Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Qur an imesema je achana na hadithi unatakiwa kwanza usome qur an kabla ya kusoma hadith sababu hadith hata mimi au wewe tukiamua tunatunga zipo nyingi sana za kutunga
Kuna siku mtaikataa hadi Quran, wallah tena nakuapia. Uslamkatika Afrika na Afrika Mashariki ulienezwa kwa kutumia hadithi zaidi ambazo sasa hivi mnaanza kuzikataa baada ya watu kuanza kuwapigeni vitanzi kupitia hizohizo hadithi.
Tena kwenye Quran ndiyo mnachapika kirahisi kweli.
Nilichogundua wengi hata Quran kumbe hamuijui kabisa ila mtakumbuka vilivyoandikwa humo
 
Kuluwani imetengenezwa na watu wewe acha kukaza fuvu kwanza mudi akadanganya kuwa hawezi kusoma wala kuandika ili tusijue janja janja yake ya kuandika uongo kwenye kuluwani alipokufa vibaraka wake nao wakaona haya aliyoandika mwamedi hayatoshi wakaongeza yao ili kuendelea kuwatawala wala watu wa makkabna viunga vyake kupitia hofu aliyoianzisha mwamedi

Hakuna uthibitisho wowote unaooneshwa mwamedi kuluwani pekeake
Na hakuna ushahidi wowote unaooneshwa Yale mudi aliyoshushiwa ndiyo haya mnayosoma leo
Hakuna ushahidi wowote unaooneshwa Yale yaliyonakiliwa na wassidizi wa mwamedi ndiyo Yale aliyoshushiwa mudi.

Kila mtu anajitungia uongo wake kadiri ya unavyompendelea yeye

Uislamu ni utapeli na ufinyu wa fikra
Uzuri ni kwamba mwenye qur an yake kasema kabisa na nyie mtengeneze ya kwenu karne mbili kasoro sasa mmechemka na tuchukulie hata qur an ingekua imeandikwa na mtu bado ingekua imenyooka kuliko vitabu vyenu kila siku munafuta na kuongeza ama kupunguza jambo wakati qur imesimama kwenye uhalisia wake mwisho qur an ndio kitabu pekee ambacho hakijaongezwa wala kupunguza kitu hakuna na hakitakuja kutokea kitabu chengine chochote chenye sifa kama hizi
 
Kuna siku mtaikataa hadi Quran, wallah tena nakuapia. Uslamkatika Afrika na Afrika Mashariki ulienezwa kwa kutumia hadithi zaidi ambazo sasa hivi mnaanza kuzikataa baada ya watu kuanza kuwapigeni vitanzi kupitia hizohizo hadithi.
Tena kwenye Quran ndiyo mnachapika kirahisi kweli.
Nilichogundua wengi hata Quran kumbe hamuijui kabisa ila mtakumbuka vilivyoandikwa humo
Kwamba Ile hoja yenu ya kwamba uislamu ulienezwa kwa upanga mmeipiga teke tena ukiona mtu anaikataa qur an huyo kapotoka kama ulivyopotoka wewe hadithi haiwezi kusimama bila qur an
 
Uzuri ni kwamba mwenye qur an yake kasema kabisa na nyie mtengeneze ya kwenu karne mbili kasoro sasa mmechemka

Quran inaweka challenge wakati tayari ina maneno mpaka ya shetani, maneno ya majini, wadudu , binadamu, ndege n:k
  • Anza na talking ants, maneno ya ant ndani ya koran
    • 27:18. ...., alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua.
  • Aya za Binadamu, Sulaiman
    • Sulaiman .....akasema: Imekuwaje, mbona simwoni Hud-hud, au amekuwa miongoni mwa walio ghibu?
  • Aya ya Ndege Hud Hud
    • 27:22. Basi (Hud-hud) akakaa si mbali na akasema: Nimegundua usilo gundua wewe, na ninakujia hivi kutoka nchi ya Sabai, na nakuletea khabari za yakini.
  • Aya ya shetani
    • Hijr:39. [Iblis (Satan)] said: "O my Lord! Because you misled me,.....
  • Sura ya majini , hii ni almost surah nzima ni yao wanaongea
    • Jinn: 1 - ....kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu
 
Hujaujua ukristo bado
Wewe sema madhehebu yameenea
 
Majini walisemaje kijana hata huna unalo lielewa sasa qur an si yao ama wameisikia toka wapi tena
 
Trump na elon Kuheshimu biblia kuna thibitisha vipi uwepo wa Mungu , hivyo vi hoja vyenu vinathibitisha moja kwa moja Mungu hayupo bali ni maoni ya watu tu
nyie mnakazana kusema hivi tunawajua ndio wachawi, kwahiyo unataka mm nibishane na mchawi ?
 
Watoto wa kiume kulawitiwa ni dhambi na ushoga pia ni dhambi sana

Haya tuambie wewe Binti wa miaka 9 kutafunwa ni halali au haram
Kama kakua halal bint akivunja mnaita ungo uyo ni mkubwa ata mimba anashika sio dhambi ila ingekuwa ajavunja ungo apo dhambi
Bint akivunja ungo jua ww unapita apo acha ujinga!! Chengine kuna mila sasa Warabu tangu enzi na enzi wana talatibu zao tofauti nasisi ata awa waliokuja uku bara kutoka zanzibar mila zao ilikuwa mtoto wa kike anasoma lkn akifikisha dalasa la 4 mshingi basi anazuiwa kwenda shule wanasema uyu unaenda kwenye ukubwa. Sasa tunaoji mwarabu kuoa miak9 wkt wao walikuwa na mila zao miaka ile leo akuna mila pengine tunaona wabinti wa kiarabu wanasoma adi ktk elimu za juuu. Kwaiyo kukileta kisa cha zamazile leo kukitumia kuwananga waumini pinzani ni kukosa hoja za msingi.. ikiwa ww imani yako nzuli shukulu mungu na ukiona iman ya wengine mbaya chekea choooni kisha wai misa ya kwanza kumshuku mungu kukufanya ww uwe kwenye iman nzuli bola kuliko zengine. Sio lazima wote wawe iman kama yako kama ni pepo au ufarme wa mbinguni sio vibaya muwe wachache ktk JamiiF kuna wasomi wengi mwisho wataharibu tu imani yako badala ya kuwakomboa!!!
 
Je Ayatolah atatuma Vikosi vya Kigaidi kwenda "kuikomboa" Indonesia 🇮🇩?! Ngoja tuone...
 
Askofu sio Sawa na Mohammad mbona unamzalilisha Muhammad
Shida sio vyeo vyao shida ni tabia ipi nzuli ipi mbaya kwenu muhammad anasamani yoyote mnamuona ni mtu kama mtu lkn kwenu Askofu ndio mwenye heshima kumzidi uyo kuhammadi kama sio mnafiki ndio nikauliza ASKOFU kutomb......q vitoto vyakiume adi wamekuwa mashoga na uyu mudu kuoa bint miaka 9 tena kashavunja ungo je yupi m'bora mbele za mungu??? UJAJIBU UNAULIZA swali!!!!
 
Mohammad alioa mtoto wa miaka 6 na alikua hajavunja ungo,Askofu ni tofauti na Mohammad,Mohammad ni mtu ambaye inasemekana alikua mtume kulingana na Quran inabyosema
 
Back
Top Bottom