Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Utakuwa ama umezaliwa baada ya miaka ya 2005 au umesoma mpaka darasa la saba (7) tu.Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu
Kifupi huijui historia ya Dunia, endelea kujifunza kwa vile bado unakua. Umevinjari Tanzania kote, lakini sasa Karibu duniani