Ukristo uliomezwa na utandawazi, kuna mengi ya kujifunza kwa Waislam wanaosimamia maadili kombe la dunia Qatar

Ukristo uliomezwa na utandawazi, kuna mengi ya kujifunza kwa Waislam wanaosimamia maadili kombe la dunia Qatar

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, imehakuwa kawaida sasa kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushirikiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani nako ishakwa kawaida wanawake kavaa nguo haziwasitiri na ni kinyume na mandiko, nguo immchora hips, makalio na mapaja, Mungu aliyesema wanawake wawe na stara kimavazi anaonekana si kitu.

Anyway, Qata wamenifurahisha sana kwenye kusimamia sheria zao hizi, ukivunja jela inaweza kukuhusu ama kurudi kwenu.

Ni marufuku kujihusisha na matumizi ya pombe
Ni marufuku kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja
Haitakiwi kutokuwa na haya (Immodesty)
Ni marufuku matumizi ya lugha chafu
Ni marufuku kuzini na mtu ambae hamjaoana
Ni marufuku kuvaa mavazi yasiyositiri
 
Attachments

  • 1669034672046.png
    1669034672046.png
    142.6 KB · Views: 5
Ndugu yangu si sawa kulinganisha Ukristo na Uislamu. Hizi ni Dini mbili zenye maelekezo tofauti. Kwenye Uislamu ni dini inaingilia moja kwa moja na mamlaka. Ndio maana kuna serikali zinajiita za Kiislamu lakini hakuna Taifa Duniani linalotambuliwa rasmi kuwa ni la Kikristo.( Forget about Vatican that is another story).

Vile vile Uislamu unaagiza "direct"kutumia nguvu kutekeleza sharia na maagizo ya Mungu. Ndio maana kuna sheria za kukata watu mikono,kupiga watu mawe hadi kufa n.k

Ukristo haupo hivo. Mtu anahubiriwa akiamua kupokea kweli ni heri yake na akiamua kuikataa ni maamuzi yake ila siku ya mwisho ndo atajua madhara ya kuikataa kweli. Kwenye Ukristo ukimlazimisha mtu kutii sheria za Mungu ni kosa. Mtu hapaswi kwa namna yoyote kumtii Mungu kwa shuruti. Kingine unatakiwa kujua haya maisha ya kisasa yanawaathiri watu ila sio Neno la Mungu. Hata dunia iwe ovu namna gani Neno la Mungu(Kristo) litasimama milele.

Haya mambo ya ouvu kuongezeka,Neno la Mungu kupoa mioyoni mwa watu ni sehemu ya unabii ulio katika Biblia. Kwa hiyo usishangae tena ilitakiwa uandike kukili kuwa unabii unatimia.
 
Ndugu yangu si sawa kulinganisha Ukristo na Uislamu. Hizi ni Dini mbili zenye maelekezo tofauti. Kwenye Uislamu ni dini inaingilia moja kwa moja na mamlaka. Ndio maana kuna serikali zinajiita za Kiislamu lakini hakuna Taifa Duniani linalotambuliwa rasmi kuwa ni la Kikristo.( Forget about Vatican that is another story).
Shida inakuja ukristo umemezwa na utandawazi, leo hii papa alietakiwa kukemea vitendo vya ushoga anatoa ushirikiano wenye kuleta matumaini kwa mapenzi ya jinsia moja hii vipi.

Huu kama sio upuuzi ni nini ?
 
Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, leo hii si ajabu kumkuta kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushurukiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani ishakwa kawaida wanamke kavaa nguo zimewachora hips, makalio, n.k na ikaonekana kawaida.
dini ya kikriso inamtambua binaadam kama kiumbe mwenye akili timamu kabisa,sio mbuzi.kwamba kila jambo ashinikizwe na kusimamiwa.
kama yataka kusimamiwa basi haifai kitu imani hiyo kwa Mungu maana ni kwa mtutu au ukali wa upanga sio kwa hiyari,baada ya kristo kuja tuliachama na mambo ya sheria bali kujikana mwenyewe.
Anyway, Qata wamenifurahisha sana kwenye kusimamia sheria zao hizi, ukivunja jela inaweza kukuhusu ama kurudi kwenu.
hivi unajua hata kwenu sahani nzuri hutolewa siku wakija wageni!!!sijui kama umenielewa.
kuna mstari mwembamba sana kati ya dini na imani kisha utandawazi na biashara.
Ni marufuku kujihusisha na matumizi ya pombe
Ni marufuku kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja
Haitakiwi kutokuwa na haya (Immodesty)
Ni marufuku matumizi ya lugha chafu
Ni marufuku kuzini na mtu ambae hamjaoana
Ni marufuku kuvaa mavazi yasiyositiri
haya yote tunayaona kwa ndugu zetu hapo baada ya kuvuka maji,nenda kachunguze kimya kimya kama hujaanza kulia kwa kwikwi.
 
Yesu Kristo ndiye mwisho wa sheria, kila aaminiye na ahesabiwe haki.
 
Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, leo hii si ajabu kumkuta kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushurukiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani ishakwa kawaida wanamke kavaa nguo zimewachora hips, makalio, n.k na ikaonekana kawaida.

Anyway, Qata wamenifurahisha sana kwenye kusimamia sheria zao hizi, ukivunja jela inaweza kukuhusu ama kurudi kwenu.

Ni marufuku kujihusisha na matumizi ya pombe
Ni marufuku kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja
Haitakiwi kutokuwa na haya (Immodesty)
Ni marufuku matumizi ya lugha chafu
Ni marufuku kuzini na mtu ambae hamjaoana
Ni marufuku kuvaa mavazi yasiyositiri
Kwa msimamo huo naunga mkono Qatar!!
Ila mataifa ya Ulaya na Marekani SIYO YA KIKRISTO!
 
dini ya kikriso inamtambua binaadam kama kiumbe mwenye akili timamu kabisa,sio mbuzi.kwamba kila jambo ashinikizwe na kusimamiwa.
kama yataka kusimamiwa basi haifai kitu imani hiyo kwa Mungu maana ni kwa mtutu au ukali wa upanga sio kwa hiyari,baada ya kristo kuja tuliachama na mambo ya sheria bali kujikana mwenyewe.
kila mtu ana maamuzi yake lakini kuna mipaka, kama kutenda dhambi basi walau ikuathiri peke uako na sio jamii.

unakuta mashoga wanabusiana hadharani hayo ni matendo yao lakini yana athri waliowazunguka mfano kuna watoto nao wataanza kuwaiga wanadhani wanachofanya wakubwa ni sahihi.

Mtu analewa pombe ni maamuzi yake lakini jamii iliyomzunguka vp ? anaanza kutukana matusi ovyo ovyo kwa sauti kali na kuna watoto wanajifunza hayo matusi, akifika kwake anaanza kumpiga mkewe, je ni sawa ?

free will ina mipaka yake
 
shida inakuja ukristo umemezwa na utandawazi, leo hii papa alietakiwa kukemea vitendo vya ushoga anatoa ushirikiano wenye kuleta matumaini kwa mapenzi ya jinsia moja hii vipi.
papa anazungumza wazi kwamba anatambua wapenzi wa jinsia moja.

yaani anajua tatizo lipo,ila kuliunga mkono ni swala jingine ndugu.
kama unakumbuka aliishatoa tamko hili pia kwa makasisi ilipovuma kuna vitendo vya kishetani ndani ya kanisa.
akatamka kwamba anatambua iwepo wa tatizo hilo,sasa sijajua tumtwishe maneno kwamba analiunga mkono pia.
mabinti wanaingia makanisani wamevaa nguo zimewachora maumbo hi vipi ?
hii ni ajabu kwako sababu hujazoea,kwanza hamsali na wanawake.
ukizoea utaona kawaida tu wala hutawazingatia.
 
