakatifu

Moja ya mahitaji katika ibada ya jua ni hitaji la kuwa na miungu watatu, baba, mama na mtoto.
Utatu wa Nimrodi, Tamuzi na Semiramis ulikuwa ni utatu mtakatifu wa zamani zaidi. Na biblia inasema kwamba Wayahudi wa awali walikuwa wakiabudu Tamuzi.

Tamaduni hii bado iko hai hadi leo katika Makanisa ya Kikristo, kuanzia na Kanisa Katoliki. Wameendeleza namna hii ya kuabudu jua.
Konstantino ndiye mfalme aliyeuingiza Utatu mwaka 325 BK.
Watu wote ambao hawakukubali, walitawanyika au kuuawa.

Konstantino mwenyewe alikuwa kuhani mkuu wa ibada ya jua, Sol Invictus. Aliendeleza dini hii na kuiita Ukristo. Kanisa Katoliki hutumia ishara hizi, ishara na mila zinazotokana na ibada ya jua. Kwa mfano, IHS, ambayo watu wengi wanaamini inasimama kwa monogram ya Yesu, au Iesous ya Kigiriki pia inasemekana kumaanisha utatu wa Isis, Horus, na Seth (Utatu wa Misri).
View attachment 2595421

Alama nyingi za waroma utakuta lazima kuna jua linaonekana. Hata picha zao za yesu na bikra maria kwa nyuma kuna jua linaonekanaView attachment 2595425

Kwa hiyo kwa kuzingatia mapokeo ya kuabudu jua, wamebadilisha sabato ya kweli, siku ya 7, kuwa Jumapili ya siku ya 1, siku ya jua./sunday

Msalaba
Alama maarufu inayotumika katika Ukristo, ni Msalaba.
Watu wengi hawajui kwamba neno cross na neno crucify si vya kibiblia kweli, bali asili ya Kilatini.
Kiebrania original kinasema nguzo,
Neno sahihi ni neno la Kigiriki Stauros linalomaanisha nguzo au mti.
Kanisa Katoliki lilipomwagiza Jerome kutafsiri Biblia katika Kilatini, kwa hila kabisa walitafsiri vibaya neno Stauros hadi Crucem, ambalo KJV ilitafsiri kuwa Cross katika Toleo la Kiingereza. (Ingawa toleo la King James ilipaswa kutafsiriwa kutoka kwa maandishi ya Kigiriki ya Agano Jipya,)

walichukua
Alama ya Kilatini ya Kuabudu Jua 'Msalaba'. Ambayo Konstantino alikuwa kuhani mkuu wake, na akaipitisha kutumika na Kanisa Katoliki.

Kwa hiyo Masihi aliuawa juu ya mti, au nguzo, na si Msalaba. Na waliposema msulubishe, neno la awali la maandishi ya Kigiriki ni Stauroo, ambalo linamaanisha kutundikwa. Kwa hiyo walisema mtundike mtini. Masia Walimtundika kwenye mti.

Hivyo kwa nini matumizi ya Msalaba? inaweza kuwa kwamba hii ni alama! (Alama ya mnyama?)

Mpaka leo dini mbalimbali za kishetani ikiwemo freemasons na zakichawi hutumia alama ya msalaba.
View attachment 2595442

Papa ndiye kuhani mkuu wa ibada ya jua, Na Wakatoliki wengi hufanya ishara ya msalaba juu yao wenyewe, na kuhani hufanya ishara hii kwenye vipaji vya nyuso zaoView attachment 2595443
Kwenye Jumatano ya Majivu, makanisa mengi hufanya ibada ambayo kila mtu ana alama kwenye paji la uso na ishara ya msalaba kwenye majivu. Ninaelekea kuamini kwamba hii ndiyo alama ya mnyama inayotajwa katika Ufunuo 17:13.

SDA (Waadventista Wasabato) wanasema alama ya mnyama ni Jumapili, wakisema kwamba Kanisa Katoliki linadai kuwa kubadilisha sabato kuwa Jumapili ni alama yao ya mamlaka, kuonyesha kwamba wana uwezo wa kubadili sheria na kanuni.
Nina mwelekeo wa kufikiri kwamba 'alama ya mnyama' ni msalaba, na ndiyo sababu wanaitumia. Wamebadilisha jina la Masihi hadi kuitwa Kristo kwa sababu kigiriki inaandikwa Χριστός ikiwa na alama ya msalaba (X) ukiwa upande.

