ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Ukweli kutokea wapi nawewe haujaleta hadith wala Quran?Ndio maana tunasema hizo ni hadithi mzee, tofautisha hadithi na quran, hizo ni hadithi.
Hadithi zina mapungufu na walionukuu na kunukuliwa ni watu... Lakini ukweli ndio huo Aisha alikuwa mtu mzima...
Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.Kati ya nchi za kikristo na nchi za kiislamu zipi zinaongoza kwa umasikini,, western is Christian mnawazidi,,fikilia vizuri mkuu???
Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
America ni maskini??,,Canada,,mexico,, south America,, UNITED KINGDOM,,hizo ni nchi za kikristo,,hao ni MASKINI????Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
America ni maskini??,,Canada,,mexico,, south America,, UNITED KINGDOM,,hizo ni nchi za kikristo,,hao ni MASKINI????Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
Bado top Tena(10) ya matajiri duniani ni wakristo,,,wewe huna AKILI ya kufikilia au???Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
USA, south America, mexico,Canada,UK, Russia,,hizo ni nchi za kikristo je ni nchi maskini,,nchi gani ya kiislamu inayozodi hizi nchi kwa utajiri???,,top 20 ya matajiri duniani ni wakristo,,ni kwamba huwezi kufikilia au???Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
Hao asilimia 70 ya wakristo wanapatikana AMERICA (USA) au wewe unaongelea nchi gani?Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
Majibu yako yanaonesha ulivyo na uwelewa mdogo ngoja ni kuelimishe.Hao asilimia 70 ya wakristo wanapatikana AMERICA (USA) au wewe unaongelea nchi gani?
Hebu jibu swali langu USA( United States of America) ndio nchi yenye nguvu na tajiri duniani,,ni nchi ya dini Gani?Majibu yako yanaonesha ulivyo na uwelewa mdogo ngoja ni kuelimishe.
Asilimia 70 ya wakristo duniani kote wanatokea Africa , American ya kusini na Ufilipino na nchi nyingi za mabara hayo ni masikini njaa.
Je wajua kua Africa ina wakristo wengi kuzidi wakristo wote walioko Ulaya na America ya kaskazini?

Hata ndani ya Israel kwenyewe hamna wakristo, waislam ndo wengiUkristo ndio dini kubwa duniani,,nyie Bado wachanga ndio maana mnakua,sisi tumeshakua mbali sana ,au google uangalie which is the biggest religion in the world???
Jibu hoja,, which is the biggest religion in the world?Hata ndani ya Israel kwenyewe hamna wakristo, waislam ndo wengi
Hata ndani ya Israel kwenyewe hamna wakristo, waislam ndo wengi
Majibu yako yanaonesha ulivyo na uwelewa mdogo ngoja ni kuelimishe.
Asilimia 70 ya wakristo duniani kote wanatokea Africa , American ya kusini na Ufilipino na nchi nyingi za mabara hayo ni masikini njaa.
Je wajua kua Africa ina wakristo wengi kuzidi wakristo wote walioko Ulaya na America ya kaskazini?
Majibu yako yanaonesha ulivyo na uwelewa mdogo ngoja ni kuelimishe.
Asilimia 70 ya wakristo duniani kote wanatokea Africa , American ya kusini na Ufilipino na nchi nyingi za mabara hayo ni masikini njaa.
Je wajua kua Africa ina wakristo wengi kuzidi wakristo wote walioko Ulaya na America ya kaskazini?
Tanzania maeneo ya kimasikini wamejaa watu wa imani ipi?Asilimia 70 ya wakristo wote duniani wapatikama na kuishi kwenye nchi masikini.
Huyo jamaa mimi mwenyewe nimemwambia hana akili huyo,,Ana ugonjwa wa kiakili unaoitwa "psychosis"Tanzania maeneo ya kimasikini wamejaa watu wa imani ipi?
Africa subcontinent masikini ni watu wa imani ipi?
Dunia yote- Europe, America,Asia & Africa, hebu ingia kwenye Google ufute ujinga kidogo.
Kama Christian ni billion 2.4 na Islam ni Billion 1.9 na bado Islam ndo dini inayokua kwa kasi duniani hadi sasa ni wazi kabisa Islam wanakuja kufanya dominationView attachment 3152681ukitaka tumia search engine yoyote ile
Marekani haina dini bali ni taifa lenye mchanganyiko wa watu wa asili,dini, tamaduni mbali mbali kutoka duniani kote.Hebu jibu swali langu USA( United States of America) ndio nchi yenye nguvu na tajiri duniani,,ni nchi ya dini Gani?