Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka Roma au Rumi lilikuwa dola lililotawala dunia au mataifa yaliyojitambua wakati huo, kama baadaye ilivyokuwa kwa Babylon, Persia, Mwarabu na baadaye Ottoman Empire. Kwa maana hiyo matukio yanayohusiana na Yesu yametokea nyakati za utawala wa Warumi, na Mitume au Wafuasi wake walipelekwa makao makuu ya dola hiyo yaani Roma kushitakiwa na kuhukumiwa huko. Maelezo na utetezi wao ndiyo ulikuwa chachu ya kuwafanya warumi kuukubali ukristo na makao makuu kuwa huko. Sababu nyingine ni kuwa Wayahudi tayari walishaonyesha upingamizi kwa Yesu hivyo wafuasi wake waliona ni bora kwenda kwa mataifa kwa kuwa huo ndiyo ulikuwa Ukatoloki, kwa watu wote!Roma ni sawa na tajiri aliyekua na mtaji kuwazidi wenzie enzi hizo ila Kila mmoja alipokea neno wakati huo huo.
je ni dini gani iliyoanza sawa na Catholic, zote zimekuja miaka mingi sana baadae mingi sana alafu zikachomoza kutokea huko huko, iliyo anza kivyake ni uislamu na yenyewe pia ilikua baadae sana almost miaka 60 baadaeRoma ni sawa na tajiri aliyekua na mtaji kuwazidi wenzie enzi hizo ila Kila mmoja alipokea neno wakati huo huo.
Kutawala siyo tatizo ni kama Assad wa Syria au Putin wa Russia anavyotawala hivi sasa wapo wanaokubaliana na utawala wako pia wapo wanaopinga. Tusizuie mawazo ya watu hata kama ni wachache .Kumbuka Roma au Rumi lilikuwa dola lililotawala dunia au mataifa yaliyojitambua wakati huo, kama baadaye ilivyokuwa kwa Babylon, Persia, Mwarabu na baadaye Ottoman Empire. Kwa maana hiyo matukio yanayohusiana na Yesu yametokea nyakati za utawala wa Warumi, na Mitume au Wafuasi wake walipelekwa makao makuu ya dola hiyo yaani Roma kushitakiwa na kuhukumiwa huko. Maelezo na utetezi wao ndiyo ulikuwa chachu ya kuwafanya warumi kuukubali ukristo na makao makuu kuwa huko. Sababu nyingine ni kuwa Wayahudi tayari walishaonyesha upingamizi kwa Yesu hivyo wafuasi wake waliona ni bora kwenda kwa mataifa kwa kuwa huo ndiyo ulikuwa Ukatoloki, kwa watu wote!
Babu Yako mzaa Babu Yako alikua anaabudu miti,milima na mizimu kabla hata ya huo ukatoliki haukazaliwa ila kwaa kuwa umeumbwa kutegemea akili za mzungu nakuacha uendelee na hiyo akili yako ya kijingaje ni dini gani iliyoanza sawa na Catholic, zote zimekuja miaka mingi sana baadae mingi sana alafu zikachomoza kutokea huko huko, iliyo anza kivyake ni uislamu na yenyewe pia ilikua baadae sana almost miaka 60 baadae
Dini ya awali kabisa ni ya Kiyahudi (muasisi Ibrahim) halafu ikafuata ya Kikristo (muasisi Yesu) na baadaye Uislamu (muasisi Muhammad), ni zaidi ya karne 7 siyo miaka 60 baadaye.je ni dini gani iliyoanza sawa na Catholic, zote zimekuja miaka mingi sana baadae mingi sana alafu zikachomoza kutokea huko huko, iliyo anza kivyake ni uislamu na yenyewe pia ilikua baadae sana almost miaka 60 baadae
Huu ndio uhalisia.Historia ya ukristo kwa ufupi
Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic.
- Baada ya Yesu kufa na Kufukuka
(according to matendo ya mitume)
★ Early Community (leader- Peter) Early Christianity (catholic)
etc etc.... after several years from Marrin Luther - Lutheran
★ FROM EARLY COMMUNITY TO DATE.
Catholic has been dominant even after mote than 2000 years?
ukizungumzia ukristo umezungumzia u catholic maana viru vyote vimekuja kutokana na Catholic na dhehebu zingine zime badilisha tu baadhi ya vitu mutoka hapo?
Tofauti na Catholic nani mwingine anaweza kusimama na historia ya ukristo individually ?
"juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa na halito tikisika"
- even in 2025 Catholic is dominant for over 2000 still
Tunazungumza dini au siasa? Maana hata Muhammad alikuwa na mambo mawili, kutawala dola ya kiislam na kueneza Qur'an. Yesu alikataa utawala wa kidunia na alikubali ufalme wa mbinguni!Kutawala siyo tatizo ni kama Assad wa Syria au Putin wa Russia anavyotawala hivi sasa wapo wanaokubaliana na utawala wako pia wapo wanaopinga. Tusizuie mawazo ya watu hata kama ni wachache .
