Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hapo patatosha kweli?

- Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi

- Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe?

- Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
 
Solution ni kuvumilia mpaka mwisho, kifo kije kiwatenganishe. Hauwezi kuvumilia mpaka kifo basi muachane lakini wewe hautaruhusiwa kuoa mke mwingine na yeye hamtaruhusiwa kuolewa na mwanaume mwingine.

Hizo ndio terms& condition za ndoa halisi za kikristo.
 
Mwambie sawa umekubali, ila ili ku 'balance' mambo mwambie umeshatafuta mwanamke wa kukutolea ge.nye zako wakati yeye akiwa anakupa kwa mwezi mara moja.

Mpe assurance kwamba haina shida hata kama atakuwa anakupa mbususu mara moja kwa mwaka.
 
Mhh we fyatua watoto nje uko shenzi akija asijuwe mkishastaafu ndo atajuwa alikuwa hajui
 
hapo patatosha kweli?

- anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi
-anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe ?
-yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi ?
Mna ndoa au mnasogeza siku?
 
Hapo patatosha kweli?

- Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi

- Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe?

- Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
Labda ameona kaolewa na ....
Ila km anajua kaolewa na mwanaume hawezi ongea huu upumbavu!

Na km we mwanaume una mwanamke anaeongea huu upumbavu,usiumize kichwa!
Mwambie either mdivorce kila mmoja aendelee na maisha yake!au akusikilize mume wake
 
Mwambie sawa umekubali, ila ili ku 'balance' mambo mwambie umeshatafuta mwanamke wa kukutolea ge.nye zako wakati yeye akiwa anakupa kwa mwezi mara moja.

Mpe assurance kwamba haina shida hata kama atakuwa anakupa mbususu mara moja kwa mwaka.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom