Ukristo umejengwa juu ya msingi wa Roman Catholic. Ipo Dominant kwa zaidi ya miaka 2000

Ukiamini kuwa Ukatoliki ni upagani basi ujue kuwa madhehebu yote yanayotokana na Ukatoliki ni wapagani.Anglikana,Luthery,Assemblies..
Mengi yanaupagani wa Kikatoliki. Kama kuabudu mioto(Mishumaa), Sherehe za kipagani(Christmas), Kutumia sanamu nk nk.
 
Nasadiki kwa Mungu Baba Mwenyezi
Mwumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Nasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristu,mwana wa pekee wa Mungu.
Aliyezaliwa kwa Baba tangu milele yote.
Mungu aliyetoka kwa Mungu,mwanga kwa mwanga,Mungu kweli kwa Mungu kweli.
Aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenye umungu mmoja na Baba,
ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.
Ameshuka toka mbinguni kwa ajili yetu sisi wanadamu na kwa ajili ya wokovu wetu.
Akapata mwili kwa uwezo wa roho mtakatifu kwake yeye Bikira Maria akawa mwanadamu.
Akasulibiwa pia kwa ajili yetu sisi
Akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato,akafa akazikwa.
Akafufuka siku ya tatu ilivyoandikwa.
Akapaa mbiguni, amekaa kuume kwa baba
Atakuja tena kwa utukufu kuwahukumu wazima na wafu nao ufalme wake hautakuwa na mwisho

Nasadiki kwa Roho Mtakatifu Bwana mleta uzima atokaye kwa Baba na Mwana anayeabudiwa na kutukuzwa
pamoja na Baba na Mwana aliyenena kwa vinywa vya manabii.

Nasadiki kwa Kanisa moja,Takatifu Katoliki la mitume
Naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi.
Nangojea na ufufuko wa wafu.
Na uzima wa milele ijayo.

Amina.
 
Msingi wa Ukristo ni neno LA Mungu, au Yesu. Biblia inasema wawili, watatu wanapokusanyika kwa ajili ya jina langu mimi Niko mahali hapo
YESU hakuleta Kanisa Duniani. Kama wewe ni masomaji wa bibilia kwa umakini jaribu kujifunza hili utagundua wapi Roman Catholic inapopotosha ulimwengu Kuhusu mafundisho ya YESU Kristo.

Msingi wa mafundisho ya YESU Kristo ni IMANI. Sio dini Wala Kabisa. Ndio maana mara nyingi YESU alikuwa anatanguliza maneno haya "Amini nawaambieni" Hakuna mahali ambapo aliwahi kuzungumzia ukatoliki, usitake kudanganya watu MZEE baba. Omba Mungu akusaidie kuielewa bibilia, usikurupuke...
 
😂😂😂😂😂😂 mtafute Yesu. Kwa Mungu hakuna kitu kinachoitwa Catholic, Anglican, assembles of God, Lutheran. Hayo ni madhehebu. Hatutahukumiwa kutokana na makanisa. Mungu ataangalia matendo
Wewe unajua maana ya neno 'Catholic'? Soma - Mathayo 28:19
"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;" au Marko 16: 15
"Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe." na Marko 16:16 "
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Marko 16:16". Catholic (Katoliki) maana yake ni 'kwa watu wote'.
 
Mengi yanaupagani wa Kikatoliki. Kama kuabudu mioto(Mishumaa), Sherehe za kipagani(Christmas), Kutumia sanamu nk nk.
Tunaambiwa hapo Makka Kaaba ilijengwa na Ibrahim akishirikiana na mwanae Ishmael, lakini wakati wa Muhammad ukoo wa Quraish hapo hapo kwenye Kaaba hiyo hao Quraish walikuwa wanaabudu sanamu 360 za miungu yao. Je, hao pia walikuwa wakatoliki?
 
Wewe unajua maana ya neno 'Catholic'? Soma - Mathayo 28:19
"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;" au Marko 16: 15
"Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe." na Marko 16:16 "
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Marko 16:16". Catholic (Katoliki) maana yake ni 'kwa watu wote'.
Uko gizani Sana, tena Sana. Mtafute Mungu, usutatafute Dhehebu. Atakayenitafuta kwa bidii ataniona. Jivuniye kuwa na Yesu kuliko Dhehebu. Soma neno, omba. Huo ndo msingi. Uking'ang'ana na Ukatoliki, Anglican, assemblies of God, Pentecost itakula kwako. Wewe ng'ang'ana na cha Ulimwengu Sisi tuna ng'ang'ana Yesu
 
Unasoma lakini huelewi: Matendo ya Mitume 20:25-32
"Na sasa, tazameni, mimi najua ya kuwa ninyi nyote niliowahubiria ufalme wa Mungu, nikienda huko na huko, hamtaniona uso tena.
Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina hatia kwa damu ya mtu awaye yote.
Kwa maana sikujiepusha na kuwahubiria habari ya kusudi lote la Mungu.
Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kwangu mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi;
tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao.
Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.
Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa." Baada ya kunukuu hayo nikuambie kuwa hao ndiyo waliokabidhiwa kanisa, na makao makuu waliamua kuweka Vatican (Roma) Italia, pale kwa Kaisari na kanisa halitashindwa kama alivyosema kuwa hata milango ya kuzimu haitalishida! Upo hapo?
 
