Mimi sio muumini wa Roman Catholic.
Naweza kusema hili ni kanisa bora zaidi kuliko makanisa yote unayoyajua.
Wenzetu wamewekeza sana kwenye
ELIMU(AKILI)
AFYA (MWILI)
UCHUMI (VITEGAUCHUMI)
KANISA (IMANI)
Jinsi ya wanavyo miliki na kuendesha mashule, vyuo, mahospitali, Benki nk nk ni kielelezo cha ukubwa wa elimu yao, imani yao, utajiri wao.ufanisi wao, uongozi wao.
Ushawahi sikia kanisa hili lina mgogoro wa kugombea madaraka?
Sasa njoo kwenye makanisa yetu haya mengine historical churches kama Moravian, Aglikana, lutheran.
Angalia haya makanisa ya maombi na maombezi ya mitume na manabii.
Ebu anglia ELIMU, AFYA, UCHUMI kwa waumini wake 😀 😀 .