Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeishia kusoma hapo uliposema Amri ya 4 ina agiza Kuabudu siku ya Saba.Asalam aleykum...twende kwenye mada
Kusali jumapili
Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato.
Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili inayokataza mtu kuabudu sanamu. Ambayo bila shaka Wakatoliki wengi hufanya.
Wakati wa Masihi Yehowshuwa, (jina la kweli la Masihi) siku ya kuabudu ilikuwa siku ya 7. Mwanzoni wafuasi wa kweli wa Yehova na mwanawe Yehoshuwa, walikuwa wakishika Sabato ya siku ya 7.
Lakini walipouawa na kufa, na muda ukapita, 'siku ya kupumzika' ilibadilishwa kuwa Jumapili. Siku ambayo Wapagani wa Kirumi walikuwa wakiabudu Jua. 'Sol Invictus,' (jua lisiloweza kushindwa.)
Konstantino (mtawala wa dola ya Rumi aliyekuwa wa kwanza kuingiza ukristo kwenye dola ya rumi) alisemekana kuwa kuhani mkuu wa Sol Invictus, ambayo ilibebwa kutoka Babeli, ambayo ilibebwa kutoka Misri.
Mnamo 321 BK Constantine, alitunga sheria ya Jumapili, ikisisitiza kwamba 'Siku ya Jua'/Sunday inapaswa kuwa siku ya mapumziko. Hii iliwaleta waabudu jua wote Kanisani, pamoja na pesa zao. Na Kanisa Katoliki liliendelea na maadhimisho haya. Kanisa Katoliki ni mama wa Makanisa yote ya Kikristo. Hii ndiyo sababu makanisa mengi ya Kiprotestanti pia hutunza Jumapili. Kwa sababu wanatoka 'kanisa mama'
Utatu mtakatifu
Moja ya mahitaji katika ibada ya jua ni hitaji la kuwa na miungu watatu, baba, mama na mtoto.
Utatu wa Nimrodi, Tamuzi na Semiramis ulikuwa ni utatu mtakatifu wa zamani zaidi. Na biblia inasema kwamba Wayahudi wa awali walikuwa wakiabudu Tamuzi.
Tamaduni hii bado iko hai hadi leo katika Makanisa ya Kikristo, kuanzia na Kanisa Katoliki. Wameendeleza namna hii ya kuabudu jua.
Konstantino ndiye mfalme aliyeuingiza Utatu mwaka 325 BK.
Watu wote ambao hawakukubali, walitawanyika au kuuawa.
Konstantino mwenyewe alikuwa kuhani mkuu wa ibada ya jua, Sol Invictus. Aliendeleza dini hii na kuiita Ukristo. Kanisa Katoliki hutumia ishara hizi, ishara na mila zinazotokana na ibada ya jua. Kwa mfano, IHS, ambayo watu wengi wanaamini inasimama kwa monogram ya Yesu, au Iesous ya Kigiriki pia inasemekana kumaanisha utatu wa Isis, Horus, na Seth (Utatu wa Misri).
View attachment 2595421
Alama nyingi za waroma utakuta lazima kuna jua linaonekana. Hata picha zao za yesu na bikra maria kwa nyuma kuna jua linaonekanaView attachment 2595425
Kwa hiyo kwa kuzingatia mapokeo ya kuabudu jua, wamebadilisha sabato ya kweli, siku ya 7, kuwa Jumapili ya siku ya 1, siku ya jua./sunday
Msalaba
Alama maarufu inayotumika katika Ukristo, ni Msalaba.
Watu wengi hawajui kwamba neno cross na neno crucify si vya kibiblia kweli, bali asili ya Kilatini.
Kiebrania original kinasema nguzo,
Neno sahihi ni neno la Kigiriki Stauros linalomaanisha nguzo au mti.
Kanisa Katoliki lilipomwagiza Jerome kutafsiri Biblia katika Kilatini, kwa hila kabisa walitafsiri vibaya neno Stauros hadi Crucem, ambalo KJV ilitafsiri kuwa Cross katika Toleo la Kiingereza. (Ingawa toleo la King James ilipaswa kutafsiriwa kutoka kwa maandishi ya Kigiriki ya Agano Jipya,)
walichukua
Alama ya Kilatini ya Kuabudu Jua 'Msalaba'. Ambayo Konstantino alikuwa kuhani mkuu wake, na akaipitisha kutumika na Kanisa Katoliki.
