Ukristo una miaka mingi ila ushawahi kusikia nchi inaitwa "The christian Republic of so and so"?

Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.

Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.

Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.

Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.

DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
Hayo ndio Mimi nayaita mataifa dhalimu na HAYATAKIWI kuwepo.
 
Mahala ambapo dini ya kweli imeleta amani,upendo na maridhiano mara mia... hapohapo dini ya uongo italeta chuki,mafarakano na uadui mara elfu.....
 
Hivi haya maneno anaongea nani ?
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza
 
Hat

Haata ww unaweza ukaandika kwani ya nini haswa???????!!!!?
 
Wa
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.

Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.

Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa c kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.

Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.

DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
islamu msimjibu huyu chizi
 
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.

Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.

Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.

Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.

DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
Dunia ni mahala salama sana kwa sababau ya ukristo,ile dini ya magaidi ni changamoto kwa amani na ustawi wa dunia.
 
Matapeli nyie.
20240927_123057.jpg
 
Dini ya kikristo ipo kumtangaza KRISTO na UFALME wake na sio kumlazimisha mtu amkubali KRISTO na injili yake.
Dini nyingine ni unataka au hautaki unalaximishwa kwa upanga nyuma ya shingo.
 
Back
Top Bottom