Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Mkuu zamani hata Africa watoto walikua wanaozwa wadogo , wengine wanabaki kwa wazazi mpaka wavunje ungo wengine wanachukuliwa kwa muwewe analelewa chini ya uangalizi wa mke mkubwa mpaka avunje ungo , hiyo ndio busara ya zamani ilivyokua.
Sawa katika muktadha huo wa imani ya kikureshi Sawa na Imani ya Chief mangungu na kuelewa ila sio kwa muktadha wa dini tena unajigamba kusema dini ya haki
 
Na ndio maana mwenye qur an yake kwakua alijua hilo akawa peni rukhsa kutunga na nyie mfano wa aya moja tu ya qur an miaka zaidi ya 1400 sasa mmechemka
Kwanza Quran ipi unayoufuata maana othman alichoma Quran yote akaleta Quran yake ambazo ile ya mwanzo na hii vitabu havifanani kwaio huyo mwenye Quran yake hakujua hilo?
 
Sawa katika muktadha huo wa imani ya kikureshi Sawa na Imani ya Chief mangungu na kuelewa ila sio kwa muktadha wa dini tena unajigamba kusema dini ya haki
Kumbuka hayo ni maandishi ya kale karibu dunia nzima hata kale ya uyahudi mambo yalikua hivyo hivyo , ndio maana tunawaambia dini zote ni desturi na Mila za jamii yao tu ni vie tu zimeandikwa na kusambazwa , hata Africa tungeandika za kwetu na kuwa na nguvu zingekua kama hizi zilivyo.
 
Aisee Sasa mbona unatumia Lugha zisizo na Staha kujadili Dini za Wengine. Momo ndio nani.

Huo ndio ustaarabu wa kikristo??
Alianza kunitukana halafu Karne ya 5 hakukua na Jina Mohammad kwenye maandishi ya Kiarabu alikua ana Jina jengine kabisa sio ili Mohammad
 
Kumbuka hayo ni maandishi ya kale karibu dunia nzima hata kale ya uyahudi mambo yalikua hivyo hivyo , ndio maana tunawaambia dini zote ni desturi na Mila za jamii yao tu ni vie tu zimeandikwa na kusambazwa , hata Africa tungeandika za kwetu na kuwa na nguvu zingekua kama hizi zilivyo.
Kale yote mtu haoi mwanamke ambae hajavunja ungo hata chief mangungo alikua na jando na Unyago
 
Ukiisikiliza Quran inavyoimbwa unaweza ukaona ni kitu cha maana,ila soma na kuielewa ndio utaona utani wake maana humo utakutana na Mzee wa miaka 53 anaoa mtoto wa miaka 6,utaona mzee anachukua mke wa mwanae na kumuoa yani ni tofauti na kile unachokiona juu juu ukihadithiwa, na wengi wao kutokana na Ile lugha iliyoandika Quran hawaelewi kilichopo mle wao wanawasikiliza hawa Wafanya tafsiri.

Sasa kuna watu ukiwaambia uislam na uarabu ni chanda na Pete hawakubali. Huwezi kutenganisha uislam na uarabu. Ndiyo maana uislam umefungwa kwenye lugha ya kiarabu.
 
Ulisoma kuhusu safari ya israah na miraaj kwenye suratul Israah!?
Umesoma suratul fajri?
Umesoma Suratul aswri!?

Aya Sasa naomba wewe utujibu wapi kwenye Qur'an pameandikwa ulichosema!?
Quran na Hadith lazima vitegemeane na vyote ni vya kweli kwa mujibu wa uislam swali je Muhammad ni uongo alimuoa Aisha akiwa na miaka 6?
 
Kale yote mtu haoi mwanamke ambae hajavunja ungo hata chief mangungo alikua na jando na Unyago
Ndio maana nikasema kale hakukua na mwongozo mmoja kama ilivyo leo haki za binadamu , kale kila jamii ilikua na desturi zao tofauti tofauti kulingana na jamii husika.

Hata jamii ya quraysh , ansar, Yahudi na Muhajiruni kale hiyo zilikua na desturi tofauti sana japo waliishi sehemu moja.
 
kwaio wakureshi walikua wanaoa wanawake ambao hawajabalehe?
 
Quran na Hadith lazima vitegemeane na vyote ni vya kweli kwa mujibu wa uislam swali je Muhammad ni uongo alimuoa Aisha akiwa na miaka 6?
Weeh weeeh ulisema Qur'an hukusema Hadith.
Na pia hayo maelezo ni ya Sirah sio Hadith umeshafeli.
Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9,na inasemekana zama za zamani mabinti walikua wanawahi kuvunja ungo na walikua na maumbile ya ukuaji wa haraka.
Na alimlea Bi Aisha mbaka akamaliza balehe ndio alipoanza kumchukulia mke wa moja kwa moja.

Aya Lete ushahidi wa mtume kumbaka Zainab na kumuoa mke wa mwanawe,na huyo ni mwanawe yupi embu mtaje jina!??
 
Back
Top Bottom