Kitu cha muhimu kuelewa ni kwamba, makanisa yote ya Kikristo yanaabudu Mungu wa uwongo kwa sababu yanamwabudu Yesu Kristo. Yesu Kristo ni jina lisilo sahihi. Jina la kweli ni Yehowshuwa na alikuwa Masihi, si Kristo.
Kwahiyo
 
Inawezekana unachokisema ni kweli,lakini wewe binafsi inakusaidia nini?imefanya maisha yako yawe Bora?je kwa sasa hv wakristo wakienda kuabudu wanakuwa wanaabudu jua au Mungu?
Je hayo uliyoyasema tutayathibitsha vipi?hizi dini zilikuwepo kwa miaka 2000+iliyopita.
Buza,Islam,Jews,Ukristo,wote hao wanaona Imani zao ndio Bora kuliko zingine,
Hakuna anayeujua ukweli,we fata dini aliyokupa baba yako,na Mimi nafata aliyonipa baba,
Watu wengi hapa,Imani walizonazo,wamejikuta wanazo,kutokana na familia walizotoka,kama umezaliwa na baba Islam,na wewe utaenda madarasa sana,utasoma alif,be,te,na utalazimishwa kufunga,ukiwa na dingi mkristo,mafundisho lazima,kumunio,kipaimara,sasa tuache ujuaji wa historia,kama ubongo wako upo vzr,leta kanuni ya kutengeneza satellite,au spaceship kama za Eron musk,au dadavua kwanini spaceship ya eronmusk,ilishindwa kuruka na kulipuka juzi,leta suruhisho,sio kuleta mbambamba za dini,wakati hapo ulipo hata milioni 30 huna benk.
 
Utatu mtakatifu
Moja ya mahitaji katika ibada ya jua ni hitaji la kuwa na miungu watatu, baba, mama na mtoto.
Utatu wa Nimrodi, Tamuzi na Semiramis ulikuwa ni utatu mtakatifu wa zamani zaidi. Na biblia inasema kwamba Wayahudi wa awali walikuwa wakiabudu Tamuzi.

Angalia maisha Yako na dini Yako usihangaike na ya watu wengine utakuwa kichaa Tena utakosa diraa .

Nyie mnaishi gizani roho zenu hazina mwanga, ila wewe ni muumini wa shetani so unakerwa na wakristo sana na lazima utu chukie tu. Maana siye tunaeleweka nyie hamueleweki hata kidogo , .

Utatu mtakatifu , ni BABA MWANA NA ROHO , Sasa jitoe ufahamu eti baba mama na mtoto hapo tayari bangi ipo kichwani
 
Shetani ni muigaji
Pana utatu Mtakatifu wa Mungu hii ipo wazi kimaandiko na sio imebuniwa na Wakristo. Pia upo utatu Mtakatifu wa shetani muuigaji.
Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni nguvu zinazoshirikiana kiutenadji. Ule wa shetani ni tamuzi, orasi na isis sasa kuna fundisho lolote la Mkristo linamtambua tamuzi, oras na isis miungu hii ya kale ya Misri kama chimbuko la ufreemason?
. Muasisi wa Ukristo ni Yesu Kristo wa Nazareth pale Yerusalem ukaenezwa duniani kupitia mitume wake. Mtume Paul ndie aliyeusambaza Ukristo Ulaya.
 
Wakirito mmkubali hoja kuwa nyiyi ni waabudu jua siku ya j2 kwa sababu amjengi hoja bali mnajificha na kuzua mengine hili hoja ife
Kwenye mada kuna maelezo yanasema tunaabudu jua na hata baadhi kadhaa kadhaa kuna michoro ya jua.....Swali kwenu ile alama ya nyota na mwezi nyinyi vina maana gani ?? Tujibuni tuelewe
 
Yesu Kristo ni jina , Masihi ni cheo. Neno Kristo means mpakwa mafuta.
Jina lenye nguvu na litumikalo kuzishinda nguvu za giza ni Yesu na sio masihi.
 
Mkristo hawezi ujua zaidi uislamu kuliko Muislamu na pia Muislamu hawezi ujua zaidi Ukristo kuliko Mkristo. Zaidi ya hapo ni changamsha mada tu.
 
Back
Top Bottom