Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Ukiristo sio dini
Nadhani dini ni usabato na uislamu tu Hawa wengine wanavaa vimini kanisani wachungaji wa mchongo sana
Kumbe kwako dini ni kuto vaa vimini? We kweli hamnazo

Unaweza kuniambia kabla ya inovation of tecnology watu walivaa nini kanisani?
 
Huo mstari wa daniel uliouquote unauhakika kwenye biblia ya kikristo unayoituhumu imechakachuliwa hausomeki hivyo hilo tu ndo swali langu lakin hutaki kulijibu
Bwana eh! Em elewa basi.
Naposema biblia imechakachuliwa haimaanishi walibadilisha kila fungu.
Walichukua mafungu ambayo yana dhana fulani/agenda fulani na kuyabadili kidogo.
Kwahyo swali lako halimake sense

Hata kama hiyo daniel haijachakachuliwa haimaanishi hamna sehemu zingine zilizochakachuliwa
 
Kanisani sio bar
Kanisani walivaa nini? Kabla ya ujio wa viwanda hivyo vya nguo? Tatizo hata hamielewi dini hizi zimekujaje kujaje,

we jiulize kwanini ukanda wa pwani na mwambao wa bahari ndio wamejaa waislamu wengi unajua ni kwanini?unadhani kwanini usislam uwe kanda zenye bahari zaid kulikoni ?

Bahari ndio lango kuu la kuingilia kwa shetani na ndio makazi makuu ya majini na ndio maana waarabu waliweka kambi huko ili waweze kuwasioiana kwa urahisi 🤣
 
Jibu mada ni upungufu wa akili mtu kujadili nje ya mada tena kwa kumdhania mtu ,mijadala kama umekosa cha kujibu au ukiona wa kipuuzi wenye akili huwa wana ignore maana kwenda nje ya mada siku zote hawafanyi isipokuwa wasiojielewa.

Mleta mada hausiani na uislamu na yeye ni kinara wa kushambulia Uislamu hivyo si vyema kumuhusisha na uislamu huyo ni mtu wenu aliyeamua kuwa mpagani.View attachment 2595873
Umeedit hiyo picha...sijawahi kupost thread ya hivyo humu jamvini.
Ewe mwanaJF usidanganyike kirahisi, search title ya huo uzi kama upo.
 
Ni swala la aibu sana kuona waafrika tukigombana kuhusu dini ambazo si zetu. Ukristu ulikuja kabla ya ukoloni ili kuiandaa afrika kwa ajili ya ukoloni, uislamu ulikuja na biashara ya utumwa.
kila dini ina nguvu zake na mapungufu yake. Elewa halafu amini.
 
Lisipokuwepo itakuwa heri sana...namimi ntapata thawabu kwa mungu wangu
Thawabu gani utapata kwa kusema vibaya dini za wengine? Kama unahisi mtu anabudu kisicho sahihi fanya namna ya kumbadili afuate chako bila kukashifu kila anachokiamini mda huo itakusaidia kupata hizo thawabu kwa Mungu pasipo shaka
 
Many witches use moon phases to determine the period in which to perform a magical activity.

Usisahau bila mwezi kuandama hatuli Eid El Fitri

Although there are eight distinct moon phases, we will work mainly with five specific phases:

1. New moon – the opening of something new
2. Full moon – power
3. Black moon – banish
4. Crescent moon – build
5. Waning moon – rework and rebuild

Nimeiokota sehemu huko kwenye makolokolo, tirudi kwenye mada swali kwako mleta mada kwanini sisi waislamu tunaziabudu Nyota na Mwezi (Moon) ?

Wewe na hao wenzako Kama kweli wanaabudu mwezi na nyote basi nyinyi Ni WAISLAMU feki au washirikina. Na dhambi ya ushirikina haina msamaha bila ya Toba ya kweli.
 
Thawabu gani utapata kwa kusema vibaya dini za wengine? Kama unahisi mtu anabudu kisicho sahihi fanya namna ya kumbadili afuate chako bila kukashifu kila anachokiamini mda huo itakusaidia kupata hizo thawabu kwa Mungu pasipo shaka
Wapi nimekashfu??? Au kuingea ukweli kuhusu ibaada za kikristo ni kukashfu?
 
Ni swala la aibu sana kuona waafrika tukigombana kuhusu dini ambazo si zetu. Ukristu ulikuja kabla ya ukoloni ili kuiandaa afrika kwa ajili ya ukoloni, uislamu ulikuja na biashara ya utumwa.
kila dini ina nguvu zake na mapungufu yake. Elewa halafu amini.
Basi dini ya kweli ni ipi?
 
Back
Top Bottom