ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Ukweli kutokea wapi nawewe haujaleta hadith wala Quran?Ndio maana tunasema hizo ni hadithi mzee, tofautisha hadithi na quran, hizo ni hadithi.
Hadithi zina mapungufu na walionukuu na kunukuliwa ni watu... Lakini ukweli ndio huo Aisha alikuwa mtu mzima...