Kwa hiyo Masihi aliuawa juu ya mti, au nguzo, na si Msalaba. Na waliposema msulubishe, neno la awali la maandishi ya Kigiriki ni Stauroo, ambalo linamaanisha kutundikwa. Kwa hiyo walisema mtundike mtini. Masia Walimtundika kwenye mti.
Hivyo kwa nini matumizi ya Msalaba? inaweza kuwa kwamba hii ni alama! (Alama ya mnyama?)
Mpaka leo dini mbalimbali za kishetani ikiwemo freemasons na zakichawi hutumia alama ya msalaba.
View attachment 2595442
Papa ndiye kuhani mkuu wa ibada ya jua, Na Wakatoliki wengi hufanya ishara ya msalaba juu yao wenyewe, na kuhani hufanya ishara hii kwenye vipaji vya nyuso zaoView attachment 2595443
Kwenye Jumatano ya Majivu, makanisa mengi hufanya ibada ambayo kila mtu ana alama kwenye paji la uso na ishara ya msalaba kwenye majivu. Ninaelekea kuamini kwamba hii ndiyo alama ya mnyama inayotajwa katika Ufunuo 17:13.
SDA (Waadventista Wasabato) wanasema alama ya mnyama ni Jumapili, wakisema kwamba Kanisa Katoliki linadai kuwa kubadilisha sabato kuwa Jumapili ni alama yao ya mamlaka, kuonyesha kwamba wana uwezo wa kubadili sheria na kanuni.
Nina mwelekeo wa kufikiri kwamba 'alama ya mnyama' ni msalaba, na ndiyo sababu wanaitumia. Wamebadilisha jina la Masihi hadi kuitwa Kristo kwa sababu kigiriki inaandikwa Χριστός ikiwa na alama ya msalaba (X) ukiwa upande.
Kitu cha muhimu kuelewa ni kwamba, makanisa yote ya Kikristo yanaabudu Mungu wa uwongo kwa sababu yanamwabudu Yesu Kristo. Yesu Kristo ni jina lisilo sahihi. Jina la kweli ni Yehowshuwa na alikuwa Masihi, si Kristo.
Kutoka 20:10Nimeishia kusoma hapo uliposema Amri ya 4 ina agiza Kuabudu siku ya Saba.
Hiyo amri inapatikana kwenye Biblia gani?
Unaweza kuweka hapa hiyo amri ya 4 inayoagiza Kuabudu siku ya 7?
Kwenye hiyo Kutoka 20:10 uliyonukuu, Kuna agizo la KUABUDU hapo?Kutoka 20:10
lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa
Tuanze na hiyo kupumzika...wewe huwa unapumzika hiyo siku ya saba?Kwenye hiyo Kutoka 20:10 uliyonukuu, Kuna agizo la KUABUDU hapo?
Mimi hapo naona agizo la KUPUMZIKA/KUTOKUFANYA KAZI.
Nionyeshe agizo la kuabudu kwenye hiyo amri ya 4.
Za kuambiwa jumlisha na zako blaza.Hao ni Mungu ndio anajua
Kwani wewe Jumapili huwa unaabudu jua? Siku zote zilizowekwa na Mungu ni siku halali, hakuna siku haramu.Jibu hoja je siku ya j2 ni siku ya kuadu jua?
we ni msabatoUkiristo sio dini
Nadhani dini ni usabato na uislamu tu Hawa wengine wanavaa vimini kanisani wachungaji wa mchongo sana
ngoja nihudhuriehamna madem wanavaa uchi kama sabato.nenda SDA magomeni uone totozi paja nje.
Pumbavu wewe, mweusi unajifanya mwarabu. Hizo zote dini ni batili. Pendeni asili yenu, achana na tamaduni zao za kishenzi.Asalam aleykum...twende kwenye mada
Kusali jumapili
Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato.
Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili inayokataza mtu kuabudu sanamu. Ambayo bila shaka Wakatoliki wengi hufanya.
Wakati wa Masihi Yehowshuwa, (jina la kweli la Masihi) siku ya kuabudu ilikuwa siku ya 7. Mwanzoni wafuasi wa kweli wa Yehova na mwanawe Yehoshuwa, walikuwa wakishika Sabato ya siku ya 7.
Lakini walipouawa na kufa, na muda ukapita, 'siku ya kupumzika' ilibadilishwa kuwa Jumapili. Siku ambayo Wapagani wa Kirumi walikuwa wakiabudu Jua. 'Sol Invictus,' (jua lisiloweza kushindwa.)
Konstantino (mtawala wa dola ya Rumi aliyekuwa wa kwanza kuingiza ukristo kwenye dola ya rumi) alisemekana kuwa kuhani mkuu wa Sol Invictus, ambayo ilibebwa kutoka Babeli, ambayo ilibebwa kutoka Misri.
Mnamo 321 BK Constantine, alitunga sheria ya Jumapili, ikisisitiza kwamba 'Siku ya Jua'/Sunday inapaswa kuwa siku ya mapumziko. Hii iliwaleta waabudu jua wote Kanisani, pamoja na pesa zao. Na Kanisa Katoliki liliendelea na maadhimisho haya. Kanisa Katoliki ni mama wa Makanisa yote ya Kikristo. Hii ndiyo sababu makanisa mengi ya Kiprotestanti pia hutunza Jumapili. Kwa sababu wanatoka 'kanisa mama'
Utatu mtakatifu
Moja ya mahitaji katika ibada ya jua ni hitaji la kuwa na miungu watatu, baba, mama na mtoto.
Utatu wa Nimrodi, Tamuzi na Semiramis ulikuwa ni utatu mtakatifu wa zamani zaidi. Na biblia inasema kwamba Wayahudi wa awali walikuwa wakiabudu Tamuzi.
Tamaduni hii bado iko hai hadi leo katika Makanisa ya Kikristo, kuanzia na Kanisa Katoliki. Wameendeleza namna hii ya kuabudu jua.
Konstantino ndiye mfalme aliyeuingiza Utatu mwaka 325 BK.
Watu wote ambao hawakukubali, walitawanyika au kuuawa.
Konstantino mwenyewe alikuwa kuhani mkuu wa ibada ya jua, Sol Invictus. Aliendeleza dini hii na kuiita Ukristo. Kanisa Katoliki hutumia ishara hizi, ishara na mila zinazotokana na ibada ya jua. Kwa mfano, IHS, ambayo watu wengi wanaamini inasimama kwa monogram ya Yesu, au Iesous ya Kigiriki pia inasemekana kumaanisha utatu wa Isis, Horus, na Seth (Utatu wa Misri).
View attachment 2595421
Alama nyingi za waroma utakuta lazima kuna jua linaonekana. Hata picha zao za yesu na bikra maria kwa nyuma kuna jua linaonekanaView attachment 2595425
Kwa hiyo kwa kuzingatia mapokeo ya kuabudu jua, wamebadilisha sabato ya kweli, siku ya 7, kuwa Jumapili ya siku ya 1, siku ya jua./sunday
Msalaba
Alama maarufu inayotumika katika Ukristo, ni Msalaba.
Watu wengi hawajui kwamba neno cross na neno crucify si vya kibiblia kweli, bali asili ya Kilatini.
Kiebrania original kinasema nguzo,
Neno sahihi ni neno la Kigiriki Stauros linalomaanisha nguzo au mti.
Kanisa Katoliki lilipomwagiza Jerome kutafsiri Biblia katika Kilatini, kwa hila kabisa walitafsiri vibaya neno Stauros hadi Crucem, ambalo KJV ilitafsiri kuwa Cross katika Toleo la Kiingereza. (Ingawa toleo la King James ilipaswa kutafsiriwa kutoka kwa maandishi ya Kigiriki ya Agano Jipya,)
walichukua
Alama ya Kilatini ya Kuabudu Jua 'Msalaba'. Ambayo Konstantino alikuwa kuhani mkuu wake, na akaipitisha kutumika na Kanisa Katoliki.
Kwa hiyo Masihi aliuawa juu ya mti, au nguzo, na si Msalaba. Na waliposema msulubishe, neno la awali la maandishi ya Kigiriki ni Stauroo, ambalo linamaanisha kutundikwa. Kwa hiyo walisema mtundike mtini. Masia Walimtundika kwenye mti.
Hivyo kwa nini matumizi ya Msalaba? inaweza kuwa kwamba hii ni alama! (Alama ya mnyama?)
Mpaka leo dini mbalimbali za kishetani ikiwemo freemasons na zakichawi hutumia alama ya msalaba.