shida inakuja ukristo umemezwa na utandawazi, leo hii papa alietakiwa kukemea vitendo vya ushoga anatoa ushirikiano wenye kuleta matumaini kwa mapenzi ya jinsia moja hii vipi.

mabinti wanaingia makanisani wamevaa nguo zimewachora maumbo hi vipi ?
Achana nao kama unaona hawaendi njia sahihi. Baki huko uliko kwenye utakatifu. Dunia imevaa bukta yatakuja mengi zaidi ya kukushangaa.
Kama kanisa/msikiti unapoabudu hawavai nusu uchi kwanini ukereke na wasiokuhusu?
 
sasa mtu anapokuwa free kuanya hata dhambi ni hatari zaidi, unakuta mashoga wanabusiana hadharani hayo ni matendo yao lakini kwa watoto hii inawa affect sana, nao watoto wataanza kuwaiga maana wanadhani wanachofanya wakubwa ni sahihi
kufanya hadharani ni kosa,hata hapa tz ni kosa na jela utakwenda,sasa kwa sababu hiyo hatuwezi usifu uislam.
hizo ni sheria za kawaida tu zinazoagiza mwenendo wa kistaarabu.

ukiutaja uislam utafanya watu wahoji yanayofanyika gizani uislam unayaweza!!au anabaki Allah mwenyewe sasa???kitu ambacho kama wanachofanya wakristo tu.
 
hii ni ajabu kwako sababu hujazoea,kwanza hamsali na wanawake.
ukizoea utaona kawaida tu wala hutawazingatia.
ni kawaida kivipi wakati biblia imeweka msisitizo wanawake wavae nguo za kuwasitiri ...

mwanamke anaingia kanisani sehemu tukufu na nguo zisizomstiri ni sawa ?
 
ni kawaida kivipi wakati biblia imeweka msisitizo wanawake wavae nguo za kuwasitiri ...

mwanamke anaingia kanisani sehemu tukufu na nguo zisizomstiri ni sawa ?
Inaweza ikawa sio sawa. Lakini hawataacha kuvaa hivyo, yaani ndo kwanza asubuhi
 
Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, leo hii si ajabu kumkuta kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushurukiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani ishakwa kawaida wanamke kavaa nguo zimewachora hips, makalio, n.k na ikaonekana kawaida.

Anyway, Qata wamenifurahisha sana kwenye kusimamia sheria zao hizi, ukivunja jela inaweza kukuhusu ama kurudi kwenu.

Ni marufuku kujihusisha na matumizi ya pombe
Ni marufuku kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja
Haitakiwi kutokuwa na haya (Immodesty)
Ni marufuku matumizi ya lugha chafu
Ni marufuku kuzini na mtu ambae hamjaoana
Ni marufuku kuvaa mavazi yasiyositiri
Dini haipaswi kulindwa kwa mtutu, ukiona hivyo jua kuna tatizo kubwa kwenye hiyo dini
 
Mimi sioni tatizo wanawake kuvaa vimini kwenye nyumba za ibada
 
ni kawaida kivipi wakati biblia imeweka msisitizo wanawake wavae nguo za kuwasitiri ...

mwanamke anaingia kanisani sehemu tukufu na nguo zisizomstiri ni sawa ?
kusitiri kukoje mkuu??
waislam mnaamini hata kiganja cha mtoto wa kike ni uchi ule kinatakiwa kufunikwa.
sasa mpaka umri huo umeona mikono mingapi ya wanawake wa kiislam???
 
Watajua wenyewe
Wanajua wenyewe mpaka hao wanawake wapumbavu wanaofanya ibada za shetani kua matendo yao kwenye maisha yao! hv kwel mwanamke uliyelelewa kimaadili na wazazi wako unaweza kukaa mbele ua kadamnasi na kutetea kuvaa viguo vya kubana ambavyo kabisa ulitakiwa uvae ndani na mumeo? fucking this
 
Back
Top Bottom