kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
Jana tuliskia wakati mh Rais magufuli akiwa amempigia simu diamond na wakaongea nae mubashara kupitia cloudsfm, nilisikiliza maongezi yao, baada ya diamond kumueleza kuwa awasaidie njia nzuri ya kulipia kodi kwani yeye pia ni mlipaji kodi mzuri, mwisho rais kamwambia nimekuskia, na nakupongeza sana uzidi kuitangaza nch yetu katika masuala ya mziki, na nawapongeza wanamuziki wote hata wale wanaoigiza nawapenda sana wale,, shilawadu nk,
swali je mh rais anajua maana ya jina hili?
Kwa uelewa wangu nimejua kuwa mh rais anajua shilawadu ni kikundi cha kuigiza
ni kweli hiki ni kikundi cha kuigiza kwenye tv?
mwenye uelewa na hawa shilawadu plz atuambie wanafanya nini? na hata boss wao pia sio mbaya!
ili tujue kama Mh Rais anawajua!
nawasilisha..!