View attachment 2595442
Papa ndiye kuhani mkuu wa ibada ya jua, Na Wakatoliki wengi hufanya ishara ya msalaba juu yao wenyewe, na kuhani hufanya ishara hii kwenye vipaji vya nyuso zaoView attachment 2595443
Kwenye Jumatano ya Majivu, makanisa mengi hufanya ibada ambayo kila mtu ana alama kwenye paji la uso na ishara ya msalaba kwenye majivu. Ninaelekea kuamini kwamba hii ndiyo alama ya mnyama inayotajwa katika Ufunuo 17:13.
SDA (Waadventista Wasabato) wanasema alama ya mnyama ni Jumapili, wakisema kwamba Kanisa Katoliki linadai kuwa kubadilisha sabato kuwa Jumapili ni alama yao ya mamlaka, kuonyesha kwamba wana uwezo wa kubadili sheria na kanuni.
Nina mwelekeo wa kufikiri kwamba 'alama ya mnyama' ni msalaba, na ndiyo sababu wanaitumia. Wamebadilisha jina la Masihi hadi kuitwa Kristo kwa sababu kigiriki inaandikwa Χριστός ikiwa na alama ya msalaba (X) ukiwa upande.
Kitu cha muhimu kuelewa ni kwamba, makanisa yote ya Kikristo yanaabudu Mungu wa uwongo kwa sababu yanamwabudu Yesu Kristo. Yesu Kristo ni jina lisilo sahihi. Jina la kweli ni Yehowshuwa na alikuwa Masihi, si Kristo.
Kuwa na kumbukumbu naona umeanza kurukwa na akili ,nikikuwekea link ikiwa ni wewe unatoa ahadi gani ?Umeedit hiyo picha...sijawahi kupost thread ya hivyo humu jamvini.
Ewe mwanaJF usidanganyike kirahisi, search title ya huo uzi kama upo.
na wewe unayeabudu mwezi nani bora? mnamwabudu Mungu asiyefanya kazi, asiye na nguvu, anayetetewa na wanadamu. a hopeess god.
Mmeshindwa kutikiza Imani Yao ss mnakuja na fake news kuhusu ukristo , ww mbona usiabudu chako uwachane nao ,kila nafsi inajua iendako ,unaeleza kuhusu Ibada ,ww ni mtakatifu , religious intolerance ni cancer mbaya kwa society let them be ,kila mja ashike yake ,wanaadamu tuna unafki mwingi Sana
Constantine sio mwanzilishi wa siku hiyo acha kudanganywa na stori za mitaani. Kanisa la Mitume yaani wanafunzi wa Yesu ndio walianza kukutana siku hiyo ili kuadhimisha siku aliyofufuka Yesu. Soma Matendo 20:7 kwa ushahidi. Ukitaka kujua Yesu alifufuka siku gani soma Mathayo 28:1Wakristo hawajawahi kuabudu Jumapili kabla ya constantine mwaka 325BK...weka ushahidi
Aliyeitisha kikao kikuu cha wakuu wa makanisa yote duniani kwa kipindi hiko alikuwa nani kama sio Constantine?
Kupitia hicho kikao ni mambo mengi yaliingizwa kwenye ukristo ikiwemo siku ya kusali, Utatu mtakatifu, vitabu vya kwenye biblia nk. Nk.
Google tu hata neno council of naicea uone nani aliitisha hicho kikao na nani alikuwa mwenyekiti kwenye hicho kikao kama sio huyo constantine
Uzuri hizi amri kumi ziko agano la kale kwahyo wakatoliki pamoja na kuifuta hii amri bado tunaweza kuangalia biblia ya kiyahudi na kuujua ukweli uko wapi.
Biblia ambayo haijachakachuliwa inasema:
Kutoka 20:4
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia
Sasa hiyo mifano ya Musa na nyoka, ile hakujifanyia bali aliamrishwa na mungu kutengeneza, kwahyo yeyote aliyeangalia yule nyoka aliamini kuwa ametengenezwa kwa maagizo ya mungu na akimuangalia basi anamtii mungu.
ila wakatoliki kila kanisa lina masanamu kibao, watu wanaenda kuyaabudu... rozali yenyewe ni sanamu na mbaya zaidi ni sanamu ya uongo maana Yehoshuwa hakusulubiwa msalabani kama rozali zilivyomchora.
Amri ya pili kwenye biblia yenu ya kikatoliki inasemaje?? Je ni sawa na biblia zingine ikiwemo ya kiyahudi??