Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
- Thread starter
- #281
Kaka wapige kichwani ๐ ๐ ๐Katika hali ya kawaida hamna mtu anaekubali uue familia yake yote na jamii yake halafu akubali umuoe,sheikh hapo kulikua ni kubaka tuu kama tunavyoona kule Congo na sehemu zingine mateka wakike wakivita wakibakwa
Bado wanapumua