hata kama ni kweli basi ndo msingi wa ukristo, unaposoma biblia imepangwa hilivyo na Roman Catholic,

Calendar tunayotumia duniani imepangwa na Roman Catholic
Biblia yesu alivyokuja aliikuta mkuu ,, hata yesu ameahi kupewa biblia katika sinagogi akasoma chuo cha nabii isaya kisha akasema maneno hayo yametimia vitabu vingine vimwongezwa baadaye
 
Historia ya ukristo kwa ufupi

Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic.

- Baada ya Yesu kufa na Kufukuka
(according to matendo ya mitume)
★ Early Community (leader- Peter) Early Christianity (catholic)

etc etc.... after several years from Marrin Luther - Lutheran

★ FROM EARLY COMMUNITY TO DATE.
Catholic has been dominant even after mote than 2000 years?

ukizungumzia ukristo umezungumzia u catholic maana viru vyote vimekuja kutokana na Catholic na dhehebu zingine zime badilisha tu baadhi ya vitu mutoka hapo?

Tofauti na Catholic nani mwingine anaweza kusimama na historia ya ukristo individually ?

"juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa na halito tikisika"

- even in 2025 Catholic is dominant for over 2000 still
Kanisa moja takatifu Katoliki
 
Historia ya ukristo kwa ufupi

Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic.

- Baada ya Yesu kufa na Kufukuka
(according to matendo ya mitume)
★ Early Community (leader- Peter) Early Christianity (catholic)

etc etc.... after several years from Marrin Luther - Lutheran

★ FROM EARLY COMMUNITY TO DATE.
Catholic has been dominant even after mote than 2000 years?

ukizungumzia ukristo umezungumzia u catholic maana viru vyote vimekuja kutokana na Catholic na dhehebu zingine zime badilisha tu baadhi ya vitu mutoka hapo?

Tofauti na Catholic nani mwingine anaweza kusimama na historia ya ukristo individually ?

"juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa na halito tikisika"

- even in 2025 Catholic is dominant for over 2000 still
Kanisa moja takatifu Katoliki
 
Unasoma lakini huelewi: Matendo ya Mitume 20:25-32
"Na sasa, tazameni, mimi najua ya kuwa ninyi nyote niliowahubiria ufalme wa Mungu, nikienda huko na huko, hamtaniona uso tena.
Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina hatia kwa damu ya mtu awaye yote.
Kwa maana sikujiepusha na kuwahubiria habari ya kusudi lote la Mungu.
Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kwangu mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi;
tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao.
Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.
Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa." Baada ya kunukuu hayo nikuambie kuwa hao ndiyo waliokabidhiwa kanisa, na makao makuu waliamua kuweka Vatican (Roma) Italia, pale kwa Kaisari na kanisa halitashindwa kama alivyosema kuwa hata milango ya kuzimu haitalishida! Upo hapo?
Vipi kuhusu makanisa ambayo Yesu aliyakuta na kushiriki? ,,, tunavutia tu upande wetu ila uhalisia hatuufahamu
 
Tunaambiwa hapo Makka Kaaba ilijengwa na Ibrahim akishirikiana na mwanae Ishmael, lakini wakati wa Muhammad ukoo wa Quraish hapo hapo kwenye Kaaba hiyo hao Quraish walikuwa wanaabudu sanamu 360 za miungu yao. Je, hao pia walikuwa wakatoliki?
Kwani Wahindu na Wabuddha wanaoabudu sanamu nao ni Wakatoliki?
 
Ulikwepoje em sema ? ulianza hivyo unavyosema na ndo ukadevelop kua Roman Catholic
Ukiristo ulianza Karne ya kwanza
Ukatolik ulianzishwa Karne ya nne na mtawala wa Roma Augsto..
Sio wakristo wote waliokuwepo wakati huo walikuwa Roman Catholic..
 
YESU hakuleta Kanisa Duniani. Kama wewe ni masomaji wa bibilia kwa umakini jaribu kujifunza hili utagundua wapi Roman Catholic inapopotosha ulimwengu Kuhusu mafundisho ya YESU Kristo.

