Nawasalimu wana jamvi natumaini tumeamka salama,, mm naamini izi Dini zetu kuna watu waliweza kuzivuruga kutengeneza utata mwingi ndani yake niwazi hii kazi imefanywa nawazungu kutaka watu wawe kwenye mgawanyiko baina yao na hii kwaDini zote utakuta mgawanyiko ndio mana leo unakuta mazeebu kibao yani ukristo ndani yake kunamadhehebu zaid ya 150 au zaid na awa wote kila zehebu moja wanaamini mungu yupo kwao na kwao ndio njia yamilele ya mbinguni!!! apo apo wanaamini wale wenzao wengine akuna kitu maandiko awayajui!! Ipo ivo ktk uslamu pia yapo madhehebu mengi zaid y 10 nako ivyo wengine wanaamini binadam atamuona mungu akiwa peponi mengine yanasema apana binadam atowai kabisa kumuona mungu iwe dunian au peponi itilafu zipo adi kwa Hindu wachina mzungu kote kapita na kila watu wanapoongezeka duniani jua na msdhehebu yanadhidi chipuka!!! Uko India tunaambiwa Baba yao wataifa Gandi mwenyewe aliuwawa kwasababu za kidini ipo ivi serikali ktk alakatizake za kujenga miundombinu ikakutana na Ekalu la kiHindu plan zao lazima walibomoe kupisha ujenzi wao! wanachi wakapinga mzozo ukawa mkubwa kwenye uwo mkoa lkn serikali aishindwi ikafanikiwa kulibomoa watu kadhaa inadawa walikufa ktk alakat za kutetea Hekalu lao. Sasa kumbe kkt safu ya walinzi w ikulu y Gandi yupo mmoja ni ktk dhehebu lile ktk ule mkoa lilipobomolewa hekalu. Jamaa akaamua kupita na Gandi!!! Gandi akafia apo. India toka apo wanaogopa kuyagusa mhekalu, tuje Saud Arabia nako tunaambiwa mji wa MAKA ushawai ongozwa na jasusi wa kingeleza akiwa kama mufti wa Maka kwa miaka mingi sasa ikiwa mzungu anaweza ongoza msikiti mkubwa kama MAKA kwamiaka mingi akiwa yeye ndio mufti mkuu aliejuu yake ni mmoja tu king Mfalme basi wengine wote wapo chini yake ktk masuala ya Dini JE huo sio msiba mkubwa!!!! ikiwa wazungu waliweza kupenya kiasi icho vipi washindwe kuivuruga Dini na aya zake. Kuleta itilafu tatanishi kuzigeuza Aya za mwenyezi mungu, leo duniani kote nawambiwa Dini zimevurugwa kufanya utatanishi Leo Dini zote ukizichambua ukiwa mtulivu kichwani utastaajabu ya Mussa! Niwaombe tusijisumbue kutafuta itlafu ktk Dini ya mwenzio wkt naww Dini yako ina itlafu kibao kama ww kwako umejipa imani kuwa akuna shida basi shukulu mungu wako ongeza muda kufanya ibada. Sio kuja umu jamiiF kukazania itlafu za mwenzio wkt kwako pia zipo hii aijengi iman pengine mnawapunguza waumini bila kijijua wa pande zote. Mana sisi kama waumini nyie mmeamua pande zote mbili kutuonesha udhaifu wa Imani zetu tunazoziamini. Tuacheni na ujinga wetu tuabudu ichoicho kiwe kizuli kibaya. Na asa ninyi upande wa kikristo ndio mnapenda izi mambo kubishana Mambo y DInI mada atakama sio ya Dini lkn mtaingizia Dini mfano mtu kaleta uzi wajeda wa3 waIsrael wameuwawa n Hamas sasa nyinyi badala tujadili vifo na vifo vyapande zote nyie mtachokea Dini sijui uslamu tofaut na akifa kiongozi labda w Hamas au hezbullah watu wanajadili kifo chake bila kuleta mambo ya Dini. Hii vita vifo ndio kama chai lazima wafe pande zote mana wote wanamitutu sasa nyinyi akifa zayuni mnaumia kias cha kuchafua Uzi!!!😬😬😬 mie yanga sijifichi na wimbo tukaimbiwa yanga hii inafungwaje!!! Lkn tunajua ukweli magoli uwanjani yapo mawili uku na uku lolote linaweza tokea golin kwetu ile nyimbo aikusaidia watu waogope kutufunga sasa tutamlaumu mwimbaji au mabeki wetu!! Kwaiyo kuwaaminisha watu kuwa Israel aishindwi sasa inafika wkt ukisikia au kuona umu zayuni kauwawa ww unaumia sana je nww umlaumu nani kuna mtu aliekuaminisha kuwa zayuni akipigwa risasi afi lkn Mpelestine ndio anakufa. Tunawaombo seem sio ya Dini tuacheni waumini tupumue kidogo.