round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku
Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia nyumba za ibada wakiwa wamevaa suruali, n.k. ni dini ya uhuru