Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize Red Indians na Cultural Genocide...... “kill the Indian in him and save the man” philosophy,Dini ya kikristo ipo kumtangaza KRISTO na UFALME wake na sio kumlazimisha mtu amkubali KRISTO na injili yake.
Dini nyingine ni unataka au hautaki unalaximishwa kwa upanga nyuma ya shingo.
ELIMU ELIMU ELIMU!HAO ULIOWASEMA WANGEKUA WAMEPATA ELIMU!DUNIIA INGEKUA MAHALI SALAMA SANA!SEMA WANAONGOZWA NA UBINAFSI SANAA!!Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.
Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.
DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
Kipo onlineHicho kitabu kilimletea kashkash mpaka leo hii. Hicho kitabu natamani nikipate hardcopy yake.
Huyo mleta mada hapo we umeona amestaarabika?Unaonesha kuwa haujastaarabika
Mkuu tofautisha maneno haya mawili UKRISTO na WAKRISTO.Waulize Red Indians na Cultural Genocide...... “kill the Indian in him and save the man” philosophy,
More than 400 day and boarding schools were built near reservations, most run by religious organizations, while at least 25 off-reservation boarding schools were established between 1880 and 1902. Some 100,000 Native Americans were forced to attend these schools, forbidden to speak Native languages, made to renounce Native beliefs, and forced to abandon their Native American identities, including their names. Many children were leased out to white families as indentured servants.
Mbona haijatajwa uislamu ila umekurupuka kutoka usingiziniWakati wakoloni wanalazimisha watu wwe wagalatia ndio wasome , wewe ulikuwa bado upo kweny kende za baba yako ...Hakuna mtu kalazimishwa ila ukikuta nchi hiyo wanatumia sheria fulani basi fuata.
Ukiishi nchi ya warumi basi ishi kama mrumi , Demokrasia ni uongo na haipo hata uende wapi hamna demokrasia...Pale vatican hakuna muislamu na nyie ukiona nchi huwezi kufuata sheria za katiba yao usiende.
Fanya kuheshimu sheria kama wanatumia bible kama vatican fuata ila kama Qur an basi fuata , ila kutulia kwenu na kufanya yako ni bora zaidi hakuna sheria zinazofanana dunia nzima ...Nenda hata hapo kenya ukaone utofauti tena sheria tofauti kwa kila kaunti ...Toka kijijini uzunguke .
Ujisikii aibu kumuweka mwanaume mwenzio avatar? Na jina pia la mwanaume mwenzio pia! Au huko sunday school ndio mnavyofundishwaC.H.I.Z.I
Creative.
Intelligent.
Hypereffeecient
Zillionqire
Initiative
Angalie usijlipue humu.
Kwani nimetaja ukristo hapo?Mbona haijatajwa uislamu ila umekurupuka kutoka usingizini
Wagalatia ni kitu Gani au umedataKwani nimetaja ukristo hapo?
Wapo kama vifaranga vya cuckoo kwenye viota vya ndege wengine
founders wa Dora ya kirumi walikuwa Sun worshipers, mwanzoni mwa 313 CE ndiyo wakaanza kuingia katika ukristo.Dola ya Kirumi, 380Bk, theodosius 1 ( Edict of thessalonica)
Tunachokiangalia ni outcomes na Dini hususan hizi mbili zipo open to different interpretation..., Lakini binafsi popote kwenye WAO na SISI kuna loopholes za Utengano..., na kama tukichukulia tuishi kama kwenye Agano la Kale (Kitabu ambacho dini zote hizi mbili zinakitambua) Mengi yanayofanyika mule au tukiishi kwa mifano ya kila Daudi nadhani dunia hii itakuwa chungu kuliko hata sasa...Mkuu tofautisha maneno haya mawili UKRISTO na WAKRISTO.
Kinachosema kwenye UKRISTO sio kile kinachotendwa na wengi wanaojiita WAKRISTO.
Vile vile kuna tofauti kubwa kati ya UISLAM na WAISLAM.
Dora ni kitu gani?founders wa Dora ya kirumi walikuwa Sun worshipers, mwanzoni mwa 313 CE ndiyo wakaanza kuingia katika ukristo.
Nioneshe wapi wagalatia walikuwa wakristo?Wagalatia ni kitu Gani au umedata
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.
Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.
DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
Punguza bangi na jielemishe kwenye mtandao Bure kabla hujabwata.Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.
Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.
DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
hiyo hiyo niliyomaanisha.Dora ni kitu gani?
Mkuu ubongo wa mende hawawezi kukuelewa, wanajifanya wasomi na wajuaji kumbe nothingWakati wakoloni wanalazimisha watu wwe wagalatia ndio wasome , wewe ulikuwa bado upo kweny kende za baba yako ...Hakuna mtu kalazimishwa ila ukikuta nchi hiyo wanatumia sheria fulani basi fuata.