Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Kwa lugha za makabila yote EAC hakuna neno "Moja kwa moja" ili tutumie badala ya Mubashara la Kiarabu au Live la Kingereza?
 
Sikuwahi kufahamu kuwa katika kiswahili kuna neno linaitwa mubashara, likimaanisha "matangazo ya moja kwa moja yaani live".

Jana kwa mara ya kwanza nilivyoona hilo neno chini ya nembo ya ITV nilidhani ni kifupisho cha maneno fulani.

Hivyo tuendelee kujifunza lugha yetu adhimu:

Mbashara (si mubashara) = Live
Sharubati = Juice
Tufaa = Apple
Nywila = Password

View attachment 467982
Asili yake ni ipi au limeokotwa angani?
 
Back
Top Bottom