Msingi wa mafundisho ya YESU Kristo ni IMANI. Sio dini Wala Kabisa. Ndio maana mara nyingi YESU alikuwa anatanguliza maneno haya "Amini nawaambieni" Hakuna mahali ambapo aliwahi kuzungumzia ukatoliki, usitake kudanganya watu MZEE baba. Omba Mungu akusaidie kuielewa bibilia, usikurupuke...
ni kweli yesu hajaanzisha dini lakini ukristo ni nini, Christianity ni imani inayofuata mafundisho ya Yesu Kristo, ndo maana wakaitwa wa kristo, from Jesus Christ - Christianity
 
Ukiristo ulianza Karne ya kwanza
Ukatolik ulianzishwa Karne ya nne na mtawala wa Roma Augsto..
Sio wakristo wote waliokuwepo wakati huo walikuwa Roman Catholic..
ucatholic uli develop kutoka kwenye imani ya ki kristo, kabla haujaitwa u catholic, wa Roma hawakua waki muamini kristo ila baadae hadi viongozi wakuu walianza kuuamini ukristo na kuenea roma nzima kwa kasi,

roma ndo ilikua empire yenye nguvu na ushawishi duniani kwa kipindi hicho kwaiyo ukristo ukazidi kuenea dunia nzima ukijulikana kama u roma

Catholic inamaanisha kitu kilichoenea ulimwenguni tafuta tafsiri yake ndo hiyo - universal

kwaiyo imani ya kikristo ikawa inaendelea kujulikana kupitia roma, Roman Catholic.....
 
Nisahi
Nisahihishe ili nijue jina sahihi
Kanisa linaitwa katoliki. Neno hilo linatokana na neno la kigiriki "katholikos" maanake la ulimwengu, na limeanza kuonekana kwenye maandiko ya Ignasius around miaka 100 baada ya kristo yani karne ya kwanza. Sasa kanisa lilisambaa maeneo mbalimbali, mfano kwenye ufalme wa Byzantine ambao kwa sasa ndio uturuki na jirani, kule linaitwa byzantine catholic, pia kuna maronite , melkite, kule alienda Marko Yani Alexandria egypt linaitwa coptic, Barnabas alienda India kule linaitwa syro-malabar na Syro-malankar catholic Church, Petro alienda Rumi kule linaitwa Latin Church. Sasa hili neno Roman linaukakasi sana, linafanya wajinga wadhani kanisa lina element za kipagani, na neno hilo lilianza baada ya mfalme wa England kujitenga baada ya kukataliwa kuongeza mke, sasa yeye akataka abaki mkatoliki ila ili kujitofautisha akajiita anglican catholic na wale ambao wanamfata Papa Roman. Sasa sisi kanisa halijawahi kujiita Roman,ni neno la karne ya 18 hivi , na hutokuta mahala kwenye official church document linatumika neno Roman Catholic. Kanisa ni kubwa sana. Bahati mbaya kuna mpaka baadhi ya mapadri wavivu hawajui hili. Ila hakuna kanisa linaitwa Roman Catholic. Ni ubatili.
 
YESU hakuleta Kanisa Duniani. Kama wewe ni masomaji wa bibilia kwa umakini jaribu kujifunza hili utagundua wapi Roman Catholic inapopotosha ulimwengu Kuhusu mafundisho ya YESU Kristo.

Msingi wa mafundisho ya YESU Kristo ni IMANI. Sio dini Wala Kabisa. Ndio maana mara nyingi YESU alikuwa anatanguliza maneno haya "Amini nawaambieni" Hakuna mahali ambapo aliwahi kuzungumzia ukatoliki, usitake kudanganya watu MZEE baba. Omba Mungu akusaidie kuielewa bibilia, usikurupuke...
Sasa hiyo imani ina msingi wake na ipo organised ndio dini sasa. Hakuna mwanadamu asiekuwa na hulka ya dini ndani yake. Acheni kujipa moyo na makanisa ya kusadikika.
 
Kanisa linaitwa katoliki. Neno hilo linatokana na neno la kigiriki "katholikos" maanake la ulimwengu, na limeanza kuonekana kwenye maandiko ya Ignasius around miaka 100 baada ya kristo yani karne ya kwanza. Sasa kanisa lilisambaa maeneo mbalimbali, mfano kwenye ufalme wa Byzantine ambao kwa sasa ndio uturuki na jirani, kule linaitwa byzantine catholic, pia kuna maronite , melkite, kule alienda Marko Yani Alexandria egypt linaitwa coptic, Barnabas alienda India kule linaitwa syro-malabar na Syro-malankar catholic Church, Petro alienda Rumi kule linaitwa Latin Church. Sasa hili neno Roman linaukakasi sana, linafanya wajinga wadhani kanisa lina element za kipagani, na neno hilo lilianza baada ya mfalme wa England kujitenga baada ya kukataliwa kuongeza mke, sasa yeye akataka abaki mkatoliki ila ili kujitofautisha akajiita anglican catholic na wale ambao wanamfata Papa Roman. Sasa sisi kanisa halijawahi kujiita Roman,ni neno la karne ya 18 hivi , na hutokuta mahala kwenye official church document linatumika neno Roman Catholic. Kanisa ni kubwa sana. Bahati mbaya kuna mpaka baadhi ya mapadri wavivu hawajui hili. Ila hakuna kanisa linaitwa Roman Catholic. Ni ubatili.
Hiyo hiyo tunayoijua kama Roman Catholic ndo imani ya mwanzo kabisa ya ki kristo ndo maana hata jina lake limebakinkua hivyo kwasababu kuanza kwake hakukua na maslahi yoyote binafsi
 
Back
Top Bottom