Mkuu kama hoja hauna kaa kimya.Wanaongezeka kwakuwa wakimbizi na watafuta maarifa wanaongezeka pia.
Wairani hao wengi wanaingia Ukristo nje ya Irani.
Wakirudi Iran ndio wanashinikiza kuabudu Kikristo na kuzishawishi familia zao kuwa Wakristo.
Wairani wengi tu wameikimbia nchi yao kwa hofu ya kuadhibiwa nchini kwao.
Lete ripoti ya sheria inayosema ukikutwa na biblia Afghanistan na Iran unanyongwa!??Kama nilivyosema awali.
Ukristo unapigwa vita na Wapinga Kristo wote duniani.
Kwakuwa una nguvu za Mungu Mwenyezi.
Kuna wakati pia Iran, Somalia na Afghanistan ukikutwa na Biblia unanyongwa.
Ni kwakuwa tu Wairani nao Kuna vitu wanategemea kupata kama elimu na tech, toka mataifa yenye Wakristo wengi ndio maana wakaruhuru Ukristo mchache na kwa Shingo upande katika nchi zao.
Somalia wamechoma sana Makanisa Hadi wakaona aibu.
Nenda Google andika "Bible banned countries" utaziona na adhabu zake utazikutaLete ripoti ya sheria inayosema ukikutwa na biblia Afghanistan na Iran unanyongwa!??
Nasubiri hapa jibu.
Ila North Korea sheria ipo.
Nasubiri jibu ya ushahidi wa ukikutwa na biblia unanyongwa Iran na Afghanistan.
Bro nimesoma wewe lete ushahidi hapa.Nenda Google andika "Bible banned countries" utaziona na adhabu zake utazikuta
Zikiwemo hizo nilizozitaja.
Kwani si nimekundikia nini hapo ...!Bro nimesoma wewe lete ushahidi hapa.
Kama ushahidi huna uwe na siku njema.
Ulembukeni republic of bananaKuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.
Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.
DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.