Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Kuwa Dewji mtanzania au si mtanznia Mimi hayanihusu mambo ya Tanganyika. Nimekufahamisha Huyu mnayemsema siku zote , Huyo Karume Sr wala Si mzanzibari ni mmalawi na ndio akashirikiana na Nyerere. Nyerere kamtumia Mmalawi kufanikisha ajenda zake , Karma inawapiga na nyinyi mnaendeshwa na Wa Burundi na Wa Rwanda
Ndugu yangu elimu yako umeishia wapi ?
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Kama ilivyo uisilamu kut

Kama ilivyo uisilamu kutukuza utamaduni wa kiarabu ,kama ilivyo Judaism kutukuza utamaduni wa kiyahudi, kama ilivyo buddasim kutukuza utamaduni wa kihindi kama ilivyo hinduism kutukuza utamaduni wa kihindi kwa hiyo dini zinabaki kuwa tamaduni za watu walio tuletea.
 
Hofu yangu ni moja tu kuhusu dini za kimapokeo.Serikali haina dini ila imeruhusu watu wake kuwa na dini.Kwa kuwa serikali inaongozwa na watu wenye itikadi za dini na hivyo wenye dini wanatutawala pasipo kutumia mabavu kwani viongozi wetu ni mawakala wao.Katika kubadilishana kijiti maslahi ya dini moja hayaingiliwi na nyingine na hivyo kuzua tafrani?Serikali zenye dini kama India,China, UK,Iran,Saudia naziona kama stable governments kuliko sisi
 
Mtu mweupe na mwarabu nani bora. Maana kuna mmoja anaishia kujenga misikiti akijitahidi ataweka kisima cha maji kwa ajili ya kutawadha. Lakini kuna mwingine amejenga mashule, mahospitali na vyuo nchini kwetu. Nasubiri Jibu ndugu yangu ?

Anayelala usimwamshe......

Watakwambia wanataka kwenda Jihad. Mpaka Somalia kuna wapuuzi walienda kupigana Jihad. Unauliza Somalia kuna Jihad gani? Dini moja na koo kadhaa
 
Kumbe lille kanisa la mashoga la pentekoste kule Mbeya ni Zanzibar na Arabuni ?
Na Nora Damian

KISIWA cha Unguja, kinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mashoga wanaoishi na virusi vya ukimwi.

Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na Dk Subilaga Kasesela-Kaganda wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), alipokuwa akizungumza katika kongamano kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa wafanyabiashara ya ngono, mashoga na watumia dawa za kulevya.

Alisema Zanzibar ndio eneo lenye mambo ya ushoga hapa nchini na kwamba asilimia 12 ya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi katika Kisiwa cga Unguja ni wale wanaojishughulisha na mambo hayo.

Alisema baadhi ya sababu zinazochangia kukua kwa tatizo hilo ni vishawishi, wazazi kuwa mbali na watoto wao, yatima wanaokosa malezi mazuri, watoto wa kiume kulelewa na mama kwa kipindi kirefu na mtoto wa kiume kupenda kuvaa mavazi ya kike.

Alisema sababu nyingine zinazochangia tatizo hilo ni mazingira ya shule za bweni, ambazo baadhi yake zina wanafunzi wa kiume pekee, mwanaume kuwa na homoni nyingi za kike na wanaume wengi kukaa sehemu moja kama jeshini na magerezani.

Na wanawake wanaopenda kufanya ngono ya haja kubwa wanapaswa nao kujua kuwa ina hatari zaidi, kwa maana ya kupata maambukizo kuliko njia ya uke,alisema Dk Kaganda.

Alisema utafiti uliofanywa mwaka 2007/2008 umeonyesha kuwa asilimia sita ya Watanzania wanaishi na virusi vya ukimwi, wanawake wakiwa ndio waathirika wakubwa wa tatizo hilo.

Dk Kaganda alisema tatizo hilo liko zaidi katika maeneo ya mijini na ligawagusa mno watu wazima na wanawake wenye uwezo wa kufanya ngono na watoto wadogo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa shirika la TAWIF lililoandaa kongamano hilo, Fransisca Matao alisema jamii inachangia kwa kiasi kikubwa watoto wengi kuwa mashoga kufuatia kuwanyanyapaa na kuwatenga.

Imetoka: Gazeti la Mwananchi
 
View: https://youtu.be/aT68cP_PU1k
 
Ni sawa na uislam unaotukuza utamaduni wa waarabu.

1733465844765.jpeg
 
Sasa jibu swali uliloulizwa

Kwani wewe kanisa lako ni lipi? Jee huyo Yesu wenu si mzungu?
Angalia picha za watoto au watu wanaoshikilia Quran huwa ni waarabu. Sijaona mtoto wa mtu mweusi ameshikilia Quran
Acha kujitoa ufahamu😁😁
 
Angalia picha za watoto au watu wanaoshikilia Quran huwa ni waarabu. Sijaona mtoto wa mtu mweusi ameshikilia Quran
Acha kujitoa ufahamu😁😁

Sasa jibu swali uliloulizwa

Kwani wewe kanisa lako ni lipi? Jee huyo Yesu wenu si mzungu
 
Back
Top Bottom