Ukristo umejengwa juu ya msingi wa Roman Catholic. Ipo Dominant kwa zaidi ya miaka 2000

P h a r a o h

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
785
Reaction score
1,413
Historia ya ukristo kwa ufupi

Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic.

- Baada ya Yesu kufa na Kufukuka
(according to matendo ya mitume)
★ Early Community (leader- Peter) Early Christianity (catholic)

etc etc.... after several years from Marrin Luther - Lutheran

★ FROM EARLY COMMUNITY TO DATE.
Catholic has been dominant even after mote than 2000 years?

ukizungumzia ukristo umezungumzia u catholic maana viru vyote vimekuja kutokana na Catholic na dhehebu zingine zime badilisha tu baadhi ya vitu mutoka hapo?

Tofauti na Catholic nani mwingine anaweza kusimama na historia ya ukristo individually ?

"juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa na halito tikisika"

- even in 2025 Catholic is dominant for over 2000 still
 
😂😂😂😂😂😂 mtafute Yesu. Kwa Mungu hakuna kitu kinachoitwa Catholic, Anglican, assembles of God, Lutheran. Hayo ni madhehebu. Hatutahukumiwa kutokana na makanisa. Mungu ataangalia matendo
 
ni kweli ila ni nje ya mada, nimesema msingi wa ukristo wote ni Catholic, imesimama kua dominant kwa zaidi ya miaka 2000
 
Mimi sio muumini wa Roman Catholic.
Naweza kusema hili ni kanisa bora zaidi kuliko makanisa yote unayoyajua.

Wenzetu wamewekeza sana kwenye
ELIMU(AKILI)
AFYA (MWILI)
UCHUMI (VITEGAUCHUMI)
KANISA (IMANI)

Jinsi ya wanavyo miliki na kuendesha mashule, vyuo, mahospitali, Benki nk nk ni kielelezo cha ukubwa wa elimu yao, imani yao, utajiri wao.ufanisi wao, uongozi wao.
Ushawahi sikia kanisa hili lina mgogoro wa kugombea madaraka?

Sasa njoo kwenye makanisa yetu haya mengine historical churches kama Moravian, Aglikana, lutheran.
Angalia haya makanisa ya maombi na maombezi ya mitume na manabii.
Ebu anglia ELIMU, AFYA, UCHUMI kwa waumini wake 😀 😀 .
 
Ivyo vi-Emoj vya nini sasa?!!
 
Historia ya ukristo kwa ufupi
Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic.

- Baada ya Yesu kufa na Kufukuka
( according to matendo ya mitume )
★ Early Community ( leader- Peter ) Early Christianity ( catholic )

etc etc.... after several years from Marrin Luther - Lutheran

★ FROM EARLY COMMUNITY TO DATE.
Catholic has been dominant even after mote than 2000 years ?

ukizungumzia ukristo umezungumzia u catholic maana viru vyote vimekuja kutokana na Catholic na dhehebu zingine zime badilisha tu baadhi ya vitu mutoka hapo ?

Tofauti na Catholic nani mwingine anaweza kusimama na historia ya ukristo individually ?

"juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa na halito tikisika"

- even in 2025 Catholic is dominant for over 2000 still
Umeandika kuhabarisha au kijikweza na kuukweza ukatololiki

Ukiristo unahubiri amani haki na Upendo uwe ni katoli au vinginevyo

Kwa hiyo kuwa roman not big deal kijana
 
Uko sahihi sana Mzee wangu,
Ukristo ni Amani, Upendo na Haki. Upo sahihi sana.
Naongelea Kanisa kama taasisi ilivyo bora.
Na ndio maana kwa HAKI huwezi sikia muumini anatakiwa kulipa kiingilia kumuona mtumishi.
Kwa UPENDO kanisa linatoa elimu na afya kwa wote bila kujali dini wala dhehebu.
 
Mimi sio muumini wa Roman Catholic.
Naweza kusema hili ni kanisa bora zaidi kuliko makanisa yote unayoyajua.

Wenzetu wamewekeza sana kwenye
ELIMU(AKILI)
AFYA (MWILI)
UCHUMI (VITEGAUCHUMI)
KANISA (IMANI)

Jinsi ya wanavyo miliki na kuendesha mashule, vyuo, mahospitali, Benki nk nk ni kielelezo cha ukubwa wa elimu yao, imani yao, utajiri wao.ufanisi wao, uongozi wao.
Ushawahi sikia kanisa hili lina mgogoro wa kugombea madaraka?

Sasa njoo kwenye makanisa yetu haya mengine historical churches kama Moravian, Aglikana, lutheran.
Angalia haya makanisa ya maombi na maombezi ya mitume na manabii.
Ebu anglia ELIMU, AFYA, UCHUMI kwa waumini wake 😀 😀 .
Akili kubwa umewaza kisomi
 
Historia ya ukristo kwa ufupi
Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic.

- Baada ya Yesu kufa na Kufukuka
( according to matendo ya mitume )
★ Early Community ( leader- Peter ) Early Christianity ( catholic )

etc etc.... after several years from Marrin Luther - Lutheran

★ FROM EARLY COMMUNITY TO DATE.
Catholic has been dominant even after mote than 2000 years ?

ukizungumzia ukristo umezungumzia u catholic maana viru vyote vimekuja kutokana na Catholic na dhehebu zingine zime badilisha tu baadhi ya vitu mutoka hapo ?

Tofauti na Catholic nani mwingine anaweza kusimama na historia ya ukristo individually ?

"juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa na halito tikisika"

- even in 2025 Catholic is dominant for over 2000 still
Ukatoliki ni bidhaa feki toka lini mungu mmoja akawe na nafsi 3
 
ni kweli ila ni nje ya mada, nimesema msingi wa ukristo wote ni Catholic, imesimama kua dominant kwa zaidi ya miaka 2000
Msingi wa Ukristo ni neno LA Mungu, au Yesu. Biblia inasema wawili, watatu wanapokusanyika kwa ajili ya jina langu mimi Niko mahali hapo
 
Back
Top Bottom