NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, imehakuwa kawaida sasa kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushirikiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani nako ishakwa kawaida wanawake kavaa nguo haziwasitiri na ni kinyume na mandiko, nguo immchora hips, makalio na mapaja, Mungu aliyesema wanawake wawe na stara kimavazi anaonekana si kitu.
Anyway, Qata wamenifurahisha sana kwenye kusimamia sheria zao hizi, ukivunja jela inaweza kukuhusu ama kurudi kwenu.
Ni marufuku kujihusisha na matumizi ya pombe
Ni marufuku kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja
Haitakiwi kutokuwa na haya (Immodesty)
Ni marufuku matumizi ya lugha chafu
Ni marufuku kuzini na mtu ambae hamjaoana
Ni marufuku kuvaa mavazi yasiyositiri