Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Kati ya nchi za kikristo na nchi za kiislamu zipi zinaongoza kwa umasikini,, western is Christian mnawazidi,,fikilia vizuri mkuu???
Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
 
America ni maskini??,,Canada,,mexico,, south America,, UNITED KINGDOM,,hizo ni nchi za kikristo,,hao ni MASKINI????
 
Bado top Tena(10) ya matajiri duniani ni wakristo,,,wewe huna AKILI ya kufikilia au???
 
Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
USA, south America, mexico,Canada,UK, Russia,,hizo ni nchi za kikristo je ni nchi maskini,,nchi gani ya kiislamu inayozodi hizi nchi kwa utajiri???,,top 20 ya matajiri duniani ni wakristo,,ni kwamba huwezi kufikilia au???
 
Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
Hao asilimia 70 ya wakristo wanapatikana AMERICA (USA) au wewe unaongelea nchi gani?
 
Majibu yako yanaonesha ulivyo na uwelewa mdogo ngoja ni kuelimishe.

Asilimia 70 ya wakristo duniani kote wanatokea Africa , American ya kusini na Ufilipino na nchi nyingi za mabara hayo ni masikini njaa.

Je wajua kua Africa ina wakristo wengi kuzidi wakristo wote walioko Ulaya na America ya kaskazini?
 
Hebu jibu swali langu USA( United States of America) ndio nchi yenye nguvu na tajiri duniani,,ni nchi ya dini Gani?
 
Ukristo ndio dini kubwa duniani,,nyie Bado wachanga ndio maana mnakua,sisi tumeshakua mbali sana ,au google uangalie which is the biggest religion in the world???
Hata ndani ya Israel kwenyewe hamna wakristo, waislam ndo wengi
 
Screenshot_20241115-090848.png
ukitaka tumia search engine yoyote ile
 
Majibu yako yanaonesha ulivyo na uwelewa mdogo ngoja ni kuelimishe.

Asilimia 70 ya wakristo duniani kote wanatokea Africa , American ya kusini na Ufilipino na nchi nyingi za mabara hayo ni masikini njaa.

Je wajua kua Africa ina wakristo wengi kuzidi wakristo wote walioko Ulaya na America ya kaskazini?
Screenshot_20241115-091036.png
ukitaka tumia hata search engine yoyote ile
 
Majibu yako yanaonesha ulivyo na uwelewa mdogo ngoja ni kuelimishe.

Asilimia 70 ya wakristo duniani kote wanatokea Africa , American ya kusini na Ufilipino na nchi nyingi za mabara hayo ni masikini njaa.

Je wajua kua Africa ina wakristo wengi kuzidi wakristo wote walioko Ulaya na America ya kaskazini?
Screenshot_20241115-091157.png

Leta data zako na wewe
 
Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
Tanzania maeneo ya kimasikini wamejaa watu wa imani ipi?
Africa subcontinent masikini ni watu wa imani ipi?
Dunia yote- Europe, America,Asia & Africa, hebu ingia kwenye Google ufute ujinga kidogo.
 
Huyo jamaa mimi mwenyewe nimemwambia hana akili huyo,,Ana ugonjwa wa kiakili unaoitwa "psychosis"
 
Ndio vizuri wakristo ni jamaa zetu wa karibu kiimani japo sio marafiki zetu hivyo ni jambo jema kuna mambo mengi tunashare nao kiimani
 
Hebu jibu swali langu USA( United States of America) ndio nchi yenye nguvu na tajiri duniani,,ni nchi ya dini Gani?
Marekani haina dini bali ni taifa lenye mchanganyiko wa watu wa asili,dini, tamaduni mbali mbali kutoka duniani kote.
Alafu kinacho fanya nchi inapata maendeleo ni sera nzuri ya nchi husika na si kwa sababu ya dini wanayo iamini, kuwa na akili.
 
Back
Top Bottom