Kwani wewe shida yako ni nini? UKATOLIKI TU? Kwa hiyo wewe unaabudu miti na milima ambayo iliumbwa kabla yako, maana mwanadamu aliymbwa siku ya 6, kwa maelezo" Na tumfanye mtu kwa mfano wetu." "AKATAWALE VITU VYOTE." Umelala, amka!Babu Yako mzaa Babu Yako alikua anaabudu miti,milima na mizimu kabla hata ya huo ukatoliki haukazaliwa ila kwaa kuwa umeumbwa kutegemea akili za mzungu nakuacha uendelee na hiyo akili yako ya kijinga
ukristo umeanza 30 ADBabu Yako mzaa Babu Yako alikua anaabudu miti,milima na mizimu kabla hata ya huo ukatoliki haukazaliwa ila kwaa kuwa umeumbwa kutegemea akili za mzungu nakuacha uendelee na hiyo akili yako ya kijinga
ndio mawazo hayawezi kufanana lakini hata kama kuna wanao pinga ndo itabadilisha uhalisia ?Kutawala siyo tatizo ni kama Assad wa Syria au Putin wa Russia anavyotawala hivi sasa wapo wanaokubaliana na utawala wako pia wapo wanaopinga. Tusizuie mawazo ya watu hata kama ni wachache .
Maria ni mama wa Yesu kwanini apuuzwe ? una uhakika gani Yesu alisema Maria si kitu ? au ni ulivyo tafsiri wewe,nkwel wao wamehusika kutuletea h bible na ktufany vichwa vkafunguka ila napat ukakas kidg vle wanamtukuza malia na hata kumuabudu huku wakimuita mama wa mungu! inawezekana hawakuelew mahal kwny hy bible kuwa ikiwa yesu wanamuona mungu wamnakosea mana hta yesu aliwaambia wanafunz wake kuwa yeye c chochote isipokuwa yule aliyemtuma. na ndman hta kipnd anakalbia kufa kwa ajili yet alisali kwa baba yake ampe nguvu ya kuweza kuvumilia mambo yaliyombele ake.. yesu si mungu wala malia si mama wa mungu.
Katolikos ndio maana yake hiyo sasa.Kanisa ni jumuiya ya waimini, katoliki ni kwa wote. Mitume walianzisha jumuiya ambayo mwanzoni ilikuwa ni kwa wayahudi waliomkubali Yesu. Baada ya Paulo naye kumkubali Yesu na kupokea Utume aliwaambia viongozi, Petro na wenzake wa kanisa (jumuiya) ya kiyahudi kuwa hata watu wa mataifa nao wamempokea Yesu kuwa Mkombozi wao hivyo hakuna sababu ya kuwatenga. Hilo ndiyo kanisa la kwanza kwa watu wote.
Malia Obama au? 😂nkwel wao wamehusika kutuletea h bible na ktufany vichwa vkafunguka ila napat ukakas kidg vle wanamtukuza malia na hata kumuabudu huku wakimuita mama wa mungu! inawezekana hawakuelew mahal kwny hy bible kuwa ikiwa yesu wanamuona mungu wamnakosea mana hta yesu aliwaambia wanafunz wake kuwa yeye c chochote isipokuwa yule aliyemtuma. na ndman hta kipnd anakalbia kufa kwa ajili yet alisali kwa baba yake ampe nguvu ya kuweza kuvumilia mambo yaliyombele ake.. yesu si mungu wala malia si mama wa mungu.
hilo ndo kanisa la mitumeHuu ndio uhalisia.
Kuna kitu huwa najiuliza kwanini Pasaka ikipangwa na Roman Catholic, na makanisa mengine yanatumia siku hiyo hiyo. Kwanini Lutheran wasiwe na siku yao na wenginehata kama ni kweli basi ndo msingi wa ukristo, unaposoma biblia imepangwa hilivyo na Roman Catholic,
Calendar tunayotumia duniani imepangwa na Roman Catholic
Inawezekana hujui historia au Biblia unaisoma kama kitabu cha hadithi au umekaririshwa.Historia ya ukristo kwa ufupi
Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic.
- Baada ya Yesu kufa na Kufukuka
(according to matendo ya mitume)
★ Early Community (leader- Peter) Early Christianity (catholic)
etc etc.... after several years from Marrin Luther - Lutheran
★ FROM EARLY COMMUNITY TO DATE.
Catholic has been dominant even after mote than 2000 years?
ukizungumzia ukristo umezungumzia u catholic maana viru vyote vimekuja kutokana na Catholic na dhehebu zingine zime badilisha tu baadhi ya vitu mutoka hapo?
Tofauti na Catholic nani mwingine anaweza kusimama na historia ya ukristo individually ?
"juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa na halito tikisika"
- even in 2025 Catholic is dominant for over 2000 still