Mkuu kama hoja hauna kaa kimya.Wanaongezeka kwakuwa wakimbizi na watafuta maarifa wanaongezeka pia.
Wairani hao wengi wanaingia Ukristo nje ya Irani.
Wakirudi Iran ndio wanashinikiza kuabudu Kikristo na kuzishawishi familia zao kuwa Wakristo.
Wairani wengi tu wameikimbia nchi yao kwa hofu ya kuadhibiwa nchini kwao.
Hiyo ripoti inaeleza kuwa kuna wimbi la washia kubadili dini ndani ya Iran kuwa wakristo.
Na hao sio wakimbizi wala kina nani ni wa hapo hapo Iran wanaritadi na kuwa wakristo.
Usitafute chaka la kuficha ujinga wako bro.